Search This Blog

Friday, October 28, 2022

MAFANIKIO KATIKA AKILI YANGU [SUCCESS ON MY MIND] - 5

 

     





    Simulizi : Mafanikio Katika Akili Yangu (Success On My Mind)

    Sehemu Ya Tano (5)





     ‘’namichoro’’ alimwambia Yule mhariri ‘’michoro ya aina gani?’’ aliulizwa zawadi na muhariri Yule, kisha zawadi akamjibu ‘’katuni’’ alipoongea hivyo Yule mhariri alishangaa sanaa alikuwa na uzoefu mkubwa katika kazi lakini alikuwa hajawai kuona binti mchora katuni katika magazeti ya mwanza.Mhariri huyo msaidizi alijikuta akivutika na kipaji cha binti huyo, kisha akamwambia ‘’ebuniiyone hiyo michoro’’ zawadi hakuwa na hiyana kuweza kuitowa ile michoro na kumuonyesha Yule mhariri msaidizi wa gazeti lile.Mhariri Yule aliangalia kwa mala moja tu akajikuta akizidi kuvutiwa sana na michoro ile, ‘’aisee unachora vizuri namna hii?’’ aliangalia na kuhamasika zaidi michoro ilikuwa imejawa na nakshi pamoja na urembo wa kiafrika. ‘’unakipaji tuta tumia michoro yako’’ zawadi aliweza kufurahiya sana kuona alichokifanya, kina kubalika kwa watu ambao ni wataaruma, ‘’unaitwa nani?’’ alitaka kulijuwa jina lake, ‘’naitwa zawadi’’ aliichukuwa michoro ya zawadi na kuchukuwa mawasiliano yake.Mhariri huyo msaidizi alimuaidi mambo mengi sana na mazuri. ‘’wewe una uwezo’’ alisema Yule mhariri akimwambia binti zawadi na kuzidi kumpa nguvu ya ushawaishi zaidi.Baada ya pale zawadi aliacha picha zake na kuondoka kwenda kuendelea na mambo yake, ‘’amakweli anajuwa kuchora’’ aliongea mwenyewe hukuakiwa kamtamani kimwili binti zawadi, akajuwa huwenda kupitia kazi yake anaweza kumpata.

    Nimuda wa mchana fatuma akiwa sebleni na baba yake, ‘’fatuma leo utaenda wapi?’’ aliuliza baba yake huku akiwa amekaa kwenye kochi. ‘’nili kuwa na maongezi na wewe’’ aliongea kwautaratibu fatuma, baba yake alikuwa na mapenzi na mwanae fatuma.Naalitamani mwanae awe muwazi kwake, ‘’sawa’’ alikubalia baba yake fatuma ‘’naweza kukuambia sasa’’ aliuliza fatuma hukuaki baba yake akimkubalia, wakati huo ndio ulikuwa muafaka ungeweza kutukia, ‘’baba?’’ kisha alikaa kidogo ‘’nammm’’ aliitikia baba yake ‘’kazi nimefukuzwa ila na mpango wa kufunguwa kampuni yangu ya mitindo’’ baba yake alifurahiya sana maana kulikuwa hakuna mwanae ambae aliyeweza. Kumjia akiwa na wazo kama hilo, ‘’niwazo zuri sana’’ alisemababa yake fatuma ‘’nataka sapoti yako’’ alikuwa akiongea fatuma hukuakimwangalia baba yake ‘’usihofu mwanangu, lakini umeandaa mazingira?’’ alipoulizwa hivyo alimjibu baba yake kwa haraka, ‘’ndio natafuta…… wenzangu’’ aliongea fatuma kwakujiamini kisha baba yake akamuaidi kiasi kikubwa cha pesa kuweza kumpatia.Tatizo ilikuwa bado fatuma alikuwa hajajuwa namna ya kuweza [produce product], ambazo ni nzuri katika soko pia alikuwa bado ajaangalia ushindani uko vipi katika alichokuwa akitaka kukifanya. ‘’sawa baba’’ fatuma alimkubalia baba yake na kumshukulu kisha akaanza kuwaza namna ya kuwapata watu wenye [interest] sawa naya yeye hapo ndio ulikuwa mtihani mwingine kwake.***

    Pastor pamoja na noeli baada ya kumaliza kufanya [shopping].Waliingia ndani ya gari kuelekea nyumbani kwao noeli ilipastor aweze kufahamiana na mama yake noeli, noeli alikuwa kamwambia mama yake lakini aliona kama noeli akimwongopea ‘’kwaiyo tunapita kwa mama?’’ aliongea pastor hukuakikaa katika uskani wake wagari vizuri. ‘’ndio’’ alijibu noeli kwa tabasamu akiwa kwenye gari na pastor, wale marafiki zake wakorea waliokuwa wakiishi nchini Tanzania katika mji wa dar eslaamu waka mpigia ‘’noeli simu yako inaita’’ alisema pastor ‘’mmmh!’’ kwanza aliguna alipoona ni namba za wale marafiki zake wakorea, ‘’hellow noeli?’’ kisha noeli akaitikia na kuwasalimia ‘’ndio habari zenu?’’ aliongea huku pastor akiwa ameanza kuendesha gari lake, ‘’salama umekuwa kimya sana’’ waliongea machache kisha noeli akapewa taarifa nzuri yenye kufurahisha moyo wake.Taarifa ilikuwa nikwamba alikuwa ametafutiwa nafasi ya kwenda kusoma nchini marekani.Kwa udhamini wa wale wakorea kwakila kitu walikuwa wamepanga kuweza kumgalamia, noeli baada ya kupokea taarifa hiyo aliona maombi aliyokuwa akiomba sasa yameenda kutimia.Ina furahisha sana pale mtu unapokuwa ukimuomba yehova kitu flani alafu akaja kuki tekeleza kwa wakati wake furaha humtawala mtu sana, ndio maana tunatakiwa kumtanguliza yehova katika kila kitu chetu ambacho tuna kifanya.Napia inatupasa kujuwa yakwamba yehova tuna muomba lakini hujibu maombi yetu kwa wakati ambao anao utaka yeye si kwa mapenzi yetu sisi au misukumo yetu sisi.Maongezi kwanjia ya simu kati ya noeli na wale wakorea yaliendelea, ‘’asanteni sana’’ alisema noeli hukutabasamu likimjaa usoni ‘’sawa jiandae’’ walimwambia hivyo kisha noeli akawaambia ‘’dah! Nime pata tena huko mosco urusi’’ alisema noeli ukweli hukuakiwaambia namna mambo yalivyokuwa yame pangika.Lakini wao hawakumlazimisha ‘’sawa wewe angalia sasa patakapo kuwa pakikufaa chaguwa uwende’’ walimwambia wale wakorea kisha noeli aliwakubalia kwaushauri wao waliompatia.Kisha wakakata simu pastor aliposikia tu alijuwa moja kwa moja ni wale wakorea ambao walimkutanisha na noeli kwa mala ya kwanza walipokutana nyumbani kwake, ‘’pastor mungu anatenda’’ alisema noeli kisha pastor akamuuliza ‘’why unasema hivyo?’’ aliongea pastor hukuakiendesha gari ‘’naona chance zikianza kutokea nyingi’’ pastor akatabasamu na kujikuta hata akiendesha gari lake kwa mkono mmoja.Kisha akamwambia ‘’noeli haya unayo yaona leo ni madogo utafanya mambo makubwa sana afrika itakujuwa’’ aliongea maneno hayo na kisha aliendelea kuendesha gari lake kwa ufanisi. ‘’yeees I am the winer’’ alishangilia mwenyewe noeli kimoyo moyo huku akitamani siku ziweze kwenda haraka sana, alitamani kuichukuwa karenda na aziongoze siku mwenyewe.Zawadi aliamuwa kwenda kupalangana katika shuguli zake kadili siku zilivyo zidi kwenda ndivyo zawadi alizidi kuwa mbunifu katika mambo yake aliokuwa akiyafanya kwa ufanisi mkubwa mno.

    Noeli akiwa na pastor Yule wa kizungu waliamuwa kupita mgahawani, kuweza kupata chakula kabla hawaja enda pastor alikuwa si mwenyeji sana katika mji wa mwanza alimuuliza noeli, ‘’mgahawa gani hapa ni mzuri?’’ noeli alifikilia kwa haraka akagunduwa sehemu pekee yakuwa fanya waweze kupata chakula kizuri ni, salima cone lilikuwa ni eneo kubwa kiasi la kuhudumia watu kwa chakula ama vinywaji kwa bei ambayo ni kubwa kidogo.’’saliama cone nipazuri hakika’’ alimuhakikishia pastor kijana noeli, ‘’sawa twaweza kwenda tupate chakuala kwanza’’ aliongea pastor hukuaki punguza mwendo wa gari lake. ‘’itabidi tule kwa haraka kidogo’’ alisema pastor maana ilikuwa siku inayofuata noeli akiondoka kwenda urusi, ingawa noeli alikuwa hajui kama itakuwa nisiku ambayo inayo fuata, ‘’kesho unatakiwa kuondoka’’

    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

     alisema pastor noeli akazidi kushangaa nakupatwa na furaha mala mbili ya aliyokuwa nayo. ‘’kumbe!’’ pastor akamtolea mpaka tiketi ya ndege ‘’ndiyo maana mpaka tiketi hiyaapa tayari’’ shauku ya safari ikaendelea kumjaa noeli punde walishuka kwenye gari nakuweza kuingia katika mgahawa wa salima cone walipokwisha kukaa mala muhudumu aliwa fuata na kuwasogelea hukuakiwa anataka kujuwa uhitaji wao, walimsalimia muhudumu kisha kila mmoja alikuwa akimwambia muhudumu kile alichokuwa akiiitaji kula.Kalibia nguo zote ambazo alinunuwa noeli zilikuwa nzuri, wakati zawadi akiwa njiani katika mipalangano yake alikutana na binti ambae waliye maliza nae shule ya sekondari ‘’zawadi’’ alimuita binti Yule ukuakimwangalia vizuri maana alihisi kumfananisha, maana dunia hii niya watu wawili wawili zawadi alipo geuka alimkuta ni sarafina ambae alikuwa na mabadiliko makubwa sana, kwamuonekano tu alionekana kuwa na mambo mazuri. ‘’sarafina’’ alilitaja jina lake kisha sarafina akamwambia ‘’za siku zawadi?’’ zawadi alikuwa akimwangalia na kushangaa namna ambavyo alivyokuwa kanenepa. ‘’nzuri’’ aliitika zawadi ‘’mbona umeshangaa sana?’’ aliuliza sarafina kisha zawadi akamwambia, ‘’umenenepa mno’’ waliongea na kuanza kukumbushana mambo mbalimbali, sarafina akamwambia zawadi ‘’lakini hata wewe umenenepa’’ alisema sarafina ukweli hata zawadi baada ya biashara zake kwenda vizuri alianza kupata mwili alikuwa mnene na mwenye kunawili vizuri.Wote walibakia kushangaliana sarafina alikuwa akisoma katika chuo kikuu chini Uganda[ makelele university] na alikuwa amekuja rikizo kusalimia nyumbani pia, mgongoni alikuwa na begi lililokuwa na kompyuta mpakato.’’sara begi lina nini?’’ aliuliza zawadi ‘’begi lina laptop’’ walipoanza kuzungumza na kukumbashana waliokuwa wakifanya shuleni walijikuta wakicheka sana.Maana vituko na mambo ya kipindi hicho yalikuwa yakiwafurahisha sana, zawadi ingawa mambo yalikuwa yakimwendea sawa lakini alijikuta kumuonea donge salafina.Akitamani sikumoja angalau asome na kuwa na shahada yake. ‘’sarafina nataka kusoma’’ alisema zawadi akiwa amefikilia kwa mapana na marefu mno, ‘’uwezo zawadi unao na akili unazo pia’’ alimwambia sarafina akimtia moyo zawadi ‘’matokeo yangu ya kidato cha nne sio mabaya’’ alianza kujenga dhana nyingine kichwani mwake.Ambayo iliibuwa hoja nyingi kichwani mwake zawadi. ‘’hivi inawezekana kwa mimi nilie komea kidato cha nne?’’ aliuliza zawadi hukuakiwa anahofia kwahilo,sarafina akamtowa uwoga kwahilo na kumwambia ‘’inawezekana nothing is imposible under the sun’’ alisema sarafina, Kitu ambachokili mbeba zawadi kwahari yajuu na watu wengine kujikuta wakimpa sifa ya usomi sana ilikuwa nikujuwa vizuri lugha ya kingereza. ‘’okey inthink iposiku tu’’ zawadi kwamuda mwingine ungeweza kusema ana huruka sawa na kaka yake noeli ingawa wote kwa namna ya tofauti walikutana na changamoto na kutokata tamaa kabisa, noeli wakati wa mwisho ndio aliibuka na kutaka kufanya tukio la ajabu na kustajabisha.Maongezi yazawadi na sarafina yaliendelea, ‘’zawadi kwa sasa unafanya nini?’’ aliuliza sarafina, ‘’mimi nakazana kufanya biashara zangu’’ baada ya mazungumzo sarafina alichukua kama dakika tano akifikilia sana kisha zawadi anamshangaa na kuamuwa kumuuliza, ‘’sara mbona umekuwa kimya sana?’’ alipokwisha kumuuliza hivyo sarafina alimjibu ‘’kuna kitu nakiona kwako’’ alisema sarafina.Huku akimfanyia tathimini kubwa sarafina alimuuliza zawadi kuhusu kipaji chake cha kuchora alihisi uwenda akawa amekisahau au kukipuuza, ‘’bado unachora?’’ alimuuliza kwanza hivyo sarafina.’’ndio nachora ila kuna kipindi niliacha’’ sarafina alimkumbusha michoro ambayo zawadi aliweza kuichora kipindi wakiwa shuleni, na hapo ndio aliweza kugunduwa zawadi kweli alikuwa na kipaji cha kuchora vyema. ‘’usiache hata siku moja unaweza kuwa bilionea kwakutumia michoro’’ alisema sarafina, ‘’kweli?’’ alishangaa zawadi na kutokuamini kabisa kama inawezekana.Wakati zawadi akiwa anashangaa katika hilo sarafina alienda pembeni na kuitowa kompyuta mpakato yake.Kisha alianza kumuonyesha wachoraji magwiji barani afrika, ‘’ahaaa!’’ alishangaa zawadi na kutikisa kichwa chake alimuonyesha michoro ya wachorji mashuhuli kutoka nchini ivorcost.Apo ndio aliweza kuona zawadi kumbe mambo yanawezekana, ‘’mbona hata mimi nachora kama hivyo’’ alisema zawadi ‘’kuna muda umasikini humfanya mtu asiweze kuendeleza kipaji chake’’ alisema sarafina kauli aliyo isema sarafina zawadi aliweza kuikubalia, naaliona angelikuwa mbali mno kutokana na uchoraji lakini umasikini wa nyumbani kwao ndio uliomfanya shindwe kukiendeleza kipaji chake. ‘’lakini kwa sasa nita chora’’ alisema zawadi ‘’chora’’ bado aliendelea kumsihi zaadi katika hilo jambo, zawadi alimwambia sarafina mpaka alipokuwa amefikia kibiashara zake.Alikuwa na akaunti benki pamoja na pesa ya mzuko katika biashara aliweza kumshitua sarafina maana kiasi alichokuwa nacho benki hata sarafina pamoja na usomi wake alikuwa hajafikia. ‘’hongera sana zawadi’’ alimpongeza kwaalipokuwa amefikia, ‘’asante sana ila nimehangaika mno’’ alipoongea hivyo sarafina akamwambia ‘’kawaida razima ulipie gharama ya maisha au kitu unachokitaka maishani’’ alichokisema sarafina alikuwa yuko sahihi maana, kama unapenda maisha mazuri razima ukubali kuya hangaikia au kujitowa.Waafrika wengi tumekuwa tukilisahau hilo.Mazungumzo yaliendelea ‘’nikweli sarafina hata mimi nimejifunza hilo’’ alisema zawadi huku ndoto yake yakuwa binti wa mfano na mwenye mafaniko ikimkaa akili mwake.Wali peana mawasiliano kisha wakaachana lakini kila mmoja alijikuta akiwaza mbali sana mala baada ya kuachana.

    Safari ya pastor na noeli iliendelea mala tu baada ya kuwa wamemaliza.Kula pale hotelini ili noeli aweze kuagana na mama yake lakini pia ilikuwa ni fursa nyingine, kwa mama noeli kuweza kukutana na Yule pastor mzungu ili wa famiane vyema. ‘’noeli nielekeze njia’’ alisema pastor maana walianza kuingia mitaa ambayo pastor alikuwa haijui, mazingira waliokuwa wakiishi wakina noeli yalikuwa ni ya watu wenye maisha ya hali ya chini.



    ‘’mitaa hii nyumba zime kaa vibaya’’ alisema pastor kulikuwa na nyumba ambazo zilikuwa hazina mpangilio maarumu.Hatimae walifika nyumbani kwao noeli kulikuwa sio mbali sana na mjini, mama noeli akiwa ndani anaona gari zuri la kifahari likiwa lime paki mbele ya nyumba yao, ‘’mmmh! Leo nini hiki tena’’ alipata wasiwasi sana akihisi uwenda wakawa ni askari wame mjia tena.Alikuwa amekaa na mjukuu wake huku akiwa wamejifunikiza kitenge maeneo ya mabegani.Alishangaa kumuona pastor akitoka pamoja na noeli huku noeli akiwa ni mwenye furaha sana. ‘’pastor karibu ndani’’ alisema noeli ‘’haya asante noeli’’ alisema pastor huku akiingia kweli ndani kwao noeli, mama noeli alisimama na kupeana mkono na yule pastor wa kizungu ‘’pastor huyu ndie mama yangu’’ alimtambulisha kwa mama yake kwa pastor ‘’nikweli mnafanana’’ pastor alikuwa na haraka sana walitumia dakika chache kutambulishana na kujuwana.Kisha pastor alimueleza mama noeli kila kitu ambacho kilikuwa kikiendelea kwa mwanae pamoja nayeye.Mama noeli alishituka kisha akamwambia noeli, ‘’kwaiyo noeli huto rudi?’’ alipouliza hivyo noeli alimjibu ‘’apana mama nita rudi’’ alisema noeli pastor nae alimuondowa hofu mama noeli na kumwambia, ‘’atakuwa akirudi na taarifa zake mimi nitakuwa nikija hapa nyumbani mala kwa mala kukuambia’’ aliongea pastor na mama noeli akaondowa hofu na imani potofu.Ilikuwa nikama ndoto vile lakini ndio ulikuwa uhalisia wakile alichokuwa akikiwaza kwa muda mrefu noeli, pastor alimuachia pesa zakujikimu mama yake noeli kisha wakaondoka noeli alijikuta kusahau hata kumuaga dada yake akakumbuka akiwa njia kisha wazo likamjia, ‘’nitampigia badae zawadi kumuaga dada yangu’’[kuna muda ndoto huwa kweli endapo juhudi na kujituma na kumuomba yehova vikiambatana].****



    SURA YA TISA.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    NOELI AKIWA NJIANI KUELEKEA UWANJA WANDEGE.

    Ilikuwa nikatika mji wa kibiashara wa Tanzania, dar eslaamu noeli alikuwa kafikia usiku wajana yake.Katika hoteli ya regency park iliyoko mikocheni jijini dar eslaamu, ‘’fanya haraka’’ alisema mtumishi wa hotelini hapo akiwa ana msubilia noeli aweze kumpeleka uwanja wa ndege, maana baada ya masaa mawili alikuwa akitakiwa kuwa katika ndege tayari kuelekea kwanza cairo misiri, noeli alikuwa akiondoka kupitia kampuni ya ndege ya [emirates] safari yake ilikuwa niya kupitia takribani viwanja kadhaa vya ndege katika nchi za kiafrika kwani baada ya kupita misiri katika mji wa kairo walitakiwa kupita tena uwanja wandege wa kimataifa wa dubai. ‘’namalizia kuvaa’’ alisema noeli akiwa angali ndani ya chumba chake, ‘’nakungojea wewe’’ kulikuwa na wageni wengine pia ambao walikuwa wakisubilia kupelekwa uwanja wa ndege. ‘’haya tayari’’ aliongea noeli akiwa anatoka nje alikuwa amevaa nguo zenye kumpendeza alitoka na funguo za chumba chake iliaweze kuzikabidhi.Ilikuonyesha kama kweli ametoka walisimama kidogo kisha wakaondoka, maisha ambayo aliyaona pale regencypark hoteli noeli akilala katika kitanda kizuri na kula chakula kizuri pia.Maisha yale alikuwa hajawai kuyaona wala hata kuyaishi kabisa tangia kuzaliwa kwake hatimae alikuja kuyaona ujanani mwake ‘’aisee kumbe hakuna shida duniani’’ nimaneno ambayo alikuwa akiongea mwenyewe usiku ule alipokuwa amelala na kiyoyozi kikiwa kinampuriza.Joto la mji wa dar eslaamu yeye hakulisikia kabisa ilikuwa nisiku moja tu lakini noeli alikuwa kanawili na kutakata sana. ‘’mungu haya ndio maisha yangu’’ aliwaza mengi sana usiku ule alipokuwa regencypark hoteli, wakiwa ndani ya gari walianza maongezi ‘’kijana unaitwa nani?’’ aliulizwa noeli na baba mmoja aliyekuwa raiya wa Zimbabwe, noeli alimjibu, ‘’naitwa noeli’’ alimjibu kwa lugha ya kingereza ‘’noeli unaenda wapi?’’ alikuwa akimuuliza huku akimwangalia noeli, ‘’naenda mosco urusi’’ alijibu noeli alikuwa anajiamini sana hata katika kujibu maswali yake. ‘’unaenda kusoma au shuguri?’’ alikuwa amekaa karibu na noeli nakila alichokuwa akiulizwa alijaribu kukijibu. ‘’naenda kimasomo’’ alisema noeli hukuakiangalia muda katika saa yake. ‘’unakwenda kusoma katika ngazi gani?’’ aliuliza Yule baba mzimbabwe noeli alimjibu, ‘’ngazi ya shahada’’ alikuwa akishangaa mno maana alimuona noeli mdogo ‘’aisee mbona mdogo sana’’ noeli alikuwa akitabasamu wakiwa njiani walikutana na msongamano wa magari.Iliku wani katika mtaa wa ubungo balabara ya morogoro, ‘’utasoma nini?’’ alimuuliza noeli alianza kumjibu, ‘’nataka kusoma jounalism’’ alisema noeli alikuwa kabahatika kuongea na wasomi wakubwa kutoka Zimbabwe ambao walikuwa wakikubalika hata katika nchi za magaribi mwa afrika. ‘’si utakuwa ukirudi afrika?’’ walimuliza noeli nae aliwambia na kuwa hakikishia kuwa razima atarudi.Wao walikuwa Tanzania wakifanya [reseach] pamoja na project zao mbalimbali ambazo walikuwa nazo. ‘’haya sawa utakuwa ukipenda kuwasiliana nasi?’’ walimuuliza wale wazimbabwe, kisha noeli akawajibu, ‘’ndio mnaweza kuni patia mawasiliano yenu’’ walitokea kumpenda sana noeli, walimpa baruapepe na nukushi zao pamoja na namba zao za simu.Wigo mpana kwa noeli ulikuwa ukizidi kuimalika akiwa bado anaongea na wale wazimbabwe mala pastor Yule mzungu akampigia noeli simu, ‘’hellow noeli’’ noeli alipo kwisha kupokea simu alimwambia kuwa akielekea uwanja wa ndege,pastor alimwambia kila kitu kiko sawa na atakapofika mjini mosco urusi kuna watu watakuwa tayari kumpoke kila kitu kilikuwa kimewekwa sawa.Tayari picha za noeli zilikuwa zimetumwa kuondowa dhana ya kwenda kumpokea mtu wasiye mfahamu.Mawasiliano pia ya wenyeji wake noeli alikuwa nayo pastor alimtakia safari njema.Gari lilikuwa likikimbia sana hatimae walibakiza hatuwa chache kuweza kufika juliasi kambalage nyerere international airport, ‘’ukifika soma sana’’ ndio maneno ya mwisho kwa wazimbabwe wale walio weza kumuachia noeli.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ZAWADI NA UGUNDUZI WA BIASHARA NA UBUNIFU

    ‘’Success on my mind’’ ndilo wazo lililokuwa limejengeka kichwani mwake zawadi. Nakumfanya awe mbunifu kila iitwayo siku, alikuwa nyumbani yeye pamoja na mama yake ‘’noeli ameondoka’’ alisema mama noeli ‘’nimesha wasiliana nae’’ alikua amekaa mikono akiwa kaiweka kichwani.Huku akili yake akiwa ameiweka katika malengo makubwa zaidi, mama nina wazo’’



     aliongea kwautaratibu zawadi, ‘’wazo gani?’’ aliuliza mama yake noeli ‘’nikuachie mladi wa samaki uendeleze’’ mama noeli ilibidi aweze kukubalia maana alikua amefirisiwa na akawa amebakia katika dimbwi la kukaa nyumbani, kitu ambacho mama noeli alikuwa hakipendi ‘’sasa wewe je mwanangu?’’ alikua akitaka kujuwa yeye hatima yake itakuwa vipi zawadi alimjibu mama yake na kumwambia ‘’nimepata shuguli nyingine ya kufanya’’ alimshangaza mama yake, alikuwa kashitukiza mno kwa taarifa hiyo.Zawadi alikuwa ame [plan] kuanza kulima bustani ndogo ndogo za mazao alafu awe akivuna na nakuja kuuuza mjini, alipanga siku iliyokuwa ikifuata aende kijijini kufanya [survey] hakuwai kuambiwa na mtu wala kusikia kwa mtu lilikuwa ni wazo lake mwenyewe, ‘’bado hujaniambia ni wazo gani?’’ alimuuliza mama yake kutaka kujuwa zawadi alimwambia pasipo kumficha. ‘’mama nataka kulima bustani ndogondogo, mama yake alimuona zawadi anaakili sana kwani alizidi kumtia moyo akimwambia, ‘’kilimo kina pesa kama ukikipatia mwanangu’’ ilikua nijambo la furaha sana kwa mama noeli kusikia habari hiyo kutoka kwa mwanae.

    Fatuma akiwa anatafuta mno vijana wakuweza kuungana na kufanya wazo ambalo alikuwa nalo alijikuta siku hiyo akitembea na kufika mitaa ambayo noeli alikuwa akiishi pasipo kujuwa.Alifika na kukaa katika duka moja la vinywaji ‘’dada habari yako?’’ alisalimiwa na muuzaji wa duka hilo akiwa ni mwenye uchangamfu usiokuwa na kifani, ‘’dah! Naomba soda’’ alisema fatuma kisha akaitikia kwa salamu aliyokuwa kuwa kasalimiwa ‘’nzuri’’ fatuma alikaa kwakuji bwaga maana alikuwa amechoka. Muuzaji aliingia katika duka na kumletea soda kisha ana mpatia, ‘’asante’’ alisema fatuma Hukuakifunguwa soda yake.Wakati fatuma akiwa amekaa pale dukani zawadi nae alikuwa akijiandaa kwenda dukani pale, kuna huduma flani ambayo alikuwa akiitaji. Punde si punde noeli pamoja na wale aliokuwa nao ndani ya gari wali wasili uwanja wa ndege kilichokuja kuwa tofautisha ni uwelekeo walijikuta noeli akielekea uelekeo wake na wale wazimbabwe wakielekea uwelekeo wao, ‘’sisi tunaenda pritoria’’ walimwambia noeli ‘’sawa’’ alikubalia noeli tuna panda ndege tofauti sasa tutaendelea kuwasiliana’’ walimwambia wale wazimbabwe waliachana na ilikuwa ni furaha ikitawala kwa kijana noeli maana waliweza wote kuachiana mawasiliano, kwakuwa ilikuwa mala yake ya kwanza noeli kupanda ndege alijitahidi kufuata kila utaratibu aliokua akielekezwa na wale watowa huduma wapale uwanjani.Vijana wa mtaani kwao noeli walikuwa hawa msikii kwa sasa noeli redioni walijuwa bila shaka kutakuwa na utata, ‘’noeli asikiki’’ waliongea vijana wenzake, ‘’hana uwezo’’ alisema kijana mmoja huku akimpondea sana noeli kwakile ambacho alichokuwa akikifanya. ‘’lakini nimeona ana jaribu kidogo’’ kuna msemo usemao nabii hatambuliki kwao noeli thamani aliyokuwa akipewa mtaani kwao ilikuwa hailingani na kile alichokuwa akikifanya.Uwezo wake mzuri na ubunifu wake kwa vijana wenzake ulikuwa siichochote wala lolote, ‘’nina muona siku hizi akiwa anatowa makala’’ alisema mwingine ambae alikuwa akizisoma makala za noeli katika gaeti ‘’makala tena ata hangaika sana’’ walimuongea kwa kumsema vibaya mawazo yao yalikuwa [negative] ‘’nikweli atahangaika mno’’ unapoanza kunyanyuka na kuonyesha kitu flani cha tofauti razima utakutana na watu wa kukukatisha tamaa, wakikudhalau unachokifanya hata wapo ambao watakukejeri kabisa.Napenda kukuambia yote hayo huwa ni mapito tu ukiwa na nia katika jambo flani utafanikiwa tu.Wakati wao wakiwaza hivyo noeli alikuwa akijiandaa kupanda ndege kuelekea chini urusi noeli pia alikuwa msiri katika mambo yake hakupenda kusema [plan] zake zawadi ingawa alikuwa ni ndugu yake lakini bado hakujuwa mipango na malengo ya noeli yalikuwa niyapi, tujifunze kitu kimoja kuweka usiri katika mambo yetu inaweza kutusaidia sana na kuwafanya wakatishaji wa tamaa yaani watu[negative thinker] wasijuwe umelenga nini hasa katika maisha yako.

    FATUMA WANA FAMIANA NA ZAWADI NA KUJA NA WAZO LA BIASHARA.

    Jua lilikuwa likiwaka sana fatuma alikuwa akinywa soda huku akiwa anazungumza na Yule muuza duka. ‘’maeneo haya mazuri sana’’ alisema fatuma kisha muuza duka akawa akimwambia ‘’nikweli’’ wakati wakiongea na yule muuza duka mala zawadi akawa akija pale dukani zawadi alikua akipenda matani sana na yule muuza duka. ‘’karibu zawadi’’ zawadi alianza kucheka mno kisha akamwambia, ‘’leo unipimie vizuri’’ aliongea zawadi hukuakiwa anacheka ‘’sawa zawadi nitafanya hivyo kwajili yako’’ zawadi alikuwa amesimama kisha anaamuwa kukaa kwenye benchi ambalo alilokuwa amekalia fatuma, ‘’ngoja nisogee’’ alisema fatuma akimwachia nafasi zawadi aweze kukaa, ‘’leo ujaenda kwenye biashara’’ aliuliza Yule muuza duka maisha ya zawadi tangia anakuwa Yule muuza duka alikuwa akiyajuwa vyema, ‘’ilazawadi na wewe mpambanaji’’ alisema Yule muuza duka kisha zawadi akamwambia ‘’mimi napenda biashara na kuwekeza’’ aliongea ukweli uliotoka moyoni mwake, fatuma yeye alikuwa amekaa kimya akinywa soda yake taratibu.Zawadi alimwambia Yule muuza duka kuwa anajipanga iliaje kuanzisha kampuni yake ya mitindo na uchoraji, wa michoro ya kiafrika muuza duka alishangaa sana kisha akamwambia zawadi ‘’mbona wazo kubwa sana zawadi!’’ alishangaa sana nakujiuliza zawadi pesa za kuanzisha hicho anachokisema atatolea wapi? alishindwa kuelewa kabisa, ‘’una ndoto za alinacha’’ alisema Yule muuza duka hukuakicheka.



     ‘’nakwambia ukweli utakujaona’’ alizidi kumwambia Yule muuza duka ‘’mtaji utatowa wapi?’’ zawadi aliweza kumwambia kila kitu duniani huanza na wazo na sio mtaji.Zawadi baada yakuona maswari yalikuwa mengi nayote niya kumkatisha tama alimwambia ‘’if you think small you will remain small for life’’ fatuma alianza kuona kitu katika maongezi ya zawadi, zawadi alikuwa akipenda kusoma sana vitabu vya [motivation] vilimfanya aweze kuwa watofauti na awe mwenyefikra pana mno kuhusu biashara na maendeleo.Maongezi ya zawadi yalikuwa niya utulivu mno fatuma kwa maongezi aliokuwa akiyaongea zawadi.Alihisi uwenda pengine akawa amesoma sana kisha ana amuuwa kumuuliza ‘’umesoma chuo gani?’’ zawadi alitabasamu badala ya kujibu swari nae alimuuliza swari, ‘’dada kwa nini umeniuliza chuo kwa haraka?’’ aliuliza binti zawadi akiwa anamuangalia fatuma. ‘’una mawazo na mitizamo ya kisomi’’ alisema fatuma lakini hilo alikuweza kumshituwa zawadi yeye alibakia kujiona wakawaida tu, ‘’mimi wala hata sio msomi’’ alisema zawadi ‘’hapana unani ficha’’ aliwaza hivyo fatuma na kumwambia hivyo zawadi.Zawadi alikuwa na vidato vine tu lakini alikuwa na uwelewa na maarifa makubwa.Siku zote nguzo ya elimu huwa ni nzuri hasa pale elimu inapokuwa ikitumika. ‘’sasa nahisi naweza kukutumia katika…. Zangu’’ alisema fatuma, fatuma alikuwa ni mtu wa kujitambulisha kwa haraka, ‘’mimi nimesoma shahada ya mawasiliano kwauma’’ kila aliposikia shahada alijikuta moyo wake ukimwendelea mbio na kuanza kufikilia sana.

    Fatuma alitaka kumchukuwa zawadi ‘’nime yasikia mawazo yako nisawa naya kwangu’’ alimueleza zawadi, ilikuwa kama kusadikika maana zawadi nae alikuwa ametokea kumsikiliza sana fatuma, ‘’kumbe tuna weza kuwa pamoja ila sipendi tu mtu wa kukatishana tamaa’’ aliongea maneno hayo kwakujiamini ‘’tuta fanya kazi wewe usijali’’ aliendelea kumtia moyo ‘’malengo yangu mimi huwa haya potei’’ kwa maneno yake mtu angeweza kusema zawadi ana jisikia sana kumbe alikuwa akipenda kuwasilisha maneno yake kwa hisia na msukumo kutoka moyoni na wala sio kujiona. ‘’unakaa wapi?’’ alikuwa akitaka kupafahamu anapoishi, ‘’naishi apo nyumba ya pili’’ aliongea huku akiwa anamuonyesha fatuma alipokuwa akikaa fatuma alikuwa hajajuwa kama noeli kapata nafasi yakwenda kusoma nchini urusi wakati huo noeli alikua tayari katika anga akisafiri kuelekea nchini urusi.Noeli akiwa kwenye ndege alikuwa akipepe suwa macho yake huku na kule alikuwa akishangaa sana ‘’mmmh!’’ aliguna hata aliyekuwa karibu nae aligunduwa noeli alikuwa akishangaasana.

    Zakaria alikuwa ni mwana mitindo ambae alitamba sana katika jiji la mwanza.Katika maongezi yao walikuwa wamepanga kukutana na kijana huyo aliyekuwa mwana mitindo na mtu mwenye mvuto wa hali ya juu sana. ‘’zakaria atatusaidia’’ alisema fatuma ‘’kama una connection nae sawa’’ alikua akiongea kwa utulivu zawadi ‘’nitafanya juu chini nipate mawasiliano nae’’ ilikua ni ahadi yake ambayo alikuwa ameidhamilia katika moyo wake binti fatuma, kuongea tu na zawadi na jinsi ambavyo zawadi alivyo fatuma alihisi kabisa wao tu wawili wanauwezo wakufanya mambo na yakaweza kwenda vizuri waliachiana mawasiliano kila mmoja alikuwa tayari kumpatia mawasiliano mwenzake. ‘’nita kutafuta weekend’’ alisema fatuma ‘’sawa’’ fatum a baada ya kuondoka alikua ameondoka akiwa ni mwenye furaha alikuwa akiwaza mwenyewe kichwani, ‘’aisee kumbe kuna mabinti wana mitizamo chanya’’ alikuwa akishangaa mno kwabinti kama zawadi, alimfanya hata yeye awe na ufiki tunufu.Mama zawadi akiwa nyumbani alianza kuwaza namna ya kuweza kuikuza biashara ambayo mwanae zawadi alikuwa kamuachia kufanya, ‘’inabidi ni juwe mbinu za kukuza bishara yake’’ alikuwa akiwaza mno wakati akiwaza alikumbuka maneno ya muhamasishaji mmoja ambae alikua alishawai kuhudhuria katika moja ya semina yake, aliwafundisha mbinu za kufanikiwa kibiashara na namna ya kukuza biashara mama noeli akiwa anawaza alikuja kutembelewa mida hiyo na fariki yake anipha alikuwa katika wakati ambao ni mgumu sana, ‘’suzani” aliita anipha hukuakiwa mnyonge sana.Mama noeli aliitikia hukuakitoka nje ‘’abee anipha’’ aliitikia mama noeli alimuangalia rafiki yake na kugunduwa alikuwa katika huzuni isiyokuwa na kifani. ‘’mbona una mawazo sana’’ alimuuliza mama noeli anipha alikuwa kainamisha kichwa chini ‘’mambo magumu suzani’’ aliongea anipha kwa upole na utulivu ‘’kivipi’’ anipha alikua akimuelezea mama noeli hali yaliyokua nayo ‘’wanangu hawana….’’ alimwambia hali halisi ya maisha aliyokuwa nayo nyumbani kwake. Fatuma alipofika nyumbani kwao alimkuta mama yake akiwa amekaa sebleni akiangalia [dvd] ambayo ilikua imeandaliwa na mhamasishaji mashuhuli ulimwenguni [rezybrown] ‘’mama?’’ alimuita mama yake binti fatuma ‘’abeee’’ aliitikia na kujikuta akiachakuangalia elimu ambayo iliokua ikitolewa, unasema je fatu?’’ aliuliza mama yake ‘’nime mpata binti mwenye mitizamo chanya sana’’ aliongea fatuma huku akifurahiya sana.Wazo lake fatuma alikua alisha mshilikisha mama yake tangia miaka miwili nyuma, ‘’ana uwezo kama wako?’’ alijalibu kutaka kujuwa ‘’anauwezo tena sana’’ mama yake pia alifurahi pia kisha alimtaka fatuma aweze kuangalia ile [dvd] ya muhamasihsaji mkubwa ulimwenguni. ‘’angali nirazima utatoka na wazo’’ alisema mama fatuma huku akinyoosha miguu yake vizuri kuangalia, ‘’dah! Mama huyu si rezybrown?’’ aliuliza fatuma kisha mama yake akamwambia ‘’ndie’’ alimjibu lakini akili yake akiwa ameiweka kikamilifu katika kuangalia alichokuwa akikifundisha muhamasishaji huyo nguli duniani. ‘’unamjua?’’ alimuuliza mama yake ‘’namjuwa tena nasoma sana mpaka vitabu vyake’’ kiujumla familiya yao walikua ni watu wanao penda kujifunza sana mambo mengi sana.Ndio maana mama yake fatuma alikua hamkatishi mwanae tamaa kwakila kitu ambachoalikuwa akipangilia kukifanya, wakati wakiangalia alichokuwa akifundisha muhamasishaji huyo nambali moja ulimwenguni.Fatuma alimwambia mama yake, ‘’nataka kuwa mwana mke wa mfano’’ mama yake alimwambia ‘’mwanangu inaweze kana hakuna linalo shindikana’’ maneno ya mama yake yalizidi kuwa chachu ya kumpa muamko fatuma, fatuma alikumbuka alisha soma historiya ya bilionea mmoja wa kifaransa alipitia misukosuko mingi sana hatimae aliweza kufanikiwa kimaisha na kuwa moja kati ya matajiri wa kubwa nchini ufaransa.Historia hiyo ilimfanya kupata muamko tena mwingine zaidi wa kuweza kufanya mambo pasipo kuogopa changamoto[tusi ogope changa moto bali tuwe problem sover].



    ********************

    Hatimae noeli anafika uwanja wandege wa kimataifa wa johaness bug,

    Ilikuwa ni muda wa saa tatu usiku kwamuda wa masaa ya kusini mwa afrika.’’mmmh!’’ alikua akishangaa sana mji wa johaness bug ukiwa watofauti na mji kama mwanza au dar eslaamu.’’tumefika?’’ alimuuliza mwenyeji wake noeli, huku akishangaa huku nakule ‘’hapana hapa ni south africa’’ walishuka katika ndege nakuelekea katika sehemu ya kupumzikia abilia.Ili kuandaliwa ndege ya kuweza kupanda tena kuendelea na safari akiwa bado noeli akiangalia, madhari ya uwanja wa ndege wa johaness bug.



    Mara pastor akampigia simu tena kutaka kujuwa alipokuwa, ‘’hellow noeli umefika wapi?’’ aliuliza pastor kalibia kila mala alikuwa akitaka kujuwa alipofikia, ‘’niko south afrika’’ alijibu noeli akawa amemshangaza sana pastor maana alijuwa watapitia katika mji wa cairo huko misiri, ‘’sasa uko hautasumbuliwa?’’ aliuliza pastor akiwa anawasiwasi noeli alimwambia ‘’niko na mwenyeji’’ aliongea noeli pasipokuwa na hofu yoyote maana alitokea kumuamini Yule mwenyeji ambae aliyekuwa nae katika ndege.Pastor alipata wasiwasi kwa sababu tu ya uhaini uliokuwa nchini southi afrika pia ilikuwa ni sehemu ngumu kuweza kumuamini mtu yoyote Yule, ‘’kuwa makini’’ alisema pastor akimpa tahadhari mapema noeli, ‘’sawa pastor’’ baada ya kuambiwa hivyo noeli alikuwa chonjo sana, noeli alikua amejihisi kiu mpaka makoo yake kuweza kauka, ana amuwa kwenda katika duka kununua maji ya kunywa alipofika dukani alipokelewa kwa furaha kubwa sana.Kisha akaulizia bei ya maji yaliokuwa katika chupa, ‘’how many lands?’’ aliulizia bei ya maji huku akiwa ameshikilia chupa ya maji aliambiwa bei kisha akaingi amfukoni na kutoa kiasi cha pesa na kumpatia muuza duka.Noeli alitokea kuyapenda maisha ya johaness bug vyema, ‘’okey thanks’’ katika uwanja wa ndege wa johanessbug kila ndege iliyo tuwa aliona sura za makaburu ndio zili tawala.Alipoona hivyo hatimae aliamuwa kumuuliza mwenyeji wake, ‘’mbona wazungu wengi?’’ alipouliza hivyo mwenyeji wake akamjibu, ‘’hii ni nchi ambayo ina watu tofautitofauti’’ alimjibu Yule mwenyeji wake ‘’lakini wazungu bwana inakuaje waendelee kubaki katika bara letu?’’ alijiuliza kijana nakisha akamuuliza tena Yule mwenyeji ambae alikaa nae karibu, kwakuwa ilikuwa ni usiku watu ambao walikuwa ni abilia wenzake aliwaona wakiwa wana pata chakula cha usiku.Walikaa muda mchache kisha ndege nyingine ikaandaliwa kwajili yao, wakatangaziwa ilikuwa tayari kuweza kuondoka uwanja wa ndege wakimataifa wa johanessbug.Ndege iliyokuwa mbele yao ilikuwa niya kampuni ya [air Qatari]http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ilikuwa nisiku ya jumapili fatuma alikua akitaka kukutana na zawadi katika hoteli moja maarufu jijini mwanza.Malaika hoteli iliyokuwa katika ufukwe wa ziwa victoria ‘’mwambie aje hapa’’ alisema baba yake na fatuma wao walikua tayari wako katika eneo hilo la kifahari. ‘’sawa baba’’ alikubalia fatuma haikujulikana wanataka kufanya nini, au niajenda gani ambayo waliokuwa nayo, ‘’hellow zawadi?’’ alianza kwakusema hivyo kisha zawadi akaipokea na kuitikia, ‘’abee’’ aliitikia kwa utaratibu kisha fatuma akamwambia ‘’unaweza kuja malaika?’’ zawadi kwakua alikuwa katika mipango mingi sana na akiwa katika mpango wa kuweza kuitimiza alimwambia, ‘’ndio naweza’’ fatuma alikua kampa sifa alizokuwa nazo zawadi, baba yake maana baba ake fatuma alitaka kujuwa zawadi ana [capacity] kubwa kiasi gani.Alitaka kujuwa mambo pamoja na mipangilio yao ikovipi, zawadi alimpangia mama yake samaki wakwenda kuuza na alimpangia mpaka bei ambaayo atakayoenda kuuzia na yenye faida.Baada yakumaliza zawadi aliondoka kuelekea katika ufukwe wa malaika, ‘’zawadi mbona una haraka?’’ alimuuliza mama yake ‘’mama kuna sehemu nawai’’ alisema zawdi kila kulipokucha zawadi alikuwa akiongezeka maarifa zaidi.Wakati alipokua akitembea njiani aliingiwa na mawazo kibao yakiubunifu pamoja na biashara, walikuwa wakimsubilia zawadi hukuwakinywa vinywaji ‘’nataka mwanangu ufike mbali’’ alisema baba yake huku akiamini uwezo ambao fatuma aliokuwa nao, akiamini pia katika elimu mwanae aliyonayo.

    PASTOR AKIWA KATIKA MAOMBI NA MAFUNGO ANA RETEWA MAJIBU YA NOELI PAMOJA NA FAMILIA YAKE,

    Ilikuwa mgumu sana kwa pastor kutwanzima aliishi kwa maji.Akiwa amejikita katika maombi,alikuwa amekaa kwenyekiti mkononi akiwa amekaa na [bible] yake ‘’yehova hakuna maisha bila wewe’’ alikuwa akinena maneno hayo hukuakiwa ananyanywa macho yake juu ya anga.picha ya nadhalia ikawa inakuja mbele yake na sauti ikawa ikimjia ikisema ‘’hakuna mwanadamu alio nitegemea na akashindwa’’ picha ikamjia ya noeli akimuona akiwa amekaa juu ya jopo kubwa la watu, alimuona noeli akiongea maneno yenye kuhamasisha watu na kuwapa moyo na faraja. ‘’hakuna ushindi pasipo maumivu’’ aliona noeli akinena maneno hayo.Huku akiwa amevaa suti yenye kupendeza, picha ya watu ambao aliokuwa akiongea nao noeli walikuwa ni wazungu.Alianza kuona picha nyingi mno zilizo kuwa zikimuonyesha kijana noeli, baada ya nadhalia hizo zisizokuwa na kifani aliamuwa kuinamisha kichwa chini.Kisha anainamisha kichwa chini na kuanza kusali kwanguvu na juhudi, badae tena ikamjia pichanyingine pastor ikimuonyesha noeli akiwa amekonda.Nakukoswa hata nyama mwilini mwake kula yake ikiwa niyashida na ‘’ yehove nini hiki?’’ alimuona noeli akinena maneno hayo, akionekana kutengwa na watu.Baada ya kuona pastor njozi zikiwa zimemjia kama hizo aliamuwa kufumba macho yake maana aliingiwa na huzuni isiyokuwa na kifani.Akiwa katika huzuni mala sauti ikasikia ikimwambia, ‘’every man who want tobe successful you must also pay the price of your success that you want’’ sauti hiyo ilipomjia katika masikio yake alifungua macho yake huku akiona nikweli kwakile kilichoongelewa.Bado sauti iliendelea kunena na kusema, ‘’even jesus every one nows he is the son of the god but he get pain, and then jesus be the winer’’ pastor alikuwa mtulivu na moyo wake ukawa na amani, akijuwa hata kama noeli atapambana na matatizo yatakuwa niya kitambo kidogo tu hayata kuwa yamilele kwake.Alipokwisha kuwaza hivyo mala alianza kufikilia pastor ambavyo aliteseka na hatimae akawa mshindi nakuweza kutambiliwa kuwa mfalme wa dunia hii, alijiegemeza ukutani kisha aliendelea kuwaza sana mwiliulikuwa umemuishia nguvu.Wakati akiwa anawaza sana pastor mala akawa ametembelewa na kijana mmoja ambae alikuwa ni [motivation speaker] gwiji nchini Canada.Kijana huyo alikuwa ni msomi aliamuwa kuja kumtembelea pastor kwakua tu alikuwa kaja southafrika kutowa semina.Katika chuokikuu cha mandera university, ‘’hodi hodi hapa’’ aliongea kwa sauti hukuakiwa napigapiga geti, iliaweze kufunguliwa alikuwa ni mmzungu semina zake zilikuwa ziki wasaidia vijana wengi amerika mpaka afrika pia, alikuwa amevalia suti yake mkononi alikuwa ameshikilia [briskefu] ambayo ilikua na nyaraka zake ambazo zilimsaidia katika kutowa semina zake.Mlinzi baada ya kuona akigonga aliamuwa kwenda kumsikiliza. ‘’karibu’’ aliongea mlinzi hukuakiwa anafunguwa geti, ‘’asante nimemkuta pastor?’’ mlinzi hakutaka kumkatalia kumjibu alimjibu, ‘’yupo’’ Yule kijana mzungu alijitambulisha lakini kutokana na amli aliyokuwa kaiweka Yule pastor ilimbidi aweze kwenda kumuuliza pastor kwanza, Yule kijana mkanada hakuweza kushangaa maana alijuwa kilasehemu huwa na utaratibu wake. ‘’pastor….. pastor?’’ aliita mlinzi, ‘’nammm’’ pastor aliitika kwa sauti ya chini naya kujirazimisha, ‘’eti unamfahamu….. wa Canada?’’ pastor alimjibu nakumwambia, ‘’ndio kama yupo nje mwambie aingie ndani’’ pastor alipata na nguvu za kuweza kunyanyuka alikuwa anamfahamu vyema Yule kijana maana alikuwa amewahi kumfundisha masomo ya kidini nchini Canada.Mlinzi alirudi mbiombio mpaka getini kisha anamfungulia geti Yule kijana wakizungu aweze kuingia ndani. ‘’sawa unaweza kumuona’’ aliongea mlinzi ‘’asante sana’’ alimjibu kwa kutabasamu na ucheshi hukuakiingia ilikuwa sio mala yake ya kwanza kuja chini Tanzania.Ilikuwa ni safari yake ya tatu kuja kumsalimia pastor wake.

    Akaingia mpaka ndani alipo kwisha kuingi alimkuta pastor akiwa amesimama.Kama utazania alikuwa akimsubilia Yule kijana wakizungu aliweka begi lake chini na kwenda kumkumbatia pastor wake. ‘’za siku?’’ pastor aliitikia ‘’nzuri’’ walianza kusalimiana wakiwa wameshikiliana mikono yao nyuso za furaha ndizo zilikuwa zimetawala kwa wawili hao, ‘’karibu kiti’’ alimkalibisha pastor, ‘’asante pastor’’ aliongea huku akienda kukaa katika kiti ambacho alikalibishwa na pastor wake, pastor alionekana kufurahiya ujio wa kijana Yule mkanada.Ambae miaka kumi na sita iliyopita nyuma alikuwa akiishi maisha ya jabu naya kustaajabisha sana. ‘’maendeleo yako?’’ aliuliza pastor kisha akamjibu ‘’safi pastor’’ alikuwa nae akimjibu pastor akiwa ni mwenye tabasamu, ‘’naona umeamuwa kuja afrika tena’’ aliongea pastor lakini njaa ilikuwa ikimsumbuwa, ‘’apana nilikuja south afrika kwenye semina yangu’’ pastor alifurahiya sana maana yeye pekee ndie aliyekuwa akimtia moyo kijana kijana huyo wakati wa mpito wake. ‘’nimepita kukusalimia’’ pastor alimjibu na kumwambia ‘’mungu ni mwema’’ pastor alisema hivyo maana aliona kijanahuyo aligeuka kuwa msaada kwa wengine.Upande wa binti fatuma ndoto zake pamoja na za zawadi zilikuwa zimeendana.Zawadi alikuwa kafika ktika ufukwe wa hoteli ya malaika, akawa kamkuta fatuma pamoja na baba yake mzazi, ‘’zawadi karibu’’ alisema fatuma ‘’karibu binti’’ alisema baba yake fatuma huku akiwa anatabasamu kwakuweza kumuona binti zawadi aliyeipata sifa zake.’’asante’’ aliwajibu zawadi hukuakikaa alimsalimia baba yake fatuma kisha fatuma alianza kuwa tambulisha wawili hao, ‘’zawadi huyu ni baba yangu’’ aliongea fatuma hukuakifurahiya ‘’sawa’’ zawadi alioneka kuwa makini katika mazungumzo, ‘’baba huyu ndie rafiki yangu anaitwa zawadi’’ baba yake alitabasamu kisha akasema, ‘’nime furahiya kumjua’’ furahanazo tabasamu zilikuwa zikitawala katika maongezi yao ilikuwa nisawa familia moja kwa namna ambavyo walivyokuwa wamekaa.Kisha walianza kutowa mtiririko wa mipango yao na aliyekuwa akiongea sana alikuwa ni binti zawadi.Kwanamna alivyokuwa akimuelezea baba yake fatuma aliona niwazi kutakuwa na mafanikio mbele yao. ‘’tuna mipango mingi mzee na tunataka kukuza kampuni yetu kuwa brand’’ alisema zawadi maneno yake ndio yalimvutia sana baba yake fatuma, zawadi aliweza kufanya kitu cha tofauti sana kuwa na mawazo na kuyatowa kwamtu mwenye pesa.Ukweli ni kwamba watu wengi wamejikuta wakijificha katika fikra za kimafanikio.Kwakuamini kuwa tajiri au mtu mwenye pesa ndie anakili sana kuliko watu wasio kuwa na pesa.Unaweza kuuza mawazo kwa mtu aliye na pesa hilo linawezekana kabisa.Baba yake fatuma alifurahiya sana na akaaidi kutowa kiasi cha milioni kadhaa ilikuwapa hamasa kwakile walichokuwa wamepanga kukifanya. ‘’naombeni mji tume’’ ndilo lilikuwa neon la mwisho kwa baba yake fatuma kuongea, waliendelea kunywa vinywaji vyao huku waki zidi kuongea mengi zaidi. ‘’zawadi unaelimu kiasi gani?’’ alimuuliza baba yake fatuma nae zawadi hakuchelewa kumjibu, ‘’nimeishia kidato cha nne’’ alisema zawadi hukuakiwa ametanguliza uwazi katika maneno yake. ‘’hapana unatudanganya’’ alisema baba fatuma na ikawa ngumu kuweza kugundua kama zawadi ana elimu ndogo kiasi hicho, kutokana na [iq] ya zawadi kuwa pana sana ‘’nikweli mzee mimi na vidato vinne’’ aliendelea kuwaambia ukweli lakini bado hawakuweza kuamini kutokana na zawadi pia kuongea lugha ya kingeleza kwa ufasaha zaidi, na kwa utamaduni wa nchi ya tanzania mtu anapokuwa akiongea lugha vyema ya ughaibuni basi atahesabika kama msomi.zawadi alijikuta akipewa sifa ya usomi. ‘’baba hata mimi nashindwa kumuelewa zawadi kwa nini anatudanganya?’’ aliongea fatuma akimkazia macho zawadi wao walikuwa bado hawaamini zawadi alikuwa ni binti wakitofauti.

    Noeli hatimae muda wa saa tisa usiku akawa amefika katika uwanja wakimataifa wa mosco nchini urusi.Noeli aliwasiliana na pastor nchini Tanzania kumpa taarifa yakuwa amekwisha kufika. ‘’sawa noeli wenyeji umewaona hapo?’’ ndilo swari alilouliza pastor kwanza, ‘’hapana’’ alijibu noeli kisha pastor akakata simu nakuanza kuwasiliana na wale wenyeji ambao walitakiwa kumpokea kijana noeli huko mosco urusi, pastor kila alipopiga simu iliiita haikuweza kupokelewa.pastor alizidi kuchanganyikiwa maana alijuwa endapo noeli ataendelea kukaa pale uwanja wandege patroo ingepita wange mchukuwa na kumtupilia ndani.Wakati pastor akiwa amekata tama aliamuwa kuipiga tena simu ile kwa malanyingine.Kisha Yule mwenyeji wao akapokea ‘’hellow pastor?’’ alipokea ile simu nakumuomba ladhi sana kuchelewa kupokea simu yake, ‘’haina shida noeli amekwishafika’’ alisema pastor kwa msisitizo ili Yule mwenyeji aweze kwenda kumpokea, ‘’sawa naenda kumchukua ila nitachukua muda mrefu njiani’’ alisema Yule mwenyeji lakini bado pastor aliendelea kumsisitiza ‘’wewe wai Yule mgeni mosco hapajui vizuri’’ wakati pastor akiwa anafanya [process] noeli kule uwaanjani alikuwa amebakia mwenyewe akitanga tanga hukunakule hajui pakwenda wala pakutokea ni wapi, alitamani apande ndege arudi tena nchini Tanzania alihisi labda ni njama iliyofanywa yeye kuweza kutelekezwa.Akiwa bado anahangaika na begi lake mala askari wakaja na kusimama mbele yake, kisha wakamwambia ‘’tunaomba nyaraka zako’’ waliongea wale askari wa kirusi huku wakiwa na wasiwasi nae. ‘’tuna kuona ukizunguka zunguka tu’’ walisema askari wale noeli alikuwa akitowa nyaraka zake huku akiwa anajishuku, ‘’huyu mbona ajiamini?’’ alikuwa askari mmoja akiwauliza wenzake, ‘’atakuwa na matatizo huyu’’ walikuwa wakijadiliana askari wale wa kirusi huku wakisimama na kumwangalia noeli anavyotowa vitu vyake kwa wasi wasi na uwoga mwingi akitetemeka.*****

    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Kila kitu nirazima kiwena mwisho, fuatilia volume two ya kitabu hiki ningepende kukuacha na maneno machache msomaji wangu;

    Kila mtu yehova amempa masaa 24 tumia hayo masaa vizuri yana weza kukupa mafanikio.Weka pia mawazo ya utajili akilimwako, haijarishi unakutana na mangapi au umepitia wapi au hata uko katika wakati mgumu sana wewe weka akili ya mafanikio akilini mwako.Kwani wengi walio fanikiwa hawakupita katika wepesi, na ukiyataka maisha mazuri nilazima ukubali kuyalipia kupata maumivu na ikugharimu. mwisho jua shida ulizo nazo niza kitambo tu nasio za milele katika maisha yako.



    MWISHO







0 comments:

Post a Comment

Blog