Simulizi : Mafanikio Katika Akili Yangu (Success On My Mind)
Sehemu Ya Pili (2)
Punde tu mala mariamu akawa mamletea chakula noeli alimkalibisha kisha noeli alianzakula.Wakati alipokuwa akila chakula mala Yule mkurugenzi akamuhakikishia na kumwambia noeli, ‘’na kwanzia sasa umekwisha pata kazi’’ noeli hakuamini kama ameweza kupata kitu ambacho alikuwa akikipenda tangia udogo wake.Noeli alikuwa akila chakula hukufuraha ikiwa imemtawala katika maisha yake, ukuakijisemea moyoni ‘’dah! amejuwaje kwanza kama ninanjaa?’’ alijiuliza mwenyewe maswari kichwani.Hebu ifikilie furaha ambayo aliipata kijana noeli ilikuwa ni furaha ya na mna gani,Noeli alipokuwa kidato cha nne wakati akiwa ana ngojea majibu ya matokeo yake ya mtihani aliokuwa amefanya alikuwa akiteseka sana mtaani.Kuandika vitabu na hukuakiwa anatafuta kazi ya utangazaji walau katika redio ndogo.Lakini ilishindikana kwanza kutokana na familia ambayo aliokuwa katokea.Kutawaliwa na umasikini alihangaika mno lakini, ilishindikana kupata alichokuwa anakitaka watu wengi kwa wakati huo walidhalau harakati zake na kumuona anapoteza muda kwakile ambachoalikuwa anakifanya. ’’noeli je unanauli?’’ alimuuliza Yule mkurugenzi wa kituo hicho cha redio noeli akamjibu na kumwambia, ‘’hapana hata hapa nimekuja kwamiguu’’ aliongea noeli kwaupole maana ilikuwa ndio ongea yake mala nyingimno.Mkurugenzi akamtowa hofu na kumwambia, ‘’usijali’’ kisha akatowa noti ya shilingi elfu kumi na kumpatia noeli, noeli alipokea kwa heshima ile pesa ambayo alikuwa kapewa na yule mkurugenzi wa redio,noeli alipo maliza kula na kunawa mkurugenzi akamwambia, ‘’nina kazi naomba kesho njoo uwanze kazi’’ noeli alifuta mdomo wake kisha akamwambia ‘’sawa’’ http://deusdeditmahunda.blogspot.com/hukuakisimama nakumwambia, ‘’kampuni imekukubalia kuwa unao uwezo mkubwa’’ alisema mkurugenzi huku akimfurahiya sana noeli na kumpa pongezi nyingi sana zisizokuwa na kifani. Noeli alikuwa na furaha liyopitiliza zaidi ya sikuzote,Hata uso wake ulisadifu kweli noeli alikuwa na furaha isiyokuwa na kifani.Dada yake na noeli aliachwa na mume wake aliamuwa kuanza ujasiliamalia, elimu yake ilikuwa niya vidato vine tu lakini pia zawadi alikuwa anaupeo mkubwa sana wa kibiashara, hata kabla ya kuolewa alikuwa na mladi wake zawadi alianza kulanguwa samaki toka ziwa victoria na kuingia mtaani kuuza.Mama yake alikuwa akifanya biashara kwakupitia mpito mzito sana zwadi muda huu alikuwa akipita mitaa mbalimbali ya kilimahewa akiwa na beseni la samaki kichwani. ‘’samaki……. Samaki’’ alitowa sauti hiyo hukuakiwa anatembea mwendo mrefu kidogo. ‘’wewe dada samaki?’’
‘’abee’’ aliitikia zawadi huku jina lake likiwa dada samaki, ‘’niwekee wa…….’’ alishusha beseni lake kisha akamuachia mteja uhuru wa kuchaguwa alichokuwa anakitaka.Zawadi alikuwa ni mchangamfu katika biashara yake na pia alikuwa ni mtumiaji mzuri wa lugha ya kibiashara. ‘’za leo ni nzuri kweli’’ alisema mmoja kati ya wateja wake ambae alipenda kunuwa kwa zawadi samaki,kilichokuwa kinatokea ni kwamba zawadi alikuwa anauza mno samaki zake. ‘’mama chukuwa hawa wawili’’ alisema zawadi hukuakiwa anatabasamu zuri kwa wateja, ‘’sawa’’ wateja walikuwa wawili hatimae wakawa watatu mwishowe zawadi akaamuwa kuwasubiria.Biashara yake haikuwa nyepesi alikuwa muda mwingine anadondokewa na maji machafu kutoka kwenye samaki.Na kumtililikia mwilini mwake na kumsababishia wakatimwingine kutembea akiwa anatowa shombo la samaki. ‘’zimetosha kwa leo’’ alisema mteja wake kisha zawadi akamwambia, ‘’asante’’ hukuakinyanyuwa beseni lake la samaki na kuliweka kichwani akirudia yaleyale maneno yake yamala ya kwanza ‘’samaki……. Samaki’’akitembea na kuibukia mtaa mwingine wapili, wakati huu kidogo maisha yalikuwa yana uangalu uhakika wa kula kwasiku ulikuwepo.Mama noeli kwamuda huu alikuwa akipikia pombe katika uchochoro akiwa ana fuata maji ya kupikia pombe na kuyatuwa majipia yalikuwa ni changamoto katika kuya fanikisha. ‘’mama noeli?’’ aliita mteja wake hukuakiwa amefumba macho yake ikiwa ni ishara ya kulewa mapema zaidi, ‘’unasemaje?’’ aliuliza mama noeli kisha Yule mlevi ambae alikuwa mteja wake akamjibu, ‘’niachie ya elfumbili’’ mama noeli alimkubalia kwakuwa sikuzote mteja ni mfalme. ‘’haya mimi naenda’’ alisema mteja huyo hukuakiwa anatembea kwa kuyumbayumba.
http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nimuda wa jioni zawadi akiwaanarudi nyumbani kwao,akiwa amebebelea beseni lake la samaki lililokuwa lime bakia tupu.Kalibia samaki wote walikuwa wamekwisha na alichokuwa amebakiza ni madeni ya mtaani.Zawadi alikua akitembea kichwa akiwa kainamisha chini aliwaza namna ya kukuza biashara yake aliyokuwa akifanya [motivation speaker] mmoja lisema kupitia kitabu chake kimoja, [unatakiwa kuanza na ulicho nacho] zawadi alianzia kuweka fikra zake katika baishara yake ndogo ambayo alikuwa nayo.Wengi tumekuwa tukifanya kuwaza makubwa zaidi kabla hatuja angalia kile tulicho nacho kwanza.Akiwa njiani zawadi alikuta muhubiri mkubwa wa kimarekani akiwa amesimama jukwaani akifundisha kuhusu kutokata tamaa ‘’hatutakiwi kukata tama mtu anae kata tama hufa mapema zaidi’’ aliongea Yule pastor zawadi anaamuwa kusimama na beseni lake alilokuwa amelibeba likitowa shombo la samaki.maneno haya….. adimu kuyapata’’ aliwaza moyoni mwake hukuakiwa anategeza masikio yake kuweza kusikiliza vizuri maneno yaliokua yakitolewa na yule pastor.Pastor aliendelea kuongea hukuakiwa amewalenga wale ambao waliokuwa wakipitia katika magumu.Wakati noeli akiwa anapata umaarufu kupitia kazi yake, ya utangazaji kule mtaani watu ambao waliokuwa waki mdharau na kumuona http://deusdeditmahunda.blogspot.com/wanini na wakazi gani walikuwa wakimwangalia kwa muktaza mwingine. ‘’noeli kawa mtangazaji’’ alisema dada huyu ambae alikuwa akitakwa kimapenzi na noelilakini alimkatalia kutokana na umasikini aliokuwa nao. ‘’noeli amekuwa maarufu sana’’ waliongea wadada hao ambao walikuwa wakiishi maisha ya juu. ‘’hivi noeli ametumia mbinu gani!’’ walibakia kushangaa na kujiuliza maswali mengi sana, kiasi hata cha kukoswa majibu.Noeli ambae alikuwa akionekana kama mtu mwenye kuvaa nguo zilizo pauka mabadiriko yake madogo yaliweza kuwashituwa wengi.Kila mmoja alimtafasiri kwa namna alivyokuwa akiweza, Baada ya juma moja kupita tume ya vyuo vikuu Tanzania ikawa imetowa majina ya watu ambao waliokuwa wamechaguliwa kuingia chuo kikuu.Noeli alikuwa na mategemeo makubwa mno na hata hivyo alikuwa noeli alikuwa amefanikiwa kuchaguliwa kwenda chuo kikuu, lakini kuchaguliwa chuo kikuu ilikuwa sio tatizo kwa mtoto wakimasikini tatizo ilikuwa nikuweza kumudu maisha ya chuo kwa maana ya ada pamoja na mambo mengine, noeli alibahatika kuchaguliwa lakini katika kulipiwa bodi ya mkopo aliweza kukosa.Noeli alikuwa anajuwa wazi kuwa yeye razima aweze kupata mkopo wa kuweza kusoma chuo kikuu aliweza kujiaminisha kwa asirimia mia kwa mia.’’ikiwa nilichaguliwa why mkopo nikose’’ ndivyoalivyowaza katika akili yakekijana noeli katika nafsi yake.Kisaikolojia unapojiaminisha kitu na kukikosa ni lazima uwe katika hari ambayo sio ya kawaida kabisa, Alikuwa kawai studio kama ilivyokuwa kawaida yake noeli akiwa ofisini alipekuwa na kuangalia jina lake katika mtandao kama limetoka katika bodi ya mikopo alihangaika sana kuweza [ku seach] lakini akuliona.Mala girbeti akamtumia ujumbe katika simu kisha akamwambia, ‘’noeli silioni jina lako’’ noelializidi kuchanganyikiwa zaidi hukuakijiuliza moyoni, ‘’sasa imekuwaje tena?’’ ana amuwa kukaambali na tanakilishi yake kwahasira na jaziba kubwa mno, furaha kwa noeli ndio ilikuwa imemzidia maana alikuwa amefanikiwa katika hilo.
’’nikifika chuoni nita soma sana’’ yalikuwa mawzo ya noeli kwamuda huo ilikuwa ni furaha kwa dada yake na girbeti pamoja na ndugu wengine walikuwa wakifurahiya pia maana walijuwa anaenda kuwa msomi lakini pia walijuwa wazi kuwa swala la kumlipia ada kwao ndio limefikia ukomo sasa.Muda huu girbeti alikuwa na wazazi wake akiwalishatoka kule mgodini baada ya maisha kuweza kumshinda. ‘’angalau aisee nilikuwa nikitaka kuuza mashamba’’ alisema baba yake girbeti akiwa amekaa sebleni na girbeti.’’ukienda soma sana’’ alisema mama yake, ‘’mama nita jituma’’ aliongea kwakuwa hakikishia wazazi wake ‘’nadini suala lamsingi’’ wazazi wake walizidi kumpa mawaidha kuhusu kile walichokuwa wakikisikia huko vyuoni ingawa walikuwa na elimu ndongo lakini walikuwa na ufahamu kuhusu mambo madogomadogo huko vyuoni.’’nitafuatakilicho nipeleka’’ alisema girbeti hukuakiwa ana watiyamoyo na faraja wazazi wake,’’fanya hivyo mwanangu utakuwa mtu…..’’ girbeti aliwaaminisha kwa mambo mengi sana.Furaha iliwatawala mno lakini ilikuwa tofauti sana kwa noeli aliondoka mapema studio na kwenda katika eneo la ufukwe, wa victoria apunguze mawazo yaliokuwa katika kichwa chake.Noeli hakuwa mwenyewe alikuwa na rafiki yake wakike au mpenzi wake ambae walianza nae mahusiano takribani mwezi mmoja tu.Mapenzi yalianza kutokana tu na umaarufu wake wakipindi cha redio, alichokuwa akikifanya binti tayana alikuwa msikilizaji mzuri wa kipindi cha noeli waka tafutana na mwanzo wa mapenzi ukawa umeanzia hapo, kwa wawili hao ‘’sita soma chuo kikuu sasa’’ alisema noeli hukuakiwa anatembea na mpenzi wake tayana katika ufukwe wa ziwa victoria.’’utasoma tu maana wewe ni maarufu alafu pia unaakili’’ alisema tayana huku akiwa ana hatakikuona noeli nakiwa katika msongo mkubwa wa kimawazo kama ambayoalikuwa.’http://deusdeditmahunda.blogspot.com/’kitendo cha kuwa mtangazaji na hujawa mtaaruma ni mafanikio tosha’’aliendelea kuongea tayana kwa lugha ya utaratibu,hukumkono wake akiwa kauegesha begani kwa noeli, kwakipindi cha mwezi mmoja tu noeli alikuwa amelidhika na mapenzi ya tayana.’’inaniuma sana mbona….. kapata’’ alisema noeli, ‘’usimwangalie yeye nibahati yake’’ ingawa mkurugenzi wa redio alikuwa ameadikumsomesha lakini noeli alionekana kutolidhika nayo yeye alikuwa akijuwa atasomeshwa na serikali yake kushindwa kupata mkopo wa serikali na kufanya kazi redioni na kutolipwa kulimfanya noeli kuzidi kuwa katika wakati ambao ni mgumu sana.Baada ya tayana kuweza kumpa maneno yenyey faraja noeli alipata furaha kisha anaamuwa kutulia na kumwambia, ‘’noeli nikikwambi mimi waweza tamani kuli’’ alisema tayana maana nae alikuwa na matatizo sawa naya noeli. ‘’sawa nimekuelewa’’ alisema noeli hukuakiwa ana angaliachini kwakuinamisha kichwa chake, kiujumla tayana na noeli kihistoria walikuwa wanakalibia kufanana.’’the succes on my mind’’ alitamka neno lake tena noeli hukuakiwa ana muangalia tayana usoni.Tayana alitokea kuipenda kaulimbiu ya noeli kisha akamjibu, ‘’kama una pambana yes it can be in your mind’’ noeli alikuwa karudi katika ukawaida wakewa mwanzoni.Kisha ana mwambia ‘’nita jitahidi kupambana na utangazaji utanitowa’’ tayana alimsikiliza kisha akamwambia ‘’waza mawazo mazuri maana awazavyo mtu ndivyo itakavyokuwa’’ tayana alikuwa ni fundi cherehani aliamuwa kufanya ufundi kwasababu alikoswa ada ya kulipia chuoni.Nakuji kita zaidi katika ujasiliamali, lengo ilikuwa ni kukusanya apate pesa ya kurudi tena chuoni, ‘’kijiweni kwako vipi?’’aliuliza noeli,
‘’dah! Nasubilia oda zangu za maharusi’’ aliongea tayana huku akiwa amemshika mkono noeli.
Iilikuwa nimuda wa usiku noeli akiwa nyumbani,anamuaga mama yake kuweza kurudi studioni.Sasa noeli alianza kufanya kazi yake kwakujituma sana, alionewa huruma na kuanza kulipwa shilingi elfu tano.walimfanyia hivyokwasababu alikuwa sio mtaaluma katika fani ya utangazaji.Noeli alikuwa akiamka asubui na mapema kuwai studioni usiku pia alikuwa akiwai kwenda kukesha studioni ilikuwa sio kazi nyepesi kwa kijana noeli kuweza kuacha usingizi wake nakwenda kukesha studioni.Akiwa anafanya kazi ya kuandaa vipindi vingi redioni,’’mama na rudi studioni’’ alimwambia mama yake ‘’leo mpaka usiku unaenda?’’ alisema mama yake hukuakiwa anamuonea huruma mwanae kwakuwa na mazingira ya kufanya kazi mpaka usiku. ‘’inabidi iwe hivyo mama’’
‘’au ndio unatafuta pesa ya chuo?’’ alimuuliza mama yake noeli,’’ndio nalo pigania mama’’ alisema noeli hukusuala la kukosa udhamini wa kusoma chuo kikuu akiwa amelitupia mbeni na kulisahau.Kwa sasa likuwa akiwaza kufanikiwa tu nakufanya mambo makubwa sana.’’uwe una tunza hela au bado hawa kulipi bado’’ aliuliza mama yake ‘’wananilipa shilingi 5000 tu’’ mama yake aliweza kumwambia kuwa ajitahidi kwani nakuna aliye anzia juu siku zote watu huwanzia chini, maneno ya mama ake yaliweza kumpa faraja na inspiration kubwa sana.’’tunza elfu tatu tumia shilingi 2000’’ aliendelea kumwambia na kumpa elimu ya maisha kiujumla.Noeli pamoja na kusoma kwake kote lakini alikuwa bado hajaweza kuwaza kile ambacho mama yake alikuwa akikifikilia juu yake.Akiwa ana yafikilia maneno ya mama yake mala wazo likamjia akilini mwake, ‘’haba na haba hujaza kibaba’’ likawa limemuingia katikakili yake noeli.Tena likamjia wazo jingine kuwa ‘’sikuzote kikubwa huanza na kidogo’’ alijikuta akipata maneno mengi sana hapohapo wazo lake lasikuzote na kaulimbiu yake ikamjia akilini, ‘’oooh the success it is on my mind………
hukuakiji pigapiga kifuani kishujaa ushauri wa mama yake aliuchukulia uzito sana na hata aka uwona nizaidi ya vidato sita ambavyo alisoma. ‘’mama umeni pambuwa macho yangu’’ aliongea hukuakimpa mkono mama yake, ‘’tunza zita kusaidia Sana’’ noeli alijiona kama ana songambele kutokana na mawazo aliyokuwa kapewa na mama yake.Mawazo ambayo noeli aliyaona niya kishujaa zaidi, Noeli alirudi tena kumuaga mama ake nakisha akaondoka.Mama ake noeli alimpa Baraka na fanaka zote noeli katika kazi yake mama ake noeli alikuwa muhamasihsaji mkubwa sana kwa noeli, ndugu pia walianza kuwa sehemu ya kuhamasihs kile alichokuwa akikifanya.Huku tumaini likiwa lime mjaa mama noeli alikuwa anajuwa mwanae ataenda kuwa mtu…… sikumoja, Akiwa njiani alikutana na binti aliye kuwa amevaa nusu uchi alikuwa kasimama barabalani.Walikuwa mabinti wengi wazuri wengine walikuwa wazuri kwamacho,’’mmmh!’’ na kila mwanaume ambae aliyekuwa akipita alimwangali Yule binti nakutaka kuongea nae noeli yeye alizidi kwenda mbele na mawazo yake yalikuwa.Ame ya hamishia studioni ghafla mala likapita gari mbele yake na lilikuwa limejaza watu wajinsi ya kike wengi sana.Wanawake hao nao pia walikuwa uchi dreva wa gari hilo pia alikuwa ni mwanamke nae alikuwa kavaa nusu uchi, noeli alifikilia kisha akawaza mambo mengi sana katika akili yake. Noeli aligunduwa wale watakuwa niwa uzamiili yao, ‘’kwa nini wasiuze hata michicha?’’ alijiuliza swari hilo kichwani mwake alitembea haraka iliaondowe macho yake katika uwozo ambao aliuwona mbele yake.
Ilikuwa yapata saa tano na nusu usiku zwadi alikuwa kawasili katika mji wa kibiashara wa dar. Zawadi alikuwa ameenda jijini dar eslaamu kwasababu tu alikuwa akijalibu upepo wakibiashara.Baada ya kuwa wameambiwa mambo mengi sana na wajasilia mali wenzake kuhusu kupeleka samaki katika mji wa dar, mji ulianza kumchanganya ‘’hapa ni wapi!’’ alikuwa akijiuliza nakushangaa sana nakuona utofauti na mji wa mwanza alivyokuwa kauzoea.Anaamuwa kumuuliza mtu ambae walikuwa wameshuka nae katika basi, ‘’hapa ni wapi?’’ Yule nae hakumficha alimwambia ‘’hapa ni ubungo’’ zawadi alipoambiwa hivyo aliamuwa kutowa simu yake ya mkononi ambayo alikuwa amenunuwa. Na kumpigia mwenyeji wake ambe walikuwa hawajawai kuonana hata siku moja.Mwenyeji wake nae baada ya kupokea simu alimuuliza ‘’uko wapi?’’ zawadi alijifikilia kidogo kisha akamwambia ‘’ubungo’’ ilikuwa kama bahati maana kumbe mwenyeji wake nae alikuwa tayari ameshafika eneo la ubungo stendi kubwa ya mabasi nchini Tanzania, ‘’ukokwenye gari gani?’’ zawadi alimjibu kwaharaka maana alikuwa ameikalili gari ambayoalikuwa amepanda, ‘’zuberi’’ Yule mwenyeji wake alianza kutembea akiwa analiangalia gari la zuberi kutoka mwanza maana mabasi yalikuwa nimengi sana, lakini mungu waajabu akaweza kuliona kwaharaka zaidi basi la zuberi kutoka mwanza lenye nambari, T558 likiwa limesimama kadili walivyokuwa wakiwasiliana na kuelekezana hatanguo ambazo kila mmoja likuwa amevaa hatimae waliweza kuonana aliyekuja kumpokea alikuwa ni mwanamke mwenzie na zawadi au binti mwenzake aliye kuwa mpambanaji sawa na zawdi alivyokuwa.’’ Mwanza vipi wazima?’’ alimuuliza Yule mwenyeji wake ‘’wazima’’ alisema zawadi hukuakiwa ana angalia huku na kule,’’nasikunyingi sana sijaenda mwanza’’ alisema Yule mwenyeji wake hukuakiwa nimwenye tabasamu languvu usoni mwake.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Punde noeli aliingia studio akiwa amevaa [head phone] zake masikioni.Alianza kuandaa kipindi kisha baadae aliingia on air kuweza kuvurumisha kipindi, chake cha redio ambacho alikibuni mwenyewe kipindi kilikuwa nichatofauti sana.Kipindi chake kilikuwa kikizungumzia masuala kijamii yaliokuwa yaki husu nchinyi za Africa kiujumla. Kipindi kilikuwa kinawakosha watu wengi sana, wakati akiwa kwenye kipindi kuna wakorea ambao walikuwa nchini Tanzania kwamuda mrefu sana, na lugha ya Kiswahili walikuwa wakiipenda sana. Wao walikuwa wakiishi jijini dar eslaamu wilaya ya kinondoni mtaa wa mikocheni. Wakorea walikuwa wakiishi watatu walipenda kusikiliza ‘’redio iko wapi?’’
‘’iko mwanza hiyo’’ walikuwa wakiuliza hukuwakiwa wanasikiliza mkorea mmoja alikuwa anaifahamu redio ambayo noeli alikuwa akitangaza. ‘’natamani sikumoja niweze kumuona huyu kijana’’ walikuwa wakijadiliana kuhusu hilo waende sikumoja katika mji wa mwanza iliwaweze kuonana na kijana nolei,walielewana na kilammoja aliweza kuliunga mkono suala hilo, ‘’nivizuri’’ alikubalia mkorea mmoja ambae alikuwa na shauku kubwa sana. ‘’kwakweli kijana anajuwa’’ kila mmoja kati ya wale wakorea alikuwa akimsifia sana, noeli kwa utangazaji wake mzuri ‘’na penda hata kipindi chake cha mchana’’ waliongea kisha wakakaa kimya kuweza kusikiliza noeli akiwa on air.Walikuwa hawaujui mji wa mwanza lakini walipanga kwenda sauti ya noeli ndio ilikuwa haswa kivutio kikubwa cha watu kuweza kumsikiliza noeli pia alikuwa ana ijuwa historia mbalimbali ya chi za afrika, na alikuwa akiandika makala nyingi sana.Usiku huo mamia kwa maelfu walikuwa wakisikiliza kipindi cha noeli, ‘’ana sauti nzuri sana’’ aliongea mkorea mmoja akiwa anashauku kila mmoja alikuwa alimsifia ‘’sauti nzuri sana sijui amesomea wapi?’’ noeli alianza kuaminiwa hata na mkurungezi wake alipokuwa nyumbani kwake usiku huo alikuwa akitegeza masikio yake kumsikiliza noeli akiwa on air, ilikuwa kawaida yake kuweza kusikiliza nakuweza kukosowa mtangazaji pale anapokuwa ameenda vibaya. ‘’aisee! huyu kijana amekuja kitofauti sana’’ alisema Yule mke wa mkurugenzi ‘’noeli hana shahada wala stashahada’’ alimwambia mkurugenzi wake na noeli, wakiwa wamekaa na familia yake ‘’kweli!’’ alikuwa haamini kabisa kama noeli hana shahada wala nini lakini utangzaji wake ulikuwa niwakiwango kibwa na chahali ya juusana kuliko kawaida.’’amefaulu kwenda chuo ila…….. hana’’
alisema mkurugenzi akimwambia mkewake, ‘’noeli anauwezo mkubwa sana’’ alisema mke wa mkuru genzi naakawa amemtabilia kuweza kufika mbali zaidi.’’sauti yake nzuri nimeipenda’’ aliendelea kumnadi noeli kwakitu kizuri ambacho alikuwa anakifanya Yule mke wa mkurugenzi. Mke wa mkurugenzi alikuwa na shauku alitaka sikumoja aonane na kiajana noeli mumewake alimwambia, ‘’nitamleta hapa sikumoja umuone mke wangu’’ aliweza kuwa aidi familia yake noeli alikuwa ameanza kuona nuru kwambali ya ndoto zake ambazo alikuwa alikipangilia toka utotoni mwake.Wenzake ambao walikuwa waekoswa nafasi yakwenda chuo na hata wale waliokoswa mkopo wakusoma chuo kikuu ulikuwa muda wa kuhangaika kwao wakiwa mtaani ‘’nifanye nini?’’ ndiyo yalikuwa mashwari yaokila uchao na hataikafiki hatuwa wakakata tamaa nakuiyona dunia chungu.kuna wakati tunapita katika magumu, nikweli shida zinaumiza na tena zina tetelesha sana watu waliowengi, lakini tunapaswa kujuwa yakwamba shida niza kitambo tu kinachotakiwa nikufanya juhudi katika kile unacho amini kukifanya.Huku ukimuamini mungu na kumuomba kila siku,[ yakobo;5] yehova mwenyewe anasema hajalibiwi wala yeye hamjalibu mtu tena kwa ubaya.kwaiyo kumbe hata mungu pia hapendi mwanadamu aishi na kupata mambaya na pia kitu ambacho yehova aliaidi kukikomesha na kukiondowa duniani ni dhiki.kwa maana hiyo mungu dhiki tunayo iyona tusi waze mabaya au kufikili vibaya ni ya muda tu.
Neemia mala baada ya kukoswa udhamini wa kusoma chuo aliamuwa kuingia mtaani kuhangaika.Neemia akiwa ametoka katika mihangaiko yake alikuwa amekaa na dada yake, redio ilikuwa wazi na dada yake alikuwa ameifungulia tena kwa sauti ya juu zaidi.Kisha wanaanza kusikiliza sauti ya noeli akiwa kwenye kipindi. ‘’aisee! Maisha haya’’ alisema neemia hukuakiwa anamfikilia sana noeli,ambavyo aliishi kwakufukuzwa ada shuleni ‘’kwanini neemia?’’ neemia alimuuliza dada yake hukuakiwa na uchungu sana.’’dada leo ona mwenzangu anatangaza na msikiliza’’ neemia alikuwa amechoka na maisha ya dhiki,’’maisha ni mungu hupanga’’ aliongea dada yake hukuakiwa anampa moyo neemia mawazo ya neemia yalikuwa mabaya hakuna mfano.’’atakama chuo bado lakini kapata kazi!’’ alishangaa mno neemia alitamani kuonana na noeli iliaweze kumpa siri ya kile alichokifanya mpaka kufika hapo alipo.Alipomfikilia sana noeli alianza kujikatia tama mwenyewe nakujiona kama yeye ndiye mkoswaji katiaka hii dunia.’’mazingira aliyopo noeli na anachokifanya leo da!’’ aliongea hukukichwa akiwa amekiinamisha chini. Dada ake alimwangalia sana kisha akamwambia, ‘’usifikilie sana bahati za wengine jitume na ukifanyacho’’ yalikuwa maneno ya dada yake neemia akimwambia neemia na kumpa chachu yakuweza kufanya kazi yake aliyonayo kwa juhudi zaidi ilikufikia success.
SURA YA NNE.
Baada ya mwezi mmoja kupita aliweza kutengeneza soko kubwa sana la bidhaa ya samaki kutoka mwanza.Walizungusha mzigo kwa juma moja nakuuza ukaisha akiwa na mwenyeji wake.Walimaliza mzigo lakini bado pia uitaji ulikua mkubwa,wakiwa katika mji wa dar katika eneo maarufu sana kwamji wa dar[makumbusho] walikuwa katika mgahawa na kuanza kupanga mipango ya kibiashara akiwa na mwenyeji wake, ‘’mzigo umeisha’’ alisema zawadi huku katika pochi yake kulijaa pesa nyingi na faida pamoja na mauzo yote ya bidhaa yake.’’zawadi nenda mwanza ulete mzigo mwingine’’ alimwambia Yule mwenyeji wake hukuakiwa ameipenda biashara ile ambayo iliweza kuwalipa zaidi. ‘’sawa naona biashara Imekuwa nzuri sana’’ aliongea zawadi ukuakiwa amepatwa na furaha isiyokuwa na kifani, maana hakuwai kupata faida kubwa kama ambayo alikweza kuipata kubwa kama aliyokuwa amepa kwakipindi hicho.Kipindi hicho biashara hiyo wakati huo ilikuwa haina ushindani wa watu wengi sana, ‘’kwaiyo acha niende kesho mwanza’’ alisewma zawadi hukuakiwa anapigapiga kichwa chake, ‘’ndio lakini usichelewe’’ alimwambia Yule mwenyeji wake. ‘’nachukuwa siku nne tu nitakuwa nimerudi’’ akili ya zawadi sasa ilianza kupambuka kwakuuza samaki, Wakati wa mpito alipokuwa akiuuza samaki kwenye beseni aliona kama kazi ya kuchelewesha ndoto zake ambazo alikuwa nazo akilini mwake.
Kule nyumbani kwao zawadi mwanza mama yake alikuwa akiuza pombe zake za kienyeji.Ingawa wendo wa biashara yake ulikuwa niwakudunduiza sana.Mauzo yalikuwa yameshuka sana kutokana na mfumo wa biashara kuweza kuwa mbaya.Hofu kwa biashara yake ndio ilikuwa ikimsumbuwa kalibia kilasiku, kutokana na skari kuweza kuendeleza mila na desturi.Kama ambavyo ilikuwa mila na desturi yao.Yakuomba rushwa kwa wauzaji wa pombe za kienyeji,’’biashara mbona mbaya sana?’’ alijiuliza mwenyewe kichwani mama noeli hukuakiwa anaweka mikono yake kichwani.Mawazo yalikuwa yakimsumbuwa sana katika moyo wake,siku za nyuma biashara ilikuwa ikimwendea vizuri sana.Na akaweza kuimudu familia yake kipesa na mahitaji biashara ilivyozidi kuwambaya ndio mama noeli alikuwa akichanganyikiwa.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/Muda huu mama noeli alikuwa amekaa na muuza pombe mwenzake, ambae walikuwa wakishilikiana nae kwa pamoja katika shuguri hiyo, ‘’mimi naona tuache tu’’ alisema Yule mwana mama mwenzake na mama noeli, akiwaamekata tamaa mama noeli alimwambia ‘’amna ngoja tu hangaike angaike kwanza’’ alisema mama noeli alikuwa haoni mbadala wa kuweza kuingia kufanya biashara nyingine tofauti na kuuza pombe za kienyeji.Mama noeli alikuwa akijifunga mwenyewe kifikra, ‘’mimi nitaacha’’ aliongea Yule mwanamke mwenzake na mama noeli, alikuwa amekata tamaa kufikia kiasi cha mwisho.Mama noeli alikuwa akimshangaa sana Yule mwanamke mwenzake ‘’mbona unajikatia tamaa mapema hivyo!’’ mama noeli alikuwa sio mtu wakukata tamaa mapema hata alipofikia katika hatuwa mbaya zaidi katika maisha.Aliendelea kumpa ushauri mzuri wa kimaisha, ‘’hata biblia imeandika kujikatia tamaa ni dhambi kubwa sana’’ alikuwa ni mwanamke ambae ni jasiri sana katika Nyanja ya kuyasaka maisha.
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment