
Simulizi : Mkuki
Kwa NguruweSehemu Ya Tano (5) ' Ndugu mwenyekiti, kuna jingine ambalo
nataka kulisema hii leo, japokuwa wengi watanishangaa,...inabidi na lenyewe
nilisema tu, kuwa ushauri wakati mwingine unaweza kukutumbukiza kubaya, sio
kweli kuwa mimi nachukua ushauri tu bila kufikiria, hapana, lakini ushauri
mwingine...