IMEANDIKWA NA : GEORGE
IRON
MOSENYA
*********************************************************************************
Simulizi : Facebook Imeharibu Maisha Yangu
Sehemu Ya Kwanza
(1)
“"Reshmail Manyama want to be your
friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu yalikutana nao
nilipofungua mtandao wa kijamii wa ‘facebook’,sikumbuki kama nilijifikiria mara
mbili kwani niliona ni jambo la kawaida sana kukutana na 'notifications’ kama
hizo,na mara zote neno confirm(kubali) lilipata fursa ya kutumika.hivyohivyo
hata kwa Reshmail nilifanya hivyo."You and reshmail are now friends" ndio ujumbe
ulionisindikiza baada ya kukubali ombi lile kutoka kwa Reshmail.
* * * *
*
Ni kijana mtanashati niliyebahatika kukutana nae pale chuo kikuu cha
mtakatifu Augustine Mwanza,alijipenda kuanzia ndani ya chumba chake hadi mwili
wake,ilikuwa ni nadra sana kumfumania akiwa amevaa nguo aliyoivaa jana,bila
kumnyima haki yake nasema alikuwa anapendeza kila siku,macho yangu ya kipelelezi
na kamera zangu za kipaparazi kamwe hazikufanikiwa kumjua aliyekuwa ubavu wa
pili wa bwana huyu yaani 'MPENZI'. Ukipenda waweza kuniita kimbelembele lakini
ukiniita hivyo basi majina hayo yatakuwa mengi pale chuoni kwani wengi walikuwa
na shauku kubwa ya kujua siri hiyo na kamwe hawakufanikiwa.
Binadamu
hatuna dogo watu washaanza kusema eti huenda jamaa ana matatizo makubwa tu
mwilini mwake ndio maana yuko peke yake licha ya kushobokewa na wasichana
warembo, mh! mimi sikuwa mmoja wao lakin nilijiuliza pia
kulikoni??
Makala mbovu zilizokuwa zinaandikwa na gazeti la chuo
lililojulikana kama ‘Saut voice’ ndo zilinizonivuta zaidi kutaka na mimi siku
moja kuandika katika gazeti hilo lililokosa mvuto siku za hivi karibuni makala
nzuri itakayorudisha heshima ya gazeti hilo.Taratibu nilijenga mazoea na
hatimaye nikafanikiwa kumzoea "THE MOST WANTED" ucheshi wangu ndio uliomvutia
zaidi kupenda kuwa karibu nami pamoja na mchezo wa mpira wa miguu kwani wote
tulikuwa mashabiki wakubwa,haukupita mwezi mzima nikawa nina uwezo wa kuanza
kazi yangu,ni mimi na Adam Michael kwenye meza moja chumban kwangu ananipa
hadithi yake ya maisha yaliyomfanya awe kama alivyo.
"Aah!! jamani
Reshmail..." alianza Adam,yangu masikio na macho nikaanza kusikiliza kwa
makini.
Hadi anafika mwaka wa pili kimasomo chuoni
mtakatifu Augustine Mwanza kitivo cha sheria Adam aliitumia simu yake ya mkononi
kwa ajili ya kupiga,kutuma ujumbe (sms) na kupokea ni hayo tu na kwa upande wa
pili alipenda sana kucheza michezo ya simu (game) ya kwenye
simu.
Alikuwa ni Hughorito Hamada ama maarufu kama 'HUHA'.hakuwa tu
rafiki yake adam bali pia alikuwa ni mshirika wake wa chumba (room mate) na pia
walisoma darasa moja la sheria pale chuoni,ni huyu aliyemuingiza Adam katika
ulimwengu ambao hatausahau kamwe,tabia yake ya kupenda kuazima simu ya Adam aina
ya Nokia Express music kwa dhumuni la kuchat katika mtandao maarufu wa kijamii
wa ‘facebook’ ndio ilimshawish Adam naye kuanza kujiuliza kulikoni hasahasa
alipokuwa anamwona Huha akicheka mwenyewe kila anapokuwa anachat,"Mh! we jamaa
yangu chizi kweli yaani unacheka na watu usiowaona" Adam alimkebehi Huha
alipokuwa anacheka na simu yake punde tu baada ya kuanza kuchat
"Kwani
we ukiwa unaota unaongea huwa kuna watu mbele yako?" Huha alijibu mashambulizi
na Adam akabaki kimya na taulo yake kiunoni akaenda bafuni
kuoga.
"Mwanangu nimekuunga na wewe namba yako ya siri ni..,.." hata
kabla Huha hajamaliza adam akamkatisha "Nini? huo upumbavu wako sitafanya kamwe
bro" ..."Hv kwan inakuwaje huo upuuzi" Adam akajikuta anauliza baada ya kuwa
amevaa nguo zake "Hii kitu inaitwa FACEBOOK,yan adam ukijiunga wewe hutoki na
utakuwa nayo bize kweli" Adam alisikiliza kwa makin japo alijidai kufanya dharau
machon,Huha hakujali aliendelea kutoa somo had Adam akapata mwanga,"Mh. Sidhan
kama itanivutia bt i wil try". Alijisemea adam wakat anachukua simu
yake.
****
Tabia ya Adam ilikuwa imebadilika ghafla ni Adam na
facebook,facebook na yeye,iwe barabaran,club,lecture room,hostel yani kasoro
mskitini tu ndio Adam aliweza kuhfadh simu yake.Sio Huha wala rafiki yake yeyote
aliyejua nini zaid ya facebuk kimemuathiri adam wa watu.Hakumuazima tena Huha
simu,hakutaka mazoea na wasichana ni yeye na simu yake tu!! "Adam mbona washkaji
wanalalamika eti wanakuomba urafiki facebook unachomoa? siku moja Huha aliamua
kumuuliza Adam baada ya kuona tabia yake imekuwa ya ajabu mno kupindukia."Sitaki
that's all". Ndio jibu fup alilopewa.kisha adam akajiondokea.Huha akabaki
ameduwaa asijue la kufanya,mara ghafla adam akarudi tena "Huha naomba ukamwambie
Halima simtaki,usiniulize kwa nini mwambie SIMTAKI!" adam alimwambia Huha kana
kwamba alimfumania huyo halima.
Mpenz msomaj Halima alikuwa binti matata
pale chuon kwa kipind kile,Adam ndo alipata fursa ya kuangukia penz lake,penz
lao chuo kizima walifahamu,gari ya Halima ilikuwa kama ya Adam..chumba cha Cha
Halima kilipambwa picha na kad za Adam lait na Adam angekuwa anakaa peke yake
basi hata yeye chumba chake kingekuwa had na nguo za ndan za Halima pamoja na
pedi bas tu alikuwa anakaa na Huha.
Huha alibak mdomo waz akijiuliza ni
Adam au kivuli chake kinaongea.Alikuwa Adam sio
kivuli.....
Ubize aliokuwa nao mheshimiwa mbunge ulimkosesha
raha mkewe bi.Gaudensia Ogunde,hakuipata haki yake ndoa kwa takribani mwezi
mmoja sasa,mume alikuwa anachelewa kurudi na akirudi anakuwa amechoka sana
kutokana na majukumu mazito ya kiserikali,na ikitokea siku akathubutu kujaribu
kutoa huduma basi alikuwa hamridhish mkewe,taratibu mama akajaribu kuzoea lakini
kuna wakat uvumilivu ulikuwa unamshnda,nyumba nzima alikuwa akiish yeye,mtoto
wake wa kike na msaidiz wa kazi (House girl)."Mwanangu ni siku ya tatu baba yako
halali nyumbani,najisikia mpweke sana kulala mwenyewe" bi.Gaudensia alimweleza
mwanae kwa unyonge "Pole sana mamii hata mi sipend hyo tabia ya baba,leo nakuja
kulala na wewe mama" alijibu yule binti mwenye miaka 17 akiwa ndio kwanza
amemaliza kidato cha nne.Mama hakujibu kitu badala yake alimkumbatia mwanae kwa
sekunde kadhaa kisha akamwachia huku machozi yakimlengalenga.
Majira ya
saa tatu usiku mama na mwana walikuwa kitandan wote wakiwa na night
dress,kitanda kilikuwa kikubwa lakin umbali wao ulikuwa karibu mno,mapigo ya
moyo ya mama yalikuwa juu sana,jasho lilikuwa likimtoka mtoto kwa kasi air
condition iliyokuwa inapuliza haikuwa na maana tena mama na mwana walijikuta
katika hisia nzito sana za mahaba,sio mimi wala wewe tunaojua
walipoanzia.
******
Reshmail Mtoto wa mwisho na pekee wa kike
kati ya watoto wanne wa mbunge wa jimbo la Kinondoni Mheshimiwa Msuruli
Haruna,hakupata kujua shida katika maisha yake na urembo aliojaliwa pia
hakuufaham kwa sababu hakuwepo wa kumwambia kuwa yeye ni mrembo,kuta na fensi ya
sen'gen'ge iliyozunguka mji wao haikumruhusu kutoka nje hovyo hovyo,tofauti na
siku ya kwenda msikitini Resh alilazimika kusubiri hadi alipofikisha miaka kumi
na nne alipojiunga na kidato cha kwanza katika shule ya st.marry's international
ndio alipata wasaa wa kujumuika na wananch wengne wa Tanzania na nchi za
jirani,elimu yote ya darasa la kwanza hadi la saba aliipatia katika jumba la
kifahari la baba yake.
Mazoea ya kuish maisha ya peke yake peke yake
yalimtesa sana Resh kiasi kwamba hadi anamaliza kidato cha nne aliweza kuwa
karibu kiurafiki na wanafunzi wachache na weng wao wakiwa wasichana tena watoto
wa matajiri na vigogo mbalimbali wa serikali.Kampani kubwa ya Reshmail alikuwa
ni mama yake mzazi,yalikuwa ni mazoea makubwa sana lakini yasiyoshangaza,mara
nying walikuwa wanatembea pamoja huku wameshkana mikono huku wakifurah
sana.
Kidato cha tano na sita katika shule ya Arusha international
school ndio kwa mara wa kwanza ilimpeleka nje ya jiji la
dar-es-salaam.
Resh alilia sana kutenganishwa na mama yake lakini hakuwa
na jinsi ilimlazimu kuondoka,mama alishindwa kujizuia alilia kwa uchungu ambao
mumewe hakuutambua maana yake. "Nitakuwa nakuja kukusalimia" bi Gaudensia
alimnon'goneza mwanae wakati akipanda gari la baba yake kuelekea
airport."Usiache mama".alijibu resh huku akimbusu mama yake
shavuni.
Mwanzoni ilianza kama utani pale Adam alipokubali ombi la
Reshmail kuwa marafiki,walikuwa wakiulizana mambo ya kawaida sana huku katika
orodha ya marafiki wa Reshmail ni Adam peke yake alikuwa mwanaume,"Mbona una
marafiki wachache au ndo umejiunga facebook?" adam alimuuliza reshmail katika
moja ya 'chatings' zao "No ni uamuzi 2 iam nt interested with boys i wonder why
you?" "May be iam someone special,who knows" alijibu Adam, "You might be"
alijibu reshmail."Yani hadi mchumba wako hujamweka kwenye orodha?" "Sina huyo
mchumba unayemdhania" "What? msichana mrembo kama wewe,au hizi picha sio zako?"
"Ni zangu kwani ukiwa mrembo lazima uwe na mpenzi?"alisisitiza Resh kisha
akaendelea "Naona we upo kwenye uhusiano,hongera" aliandika Resh,ni wanaume
wachache sana akiulizwa na msichana mrembo kama ana mpenzi halafu akubali na
hata kwa Adam ilikuwa hivyo,"Mh! nimejiandikia tu,mi sina mtu nani wa kunipenda
mimi?". Alidanganya Adam,"What! hawakioni hcho kifua chako au na wewe hiyo sio
picha yako?"
"Ni ya kwangu,Reshmail una utani wewe"
"Sina utani
nimekipenda sana"
"Haya asante,kwako wewe sina la kusema unavutia kila
upande"
"Asante lakini we zaidi,Adam naingia kuoga nisindikize
basi"
"Wee,si umeniambia mnakaa wanne sa wenzako watanielewaje?" alijibu
Adam huku akiamini kwamba hayo yote yanayotokea ni utani mtupu.
"Kwa hyo
ningekuwa peke yangu ungenisindikiza?" "Yeah? ningekusindikiza lakini ningefumba
macho" alitania Adam.
"Vp ninatisha sana au,yan hadi ufumbe macho sawa
tu" alilalamika Resh,"Natania mrembo lakin si unajua tena
nitajiumiza"
"Ok! tuachane na hayo,simu yako inauwezo wa kufungua
e-mail?"
"Inafungua tena sasa hivi nilikuwa ninasoma emails" alijibu
adam.
"Ndio hii Adamboy@Yahoo.com?" "Yap ndio hyo" "Fungua baada ya
dakika tano uone zawadi yako"
Jasho jembamba huku mikono
ikitetemeka,macho yakiwa yamemtoka Adam hakuamin anachokiona kwenye simu
yake.
Mazoea ya Reshmail na mama yake
kujigeuza mtu na mpenzi wake yaliwaathiri sana wawili hawa,mara kwa mara
Bi.Gaudensia alifanya safari za ghafla kwenda Arusha kufaidi penzi la jinsia
moja kutoka kwa mwanae mpendwa,raha alizozipata hakuwa na muda wa kumfikiria
mumewe tena,tabia hii ilimuathri sana Reshmail pale shulen,licha ya urembo wake
hakuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume yeyote pale shulen bila kujalisha
uwezo wao kifedha wala sura na utanashati wao,aliwaona hawana maana kwake zaid
ya mama maskin Resh hakujua tamtam ya penzi la wanaume.
Alikuwa
ni Eveline,binti aliyekuwa anaish chumba kimoja na Resh,akiwa ni mzaliwa wa
hapohapo Arusha anayezijua kona zote za Arusha,pombe,club na ngono ndio walikuwa
marafiki zake wakubwa,alikuwa mchesh na mzuri wa sura lakin kubwa na jema zaid
alikuwa mwelevu sana darasani katika mchipuo wa "H.G.E" pamoja na reshmail,ni
jambo hilo lililowaweka wawil hawa karibu.
Mshipa wa aibu
haukuwepo kichwani mwa Eveline,na kama ulikuwemo basi haukuwa unafanya kazi
vizuri,picha alizozipenda ni za uchi na movie za ngono ndio alizokuwa anaangalia
tena kwa anapandisha sauti hadi vyumba vingne wanasikia.
Ni
huyu Eveline aliyemwingiza Resh katika maswali ya kwa nini,na inakuwaje "Mbona
nikifanya na mama silii kama hao? alijiuliza Reshmail akiwa ndan ya kitanda
chake huku pemben Eveline akiwa bize na laptop yake akiangalia filamu ya ngono
"Ponographics" ......."Nitamuuliza Eve siku moja lakin nitaanzaje?"
alijiuliza
Mara zote walizokuwa wakipeana burudani kitandani au
sakafuni Mama yake alikuwa ndiye mwalimu wa kila kitu,yeye ndio alijua wapi
amguse,wapi amtekenye ili mradi kuleta raha na wote kuridhika.Lakini safari yake
ya mara ya tano kwenda Arusha kwa mpenzi wake huyo haramu ndipo alipokutana na
mshangao.
Reshmail yuleyule aliyekuwa zuzu kitandani
akihudumiwa kila kitu na mama yake ili aridhike alikuwa moto wa kuotea
mbali.Alimgalagaza mama yake ipasavyo kwa ku2mia vidole vya mikono yake pamoja
na ulimi wake kutambaa kila kona ya sehemu husika.
Mama
reshmail (Bi.Gaudensia) alijikuta akiongea lugha ambazo hazipo katika ulimwengu
huu.Hoteli ya Tanzanite chumba namba 18 kiligeuka kama pepo kwa wawili hawa,mama
alikuwa analia sana machozi ya furaha na mbaya na ya kuchekesha eti akasema
"Darling UTANIOA eeh!" jaman raha zikizidi sijui kilimfurahisha nini mama huyu
kwa mwanae.Kulipokucha Bi.Gaude alimrudisha mwanae shuleni kama alivyokuwa
amemwombea ruhusa.
"Mama huyu ni rafiki yangu anaitwa
Eveline,Eve huyu ni mama yangu mpenzi" Reshmail aliwatambulisha baada ya kumkuta
Eveline pale ofisini."Shkamoo mama" "Marahaba" alijibu mama bila kumwangalia
usoni Eveline ambaye hakujali hilo sana "Punguza wivu sweet" Resh alimnon'goneza
mama yake,ambae alitabasamu "Nakupenda mwanangu" "Nakupenda mama" waliagana mama
akaondoka kurudi kwa gogo lake (Mumewe) huko dar.
* * * *
*
"Ukitaka kuujua utamu wa ngoma ingia ucheze" ndio jibu
alilopewa Resh baada ya siku moja kumuuliza eti anafaidika nini kuangalia filamu
za ngono,mwanzoni alikuwa akiangalia kwa aibu san lakini baada ya kufanikiwa
kuzihamishia kwenye "Laptop" yake mambo yakawa ya kawaida japo kwa
kujificha,mara nying alijifunika shuka na kuweka earphone masikion kisha
burudani.Ni mchezo huohuo mchafu Resh aliuiga na kwenda kujaribisha kwa 'mpenzi
mama'.
"Hivi Eveline kuna raha kufanya au kuangalia peke yake
inatosha?" "Haha haloooooo! unalo shosti,wenzio wakata viuno we wafurahia miguno
looh!" Vidole vikiwa juu kama muimba taarabu Eve alimchambua Resh,"Mh! shoga si
unifunze kuliko kunichambua?" alijitetea resh kwa saut ya chini,"Ulisema huna
bwana weye sasa kulikoni ya nini haya tuachie sie wamama wa shughuli" "Eve we ni
rafiki yangu ngoja nikwambie ukweli.....mimi nampenda mtu ambaye sijui kama
ananipenda au tutaendana"
"Vipi hujawah kumwona
au?"
"Nimemwona kwenye picha"
"He! una makubwa
we mrembo au ndo yule kwenye kompyuta yako?"
"Haswaa ndio
yeye"
"Hata kama hujamuona yule pale dume la ukweli,kile kifua
usimlete kwangu nitakuibia," alitania Eve.
kisha akaendelea
"Najua hujui jinsi gani utampata niachie hyo kazi mimi ndan ya wiki moja
nakukabidh mali yako." "Asante evely asante sana"
alishukuru
Ilikuwa ni picha ya binti mrembo sana akiwa
amejifunga taulo kwa chini huku chuchu zikiwa nje,"Ndio natoka kuoga,vp
nimetakata?" iliambatana na ujumbe ule. Adamu alibaki mdomo wazi,mh!! hivi
inawezekana akawa Reshmail dah! alishangaa Adam.
Akiwa bado
mdomo wazi email nyingne iliingia ilikuwa picha tena,safari hii ilionyesha
sehemu yote ya nyuma "NIPAKE MAFUTA" ndio ujumbe uliobeba picha
hyo.
Bila kujua muda gani na kwa misingi ipi Adam alikuta pensi
laini ikiwa imembana,kuja kugundua chanzo ni sehemu flani kwenye
mwili
wake ilikuwa imeongezeka ukubwa (Ha ha ha ha wanaume dhaifu
sana.
************************************************************?
Majukumu
ya hapa na pale yalikuwa yamembana sana Bi.Gaudensia ambaye ni mama yake na
Reshmail,pia uwepo wa mumewe katika himaya yake ilimnyima kabisa raha mama huyu
na alikuwa anakosa nafasi ya kwenda Arusha mara kwa mara kufurah na mwanaye
jambo ambalo lilimtesa kwa takribani mwezi mmoja na
nusu.
Vipindi vya bunge vilipoanza tena ndio hapo nafasi
ilipatikana tena,kwa muda wote ambao alikuwa jijin dar-es-salaam Bi.Gaude
alikuwa akiwasiliana na mwanae karibia kila siku kwa njia ya simu,alijua ni
jinsi gan hata mwanae huyo alivyo'm-mis' hvyo aliamua kumfanyia 'surprise' ya
kwenda huko Arusha shuleni bila kumwambia ili kuinogesha furaha yao ambayo
ilikuwa inakamilika kitandan.
"Baba Resh mie kesho naenda
kumsabah mwanetu,lakin hata simwambii nataka ashtukie tu,mama
huyo"
"Atashangaa kweli,msalimie sana mwambie nitakuja
kumsalimia bunge likimalizika" "Haya,zimefika"
* * * * *
*?
Penzi la ku-chat katika mtandao wa facebook lilikuwa
limemchanganya sana Reshmail wa watu, Adam hakuwa nyuma kumpa maneno matamu ya
hapa na pale ambayo kamwe alikuwa hajawah kuyasikia masikion mwake,Eve mwenyewe
alimshangaa huyu shoga yake lakin hakuwa nyuma kumpiga tafu katika mpango mzima
wa kumtia Adam majaribuni ndio maana alimshawish Resh kupga picha mbaya ambazo
mwanaume yeyote akiziangalia lazima ajiulize mara mbilimbili kuhusu urembo
asilia wa binti yule.
"Mi nipo peke yangu siku hizi rum-mate
wangu ameenda kwao babake anaumwa" "Don't tell me kuwa unalala
mwenyewe"
"Nitafanyaje sasa na wewe upo
mbali?"
"ooh! my ghosh! assume nipo
hapo"
"Aah,nitajiumiza bure tu mpenzi
wangu"
"Anarudi lini kwani?"
"Mh! amesema
atatumia kama wiki mbili hivi,njoo basi unipe 'kampan'
kiaina"
Yalikuwa mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Adam na
Reshmail yaliyokatishwa na na mlio wa 'low battery' katika simu ya Reshmail
"Baby boy tutaongea kesho,pole sana na ninakupenda sana" alimaliza Resh na simu
ikawa imezima.
"Eveline nataka kwenda Mwanza" asubuh ya siku
iliyofuata Resh alimwambia Eve.
"He! makubwa haya,imekuwaje
kwan shoga" aliduwaa.
"Mi sijui lakin nataka kwenda tu" alisema
Reshmail "Haya lini wataka kwenda?"
"Hata kesho mi naenda tu"
"Mh! sikuwez haya jiandae kutoroka coz ruhusa hapa kupata sahau" "Vyovyote poa
ninachotaka ni kuondoka na kwenda Mwanza that's all" alijibu kijasiri Resh hali
iliyomduwaza eveline.
* * * * * *
"Reshmail
hayupo? mbona jana alikuwa hapa ofisin?" mwalimu wa zamu alikuwa anamuuliza
mwanafunzi aliyeagizwa kumuita Reshmail baada ya mama yake kuwa amefika,"Hata mi
sijui mwalimu"
"Hapana sio jambo la kawaida reshmail kutokuwa
mazingira ya shule tena jumatatu! hebu mwambie time-keeper agonge kengere mara
moja" aliamrisha mwalimu.
******
Hakuwa hata
na chembe ya utani Reshmail wa watu,majira ya saa moja asubuhi tayari alikuwa
kwenye gari la KIMOTCO ninalotoka Arusha kwenda Musoma kwa kupitia Mugumu
Serengeti,kitu kinachoitwa hofu moyoni hakikuwepo hata kwa
mbali,
Ndani ya kipochi chake kidogo alikuwa na pesa taslimu za
kitanzania shiling laki mbili zikisindikizwa na kadi ya viza ya CRDB iliyokuwa
na uwezo wa kutoa shiling laki tano kwa siku mara nne yaani milioni mbili
zilikuwa zimehfadhiwa katika acount yake ya akiba.
Mamaa wa
shughuli (Eveline) alikuwa pembeni ya Reshmail,hofu kwake haikuwepo wala
hakuiwaza tayari alikuwa mzoefu wa mambo hayo.
"Eveline yani
akili ndo inakuja sasa hivi eti kwa nini tusingepanda ndege dah! gari linaenda
taratibu hilo jaman"
alilalama Reshmail kwa wananch wa kawaida
waliomsikia walidhani ni mashauzi na majigambo ya watoto wa
kike
"Mh? shoga ulivyokuwa na hamu ungekumbuka hayo,tutafika
weye acha papara"
Gari lilizidi kuchanja mbuga za ngorongoro
kwa kasi ya kawaida hadi majira ya saa saba tairi chakavu za gari hili zilikuwa
tayari kwenye mbuga za Serengeti.
Resh alikuwa macho anatazama
safari inavyokwenda huku akihesabu masaa yanavyokatika kwa kasi huku mwisho wa
safari ukiwa haufiki.
Eve yeye alikuwa ameuchapa usingzi huku
akiwa amejifunika uso wake kwa kofia yake nyeusi ambayo vumbi ilikuwa imeibadili
rangi yake na kuwa ya ugoro.(Brown).
"Eve Eve Eve,amka uone
wewe" Resh alikuwa anamwamsha kwa fujo.
"Angalia hii sms
imeingia sasa hv" "Resh mazako kaja unatafutwa uko wap?"
jasho
jembamba likaanza kumtoka Resh lakin Eve hakushtuka sana.Walikuwa wametumiwa
ujumbe mfupi na mmoja wa viranja."Eve tumeisha tumeisha"
* * *
* * * * *
Ulikuwa mshikemshke wa ghafla pale shuleni mwalimu
aliamuru kila mmoja aje mstarini hata kama ni mgonjwa,viranja walitii amri na
kuita wanafunzi wote kwa haraka hakuna hata mwanafunzi mmoja aliyebaki ndani ya
bweni.
Wakiwa hawajui nini kinachoendelea mwalimu wa zamu
aliyeitwa Mwl.Chipeta alikuwa mbele ya wanafunzi waliokuwa kimya kumsikiliza
yeye.?Kabla sijatoa tangazo hili,ni nani anatambua mwanafunzi ambaye hayupo eneo
hili? (Kimya)
"Nani anaumwa na amepewa ruhusa?"
(Kimya)
"Kwa hyo wote mpo?" (Ndiooo)
"Haya
mchepuo wa H.G.E wote pita mbele" aliamuru mwalimu Chipeta na kwa haraka
wakaanza kujongea mbele.
"Mamaaaaa,"
ghafla
kelele ilisikika kuna mwanafunzi aliyekuwa mgonjwa alikuwa ameanguka chini kwa
sababu ya kizunguzungu.Ustaarabu ukatoweka pale ghafla kila mwanafunzi akawa
anasema lake,mara hivi mara vile. Hata mwalimu Chipeta alitimua mbio kuelekea
kwenye tukio.
Ni wakat huohuo Joyce ambaye alikuwa kiranja
alipata mwanya wa kutuma ujumbe kwa Reshmail kumpa
taarifa.
*****?
Roho ilikuwa inamdunda Reshmail kwa
kasi sana,aliamin kila kitu kitakuwa wazi na atafukuzwa
shule,
"Eve watanielewaje wazazi mie mh! nimerokoroga"
alijisemea Reshmail.
"Upo na steringi lazima tushinde haka
kavita kadogo" Eve alimpa moyo wa ujasiri Resh,"Naomba hiyo simu si ina salio
kidogo"
"Imo elfu tatu" Alijibu huku akimpa simu
Eve.
"Sihitaji zote hizo natumia shiling 60 tu hapa"Alijibu kwa
jeuri Eve huku akionekana kujiamini zaidi.
"Sasa hyo 60
itafanya nini shogangu au umesema elfu sitini?"Alitania Resh na wote wakajikuta
wanacheka.
"Dakika tano nyingi majibu mazuri yatakuja,chukua
simu yako ikiingia meseji uisome mi nalala bibie tuliza roho yako hii sio movie
ya kihindi eti stering anauwawa,hili picha la kichina stering anachomwa kisu
bado anapona" alimaliza Eve na kushusha kofia yake ikafunika
macho.
Ni kama alivyosema dakika tano zilikuwa nyingi sana
ujumbe kujibiwa
"Na ufanye kweli mi narekebisha mambo nyie
tanueni kwa raha zenu na pia kuhusu yule wa H.G.L vipi?" ulisomeka
ujumbe.
"Mungu wangu amakweli Eve steringi jamani yaani
kirahisi hvyo" alijisemea Resh kwa sauti ya chini akidhani Eve amelala tayari
"Futa sms ya huyo mjnga nitamalizana nae" kwa saut ya kivivu Eve alimwambia
Resh.
****
Ndege ya Precion Air ilikuwa inaondoka kutoka Musoma
kwenda Dar-es-salaam kupitia Mwanza majira ya saa kumi na moja wakati basi la
KIMOTCO lilifika saa kumi na nusu jioni,Resh aliona akipanda gari anaweza
kuchelewa kwa Adam Mwanza japo hata umbali wa Musoma kwenda Mwanza
hakuufahamu."Resh ndege ya wapi tunapata sasa hv jaman" Eve alimuuliza Resh
wakiwa ndani ya 'Teksi? kutokea stendi kuu ya Musoma maeneo ya
Bweri.
"Tunajaribu steringi wangu"
"Haya!!
utamu na uchungu wa mapenzi mwachie aliyeyabeba" alitoa fumbo
Eveline.
"Dereva dereva zuia kidogo tafadhali" ghafla Resh
alimwomba dreva naye bila hiana akazikanyaga breki bila kuuliza kulikoni. Mbio
mbio Resh akashuka akaanza kutimua mbio kurudi nyuma huku akiwa peku viatu
ameacha garini Eve,Dereva na wananchi wengine wakabaki
kumshangaa.
?
****************************************
Mwalimu
Chipeta aliongoza zoezi zima la kumshughulikia mwanafunzi aliyeanguka pale
mstarini,shule ya Arusha international ilisifika sana kwa kujali afya za
wanafunzi hivyo tukio lile lilisababisha Mwalimu Chipeta kumsahau kabisa
Bi.Gaudencia mama yake Reshmail na kwenda kushughulika ipasavyo kwenye lile
tukio,
Aliyekuwa ameanguka alikuwa Naomi Holela mwanafunzi
aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua na pale kilikuwa kimembana hasa
kutokana na baridi iliyokuwepo nje.
Gari ya shule ilifika
haraka Mwalimu Chipeta na viranja wawili pamoja na 'matron' walimsindikiza Naomi
hospitali.
Akiwa ndani gari Mwalimu Chipeta alisikia simu yake
ikitoa mlio wa kupokea ujumbe mwanzoni alipuuzia kutokana na ubize uliokuwa
ukimkabili lakini punde alitoa simu yake na kufungua ujumbe
ulioingia
"Niaje ticha mi Wa ukweli nipo na Resh mbali kimtindo
kama vipi rekebisha mambo huko mi nikija nakuletea geto yule Amina wa
H.K.L,niandalie tu mapene yangu" uso wake ulisahau matatizo yote yaliyokuwa
mbele yake, ni muda mrefu sasa tangu Mwalimu Chipeta muhitimu wa shahada ya
elimu ya fasihi andishi katika chuo kikuu cha Dodoma alikuwa amemfukuzia binti
mrembo wa kawaida tu Amina bila mafanikio tegemeo lake alikuwa ni Eve au Wa
ukweli kama walivyomzoea ,bila kupoteza muda Chipeta alifungua sehemu ya
ku'forwad' meseji na akaituma kwa Mwalimu Madege ambaye wote lao lilikuwa moja,
alikuwa ni mwalimu Madege aliyeijibu ule ujumbe na kuulizia kuhusu yeye na
mpango wa kumpata binti wa H.G.L.
"Samahani wewe ndio mama yake
na Reshmail "Mwalimu Madege aliuliza baada ya Bi. Gaude kuingia katika ofisi ya
makamu mwalimu wa zamu .
"Ndio ni mimi
baba"
"Kwanza samahan sana kwa usumbufu
uliojitokeza"
"Usijali na mimi niwape pole kwa matatizo
yaliyojitokeza hapa"
"Tunashukuru ndio mambo ya shule haya,eeh!
mama nimepokea ujumbe sasa hivi kwamba mwanao yupo katika mbuga za Serengeti
ambapo wanafunzi watano waliofanya vizuri walipelekwa kufanya utalii wa siku
tano" alidanganya mwalimu Madege.
"Jaman huyu mtoto mbona
hakuniambia?... baba yake atafurahi sana akisikia maendeleo ya mwanae"mama Resh
alijieleza kwa furaha iliyozidi wasiwasi aliokuwa
nao.
"Tuliwashtukiza hawakuwa na taarifa hata wao wameshangaa
mno" aliendelea kupanga maneno huku akichorachora mezani kwa kutumia karamu
isiyokuwa na wino.
Moyo wa mama Reshmail uliridhika japo mwili
ulikuwa na kinyongo kwa kukosa haki yake. Ilimbidi siku hiyo hiyo afunge safari
kurudi jijini Dar na zawadi alizokuwa amemletea mwanae zikiwa mikononi
mwake.
* * * * * *?
A.T.M ya N.B.C aliyoiona
maeneo ya Nyasho ilimkumbusha kuwa kadi yake ni 'VISA' inafanya kazi mashine ya
A.T.M ya benki yoyote bila kujali macho ya watu alitimua mbio pekupeku hadi
kwenye mashine ambapo kwa bahati nzuri hapakuwa na foleni na mtandao ulikuwepo
"You can withdraw up to 1000000 with your A.T.M card daily N.B.C WE CARE"
kijitangazo kwenye kioo cha mashne kiliibua tabasamu la Reshmail,na bila ajizi
akabonyeza chaguo la kutoa laki tano kwa mikupuo miwili na kutimiza kiasi cha
milioni moja.
kisha kwa mwendo wa mbio kama alivyoingia akatoka
akisindikizwa na miluzi ya wauza mitumba wa Nyasho ambayo kwake haikuwa na
madhara hata chembe
"Samahani safari yenu imeahirishwa
tafadhali hadi kesho asubuhi!" sauti nyororo ya mwanadada wa mapokezi
aliyehusika na masuala ya Booking aliwaeleza mwanaume mmoja aliyekuwa na mpenzi
wake wakitegemea kusafiri muda mfupi ujao kwenda Mwanza.
Sura
zao zilizokuwa na furaha zililegea na kuwa kama watakavyokuwa pindi wakipata
wajukuu,"Haiwezekani huu ni upumbavu tena ujinga ujinga ujinga,yani safari yangu
inahairishwa ghafla kama vile safari za baiskeli,hapana sipo tayari
nas...."
"shhhhh!!" kwa ishara ya kidole kimoja kuziba mdomo
alinyamazishwa yule baba aliyetaka kuugeuza ukumbi ule uwanja wa mapambano na
matusi.
Kwa ishara nyingine yule dada akamwita akasogea pale
alipo akamnon'goneza "Unawaona wale wasichana wawili,mmoja kimada wa mtoto wa
raisi mwingne mtoto wa kamanda wa jeshi ni simu kutoka ikulu,kwa usalama wako
acha kelele" alimwambia huku akimwelekezea walipo Resh na
Eve.
Bila kuhoji huku uoga ukimtawala hadhi yake ikashuka
haraka haraka akamvuta mkewe wakaondoka wakawapisha kwa mbali Resh na Eve kama
vile wanatema cheche za moto.
Ni kweli nafasi zilikuwa
zimejaa lakini pesa iliongea nafasi ya mtu mwingine wakapewa wao tena
harakaharaka,huku mtendaji wa jambo hilo akiweka shilingi laki mbili na nusu
kibindoni.
Huku Resh na Eve wakipata nafasi katika ndege ya
Precision Air kiulaini,kwa mara ya kwanza Eve anapanda
ndege
"Mh! ushoga nao raha wakati mwingine? alijisemea wakati
muhudumu wa ndani ya ndege akitoa maelekezo
madogomadogo.
Ilikuwa kama safari ya kutoka Kimara Dar kwenda
Mbagala,tayari walikuwa jiji la Mwanza
"Eve rushwa tamu
wewe,naamini haitaisha ona sasa tupo Mwanza tayari"
Resh
alimwambia Eve wakati wanasafisha macho yao wajue nini cha kufanya baada ya
kushuka kutoka kwenye ndege.
"Hoteli yenu ni nzuri?" Eve
alimuuliza muhusika aliyekuwa ndani ya kigari kidogo kilichoandikwa Millenium
Hotels kilichokuwa hapo kwa lengo la kutafuta wateja wanaotua na ndege uwanjani
hapo,
"Ni nzuri sana hautajuta kuwa
pale.?
"Mh! haya,Resh twende giza linaingia" Eve alimwita Resh
wakajitoma ndani ya gari na safari ikaanza.
"Darling umetoka
kwenye michezo tayari pole mpenzi" ulikuwa ujumbe mfupi kutoka kwa Adam kuja kwa
Resh,tabasamu pana likameza mdomo wake looh! lilikuwa tabasamu lililoelezea
furaha ya moyo.
Adam alituma ujumbe huo akijua Resh yupo
shuleni tena ilikuwa siku ya michezo ambayo Resh alipenda kushiriki hasahasa
mpira wa kikapu.
"Mamaaaaa!!"
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment