Search This Blog

Thursday, July 21, 2022

SONONEKO - 1

 





    IMEANDIKWA NA : KALMAS KONZO



    *********************************************************************************



    Simulizi : Sononeko

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    Mimi nilikuwa ni mlevi kwa kweli. Nilikuwa nazibugia bia kama vile niliambiwa kwamba viwanda vya kutengeneza bia vitafungwa hivi karibuni.



    Na ninaamini kwamba mimi nilikuwa ni mmojawapo wa watu ambao walikuwa wakichangia kwa kiasi kikubwa kuvifanya viwanda hivi viendelee kuwepo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikiwa ndio naimalizia bia yangu ya saba kwa usiku ule wa majira ya saa mbili ghafla macho yangu yalipigwa dafrao.



    Hii ilikuwa ni baada ya kugongana na mrembo mmoja ambaye alikuwa amejipumzisha kwenye kona mojawapo ya baa ile baa huku akiendelea kupata kinywaji chake taratibu bila hata ya papara.



    Alikuwa ni binti mzuri na mrembo mwenye rangi ya kiafrika inayovutia kuitazama. Umbile lake lilikuwa ni mithili ya wale wanawake ambao tumezoea kuwaona katika picha za sinema za kifilipino na kimexico.



    Sura yake ilikuwa imetamalakiwa na uzuri wa shani ambao ni nasibu sana kuupata katika mazingira yetu haya ya kawaida. Kwa kifupi binti yule alikuwa ameumbika vya kutosha na aliukosha moyo wangu hasa.



    Mwanaume nilijikakamua nikasimama na kinywaji changu na kumsogelea yule binti taratibu baada ya macho yangu kugundua kwamba katika meza ya yule mrembo palikuwa na kiti ambacho kilikuwa tupu.



    Macho yangu hakika yalikuwa hatari sana kwa ukaguzi kwani yalikuwa yanafanya bila hata ya kuagizwa. Yalikuwa na kiherehere sana.



    “Habari yako mrembo”. Nilimsabahi yule mrembo mara baada ya kujikohoza kinafiki kidogo kwa lengo la kuiweka sawa sauti yangu ambayo ilikuwa ni kivutio kikubwa cha warembo.



    “Safi tu kaka”. Alijibu mrembo yule kwa sauti ambayo ilivisisimua viungo vyangu vyote vya mwili na kuvifanya vianze kupeana ushirikiano.



    “Samahani naweza keti hapa?”. Nilimwuliza binti yule kwa sauti ya kuomboleza huku nikiwa nimemkazia macho yangu usoni mwake.



    “Hakuna tatizo lolote, waweza keti tu”. Aliongea yule binti kwa sauti yake ile ile ya kumtoa nyoka pangoni.



    Nilikivuta kile kiti na kuupachika mwili wangu juu yake. Macho yangu yaliendelea kuitalii sura ya malaika yule. Kuna kitu ambacho macho yangu haya mambea yalikuja kukigundua baadaye kidogo.



    Binti huyu alikuwa na macho makubwa, meupe na malegevu utadhani katika maisha yake chakula chake ni kungu.



    Pia mashavu yake yalikuwa na vijidimbwi vidogovidogo ambavyo wataalamu wa masuala haya ya mapenzi huviita “dimples”.

    Vijidimbwi hivi ndivyo vilikuwa ugonjwa wangu mkubwa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Naitwa Stanley ni mkazi mwenyeji wa jiji hili la Kano”. Nilianza kujitambulisha hata kabla sijaulizwa.



    Ninafahamu ukikutana na mtoto mzuri kama huyu ni lazima uanze mashambulizi wewe kwanza kwani warembo aina hii wengi wao huwa wamejawa na aibu.



    “Mimi naitwa Maggie na ninashukuru sana kukufahamu”.

    Mh! Kumbe mambo yalikuwa tofauti na ambavyo nilikuwa ninafikiri mimi. Binti huyu alionekana dhahiri kwamba alikuwa ni muongeaji kupita kiasi na alikuwa ni mchangamfu pia.



    “Oooooooh! Jina lako ni zuri hakika na linasadifiana hasa na uzuri ambao unaumiliki”. Niliendelea na mashambulizi yangu taratibu pasi na haraka wala papara.



    “He he he he he! Jamani wewe, ni kweli hayo uyasemayo au wanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa?” Mrembo yule alicheka na kuniuliza kwa sauti yake ile ile ya kimahaba.



    “Wewe ni mzuri sana Maggie. Nimetembea sehemu mbalimbali lakini sijawahi kumwona mwanamke mwenye uzuri mithili yako. Kweli Mungu kakupa upendeleo wa pekee katika uumbaji”. Niliongea kwa kumsifu ikiwa ni hatua yangu ya mwanzo kabisa katika kurusha kete zangu kwa mrembo yule.



    “Ahsante sana Stanley”. Alinijibu mrembo yule huku macho yake akiwa ameyalegeza kidogo sasa sijui ni kwa ajili ya ulevi au ni makusudi tu.



    Mazungumzo yetu yaliendelea huku tukiwa tunataniana na kufurahi sana. Mimi sikutaka kumweka wazi bayana kwamba nilikuwa sijiwezi juu yake kwani angeniona kwamba mimi sijatulia.



    Nilijaribu kuweka mazingira mazuri ya yeye kunikumbuka hata akiwa mbali na mimi. Hii ilikuwa ni mojawapo ya mbinu zangu hatari sana katika suala la utongozaji.



    Nje hali ya hewa ilianza kuchafuka. Mvua ilianza kunyesha ghafla jambo ambalo lilivuruga utaratibu wa walio wengi.



    Wengi wao walianza kuondoka pale baa kwa minajili ya kuwahi majumbani kwao kabla ya mvua kuwafungia kwani kwa wakati ule yalikuwa yakidondoka matone machache sana.



    “Stanley nashukuru kwa ukarimu wako. Mimi nataka kwenda nyumbani kwani nilianika nguo nje hivyo nisipowahi, zaweza loa”. Aliongea Maggie akiniaga.



    “Usijali Maggie, hata mimi mwenyewe naondoka sasa kwani wakati nao umekwenda sana”. Nami nilimjibu kuonesha kwamba nilikuwa katika hatihati za kuondoka.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nililipa gharama za vinywaji vyote na tukaanza safari ya kuondoka kuelekea makwetu tukiikimbia mvua ambayo ilionekana kuwa ni kubwa sana.



    Bahati nzuri uelekeo tuliokuwa tukielekea ulikuwa ni mmoja lakini hata kama uelekeo usingekuwa mmoja ni lazima ningetengeneza safari ya ghafla kuelekea uelekeo wa mrembo yule ili mradu nimpe kampani.



    Tukiwa katikati ya safari yetu mvua kubwa sana ilianza kunyesha. Ilituchapa na tukachapika haswa. Maungo ya yule mrembo yalikuwa na mvuto wa kimahaba sana katika mwonekano ule wa kulowa kwani ulizifanya nguo zake kushikamana.



    Hisia za kimapenzi toka nafsini mwangu zikamsababisha mjomba katika suruali yangu aanze kukasirika kwa ghafla.



    Nilijaribu kumdhibiti kwa kuiingiza mikono yangu katika mifuko ya suruali yangu na kumkaba haswa haswa ili aache upuuzi wake aliokuwa anataka aanze kuufanya.



    Baada ya mwendo wa dakika ishirini kwa miguu hatimaye tukafika nyumbani kwa mrembo yule.



    “Stanley mimi naishi hapa. Nashukuru sana kwa kampani yako”. Aliongea mrembo yule mara baada ya kunionesha ile nyumba aliyokuwa anaishi.



    “Nashukuru sana kupafahamu. Haya mimi naendelea na safari yangu. Usiku mwema lala salama”. Nilimjibu yule mrembo lakini hali ya hewa ilizidi kuwa mbaya sana. Mvua ilizidi kuchanganya na kunifanya niingiwe na uoga.



    “Sasa utafikaje na mvua hii Konzo?. Karibu basi ndani ujifiche kidogo ili mvua ipungue”. Maggie aliongea kwa sauti ya kusisitiza.

    Sikuamini kama ni mimi ambaye nilikuwa nimeipata nafsi ile adimu kabisa. Ninafasi adhimu ambayo nilikuwa naiomba kwa muda wote ipate kutokea.



    “Ahsante sana lakini nahisi nitakuwa nakuboa mtoto mzuri kwa jinsi nilivyoloa”. Nilijaribu kutoa utetezi wangu wa uongo ili nisionekane kwamba mimi ni rahisi sana kwa mrembo yule.



    “Usijali Stanley wala hautokuwa kero kwangu. Nakukaribisha kutoka moyoni”. Aliendelea kusisitiza yule mrembo.



    Mimi nikaona basi na isiwe tabu. Mzee mzima nikazama ndani kwa yule binti malaika ambaye bahati ya kukutana naye iliniangukia mimi leo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ilikuwa ni nyumba nzuri ya kawaida. Mle ndani mlikuwa mmesheheni samani za thamani sana ambazo ziliifanya nyumba ile ipendeze sana.



    “Karibu sana Stanley na jisikie kama uko kwako vile”.

    Mh! Sentensi hii ya huyu binti ilinipa utata kidogo na kuzua maswali mengi sana katika kichwa changu. Aliniambia nijisikie kama niko nyumbani kwangu vile Mh! Alikuwa anamaanisha nini.



    Jamani akili zetu sisi wanaume mara nyingine huwa zinakuwa fupi sana. Ukioneshwa ukarimu kidogo na msichana basi wahisi tayari amekupenda huyo.



    Maggie aliingia katika chumba ambacho nahisi kilikuwa ni chumba chake cha kulala.



    Baada ya kama dakika tano hivi alitoka huku akiwa ameshika taulo pamoja na fulana mkononi huku yeye akiwa katika vazi la kulalia.



    Vazi hili lilimfanya Maggie aonekane kwamba hakika yaye alikuwa ni malkia wa uzuri hapa duniani.



    Chuchu zake zilikuwa zimechongoka na kuleta hisia kali za kimapenzi. Umbile lake ndo lilisababisha mjomba achachamae na kutengeneza uvimbe fulani mbele ya suruali yangu.



    Macho ya Maggie yalitua moja kwa moja juu ya suruali yangu. Aliachia tabasamu moja tamu sana ambalo liliihamisha akili yangu kwa kweli.



    “Pole Stanley” Maggie aliongea baada ya kuigundua hali ambayo ilikuwa ikinisibu kwa wakati ule. Kwani nilikuwa katika hali mbaya sana.



    “Ahsante kawaida tu”. Nilijibu huku nikiikwepesha sura yangu kwa aibu kubwa sana hasa nilipoona yule mrembo kanibaini kwamba nilikuwa taabani kabisa kimahaba.



    “Badili basi hizo nguo mi naja muda si mrefu”. Aliniambia Maggie huku akinikabidhi zile nguo na kisha yeye akaingia kule chumbani kwake.



    Nilizipokea zile nguo kisha nikazichojoa zile zangu ambazo zilikuwa zimeloa na kuanza kuvaa lile taulo pamoja na fulana ambazo nilikabidhidhiwa na Maggie.



    Baada ya kubadili zile nguo nilikaa juu ya sofa pale sebuleni kwa Maggie.



    Niliichukua simu yangu na kuanza kuandika ujumbe mfupi wa maneno. “Mambo vipi mke wangu mpenzi. Leo nitashindwa kurudi nyumbani kwani nimefungiwa na mvua. Niko kwa rafiki yangu Morris”.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya muda kidogo simu yangu ilipokea ujumbe kutoka kwa mke wangu uliosomeka hivi “Haya mume wangu mpenzi lakini kuwa makini. Msalimie sana shem”



    Ujumbe ule uliniuma sana kwani mimi nilikuwa ni msaliti mkubwa sana katika ndoa yangu na mara zote mke wangu amekuwa akinionya huku akiwa na huzuni sana kwani hakika nilikuwa nikimtesa sana kwa usaliti wangu.



    Muda huo huo nikaanza kumpanga Morris kwani kwa nilivyomfahamu Rose mke wangu angewasiliana na Morris kwa lengo la kupata uhakika wa kile nilichomwambia.



    Nikamtumia ujumbe mfupi Morris ambao ulisomeka hivi “Mambo vipi kamanda. Mwenzio leo niko mahali fulani hivyo sitarudi home. Nimemdanganya shemeji yako kuwa nimelala kwako si unajua tena mambo yetu haya bwana. Nimekutana na mtoto mzuri sana leo”



    Kitambo si kirefu Morris naye alijibu ujumbe ambao ulisomeka hivi, “Dah! Usijali mtu wangu mimi mwenyewe hapa nipo na mtoto mkali yaani hatari”.



    Hapo nikaona mambo yamekaa katika mstari kwani Morris hajawahi kuniangusha hata siku moja na daima amekuwa mshirika wangu mkubwa katika mambo ya uzinzi.



    Maggie alirudi sebuleni na kwenda mahali fulani pale sebuleni. Alibonya kitufe fulani na mara “heater” zilizokuwa zimebandikwa ukutani ziliwaka na kutawanya joto ambalo lilileta burudani tosha kabisa mle sebuleni.



    Maggie alikuja katika sofa nililokuwepo na kukaa sambamba kabisa nami huku akinitizama kwa makini.



    Kifupi hata mimi nilijaliwa sura yenye mvuto pamoja na sauti tamu sana. Hili nililitambua mara baada ya kuona warembo wengi wakinipapatikia. Hapo nikaamua kuongeza na utanashati juu yake jambo ambalo lilizidi kuwaua warembo.



    Utanashati wangu ulizaa tabia moja mbaya sana ya uzinzi. Mimi nilikuwa ni mzinzi si mchezo. Mwanamke yeyote mrembo aliyekatisha mbele yangu ni lazima alinasa kwangu.



    “Stanley naweza kukuuliza swali”. Maggie aliongea na kunishtua kutoka katika dimbwi la mawazo nilimokuwa nimetopea.



    “Uliza tu mrembo wala usiwe na hofu”. Nilimwambia Maggie kwa sauti ya kujiamini huku nikiwa sijui ni swali gain ambalo alikuwa akitaka kuniuliza.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Hivi wewe umeoa?”. Maggie aliuliza huku akiwa anamaanisha kile ambacho alikuwa anakiuliza.



    “Hapana bado sijaoa”. Nilimjibu Maggie kwani swali kama hilo halikuwa geni katika ngoma za masikio yangu. Nimekwishawahi kuulizwa na warembo kibao ambao nimekwishatembea nao hivyo pia nililitegemea swali la aina hii toka kwa Maggie.



    “Mbona umechelewa sana kwani ulikuwa unasubiri nini muda wote huu”. Maggie aliniuliza baada ya kupata jibu ambalo hakulitarajia kwani yeye alitarajia kujibiwa kwamba mimi nimeoa.



    “Ninasubiri ambaye ni majaliwa yangu. Nimewahi kuwa na mchumba kipindi fulani lakini alinisaliti na kuolewa na rafiki yangu hivyo toka kipindi hicho nilipondeka moyo wangu na kutotamani kuwa na mahusiano tena”.



    Mdomo wangu ulifanikiwa kuropoka uongo wenye hisia ambazo zilimchoma sana Maggie na wakati huio huo mvua nje ilikuwa ndo imezidi kuchanganya na haikuonesha dalili za kukatika kabisa.



    “Pole sana Stanley. Nina imani kwamba Mungu atakuonesha wa chaguo lako”. Aliongea Maggie kwa sauti ambayo ilinichoma sana.



    Na pale nilikuwa naamini ya kwamba nilikuwa ninazichezea hisia za mtu kabisa. Ama kweli mimi nilikuwa napenda sana kufanya mambo ya hatari kabisa.



    Maggie alisimama na kupita mbele yangu akiwa na lengo la kwenda kuchukua rimoti ya TV. Ghafla alijikwaa katika miguu yangu na kupiga dafrao kubwa.



    Mimi nilikuwa makini sana kwani kabla hajafika chini nilimdaka na akawa salama katika mikono yangu.



    Maggie alikuwa amekaa juu ya mapaja yangu huku macho yetu yakiwa yanatizamana kwa ujirani kabisa. Pumzi zetu zilikuwa zimekaribiana na nililihisi kabisa joto la mwili wake. Maggie alikuwa ameanza kulegea taratibu na kuanza kuusogeza mdomo wake kwangu.



    Mimi sikufanya ajizi. Nilimpokea na kuziunganisha ndimi zetu pamoja. Tulibadilishana ndimi zetu huku nikiwa na hisia kubwa sana za kimahaba. Wakati huo huo mikono yangu haikukaa bure. Ilikuwa ikifanya utalii katika sehemu mbalimbali za mwili wake laini.



    Hatimaye mikono yangu ilifika katika chuchu zake na kuanza kujivinjari hapo. Niliyahisi mapigo ya moyo wa Maggie yakianza kubadilika na kwenda kwa kasi. Nikajua kumbe hapo ndipo ambapo panampa raha Maggie.



    Nikaongeza juhudi katiika kuzichezea chuchu zake huku midomo yetu ikiendelea kupeana burudani.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kwa mbali nikaanza kuisikia miguno ya kimahaba ya Maggie huku pumzi zake zikiongezeka kasi. Nilimnyanyua na kumpeleka kule chumbani kwake.



    Mimi nilikuwa ni fundi sana katika tasnia hii ya mahaba. Si kwamba najisifia la hasha! Bali kila mwanamke ambaye amekwishawahi kutana nami hulikiri hilo.



    Sikumfikisha Maggie moja kwa moja kitandani bali nilimtua katika zulia safi la manyoya lililoifunika sakafu ya chumba kile nadhifu.



    Tuliendelea kugaragazana hapo chini zuliani mithili ya wacheza mieleka ambao walikuwa wamechoka huku mimi nikionesha ufundi wangu mkubwa wa kumpandisha ashki mwanamke.



    Baada ya kama dakika arobaini na tano hivi, Maggie alionekana yu chapachapa na alikuwa akihitaji haki yake ya msingi.



    Nilipomtazama mjomba naye alikuwa amefura kwelikweli huku akinilaumu kwamba kwa nini nilikuwa namchelewesha yeye kufanya kazi yake.



    Nikaona isiwe tabu kwani wakati muafaka ulikuwa ndio ule. Nilimchukua Maggie na kumpeleka kitandani. Kwa wakati huo hakuna hata mmoja wetu ambaye alikuwa na nguo mwilini na sielewi zilituvuka muda gani. Mambo haya jamani YAANI WE ACHA TU!.



    Nikambwaga juu ya kile kitanda kikubwa cha futi tano kwa sita. Mzinzi na mtaalamu mkubwa wa zinaa mimi nikamfuata pale na kumkumbatia. Maggie alinipokea na kisha tukaanza kupeana burudani ambayo kila mmoja aliihitaji kutoka kwa mwenzake.



    Usiku ule nilimpa Maggie mahaba ambayo nina uhakika kwamba hajawahi kuyapata toka kwa mwanamume yeyote kwani vilio na miguno aliyokuwa akiitoa ilikuwa ni balaa.



    Ilikuwa si milio ya maumivu bali ilikuwa ni milio na miguno ya mahaba ambayo iliashiria kwamba alikuwa akipata raha na burudani tosha toka kwangu.



    Ila nakiri pia kwamba Maggie naye mambo haya alikuwa akiyaweza haswa kwani alinipeleka puta mtu mzima mpaka nilihisi kuzidiwa na kama ingekuwa si uzoefu wangu katika masuala haya ya mahaba ama kweli mwanaume ningeumbuka.



    Mpaka tunamaliza mimi na Maggie tulikuwa chapachapa na Maggie alikuwa haishi kunishukuru na kunipongeza kwa kunipa mabusu motomoto ambayo yalikuwa ni matamu haswa mithili ya asali.



    “Stanley hakika wewe ni fundi haswa. Sijawahi kukutana na mwanaume kama wewe katika maisha yangu. Nakupenda sana Stanley naomba niwe wako na wewe uwe wangu pekee”. Aliongea Maggie jambo ambalo sikulitegemea kutoka kwa mtoto mrembo kama huyu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ndiyo ilimbidi anishukuru na kukiri wazi kwani muziki wangu ulikuwa ni mnene haswa.



    “Ahsante sana Maggie. Nami nashukuru sana kwa penzi ambalo umenipa. U msichana mzuri, mrembo na wa pekee kabisa miongoni mwa wasichana ambao nimewahi kukutana nao. Najikabidhi kwako, niwe wako pekee mpaka milele”.



    “Ninajisikia fahari sana mimi kuwa ndiyo chanzo cha furaha yako na pia amini nitakufanya uwe mwanamke mwenye furaha kuliko wanawake wote duniani na pia hautajuta kamwe kuwa nami kwani wewe ndiwe mwanamke wa maisha yangu”. Mzee mzima nilijikuta nakula kiapo mbele ya mtoto Maggie bila kutegemea kutokana na kuchenguliwa na penzi tamu la mtoto huyu.



    Zilikuwa ni “sound” hasa ambazo zilikuwa na utamu wa pekee wenye kuweza kumtoa nyoka pangoni. Jamani huu uongo laiti ungekuwa ni uchafu ambao unanuka basi kwa sasa mdomo wangu ungekuwa umekwishaoza kabisa kutokana na kuongopa.

    Kinywa changu hakika kilijaliwa kuropoka uongo ambao ulikuwa ukiwanasa mabinti warembo wengi.



    Kwa kweli Maggie alinipa penzi ambalo sijawahi lipata awali isipokuwa ni kutoka kwa mke wangu basi.



    Jambo hili lilinifanya nizidi kumganda Maggie na kuhakikisha kwamba nitaendelea kumsaliti mke wangu milele na milele na mtoto Maggie kamwe hatobanduka kutoka katika himaya yangu.



    Baada ya hapo tulienda bafuni ambako tulioga pamoja. Huku nako mambo yaliendelea kuwa bambam.



    Tulipeana mahaba ya dhati hukohuko bafuni na kuwa nyakanyaka kabisa. Penzi halichagui mahali pa kulifanyia bwana.



    Tulirejea kitandani na kujilaza huku tukiwa tumekumbatiana na kubadilishana joto la miili yetu.



    Huko nje nako kulikuwa hakutamaniki kwani mvua ilikuwa ikiendelea kupiga haswa. Tuliendelea kubadilishana mawazo na hatimaye usingizi ukatupitia na kutojua kilichoendelea.

    *************

    Asubuhi nilirudi nyumbani huku nikiwa na wasiwasi mkubwa sana moyoni. Nilikuwa nahisi ni lazima mke wangu atagundua usaliti ambao nilikuwa nimemfanyia usiku ule kwani mara zote ambapo huwa natoka nje ya ndoa, mke wangu hunigundua.



    “Vipi mke wangu?”. Nilimsalimia mke wangu huku nikiwa nayakwepesha macho yangu yasigongane na yake mara tu nilipoibandika hatua yangu ya kwanza katika nyumba yangu.



    “Safi tu za huko ulikokuwa?”. Mke wangu aliniuliza swali ambalo lilinisuta hasa kutokana na kwamba nilikuwa nimetoka kufanya uzinzi.



    Nilikuwa nimeanza kuhisi huenda mke wangu alikwishagundua unyama ambao nilikuwa nimetoka kuufanya.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Nzuri tu mke wangu, shemeji yako anakusalimu sana”. Nilimjibu mke wangu kwa kiherehere na kwa kujiamini kidogo.

    Wakati huo nilikuwa naelekea chumbani na kumwacha mke wangu pale sebuleni.



    Sikutaka kabisa kuendelea kuwepo maeneo yale ya sebuleni kwani huenda hali ya hewa ingechafuka na kuzuka balaa kubwa.

    “Namshukuru Mungu kama naye ni mzima wa afya”. Ilinikuta nikiwa mlangoni kuingia chumbani kwetu.

    ***************



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog