Search This Blog

Thursday, July 21, 2022

PENZI LA FUKARA MATESO - 5

 







Simulizi : Penzi La Fukara Mateso

Sehmu Ya Tano (5)





*******



kiu yao ilikuwa ni kumtambua wakili atakaye teuliwa na serikali kumsimamia zuberi!,mkuu wa kituo kile cha kati kilichopakana na magereza yale alishatoa fungu kwa mkuu wa magereza ikiwa wakili yule atawasili ajulishwe ili wamuwahi kumnyamazisha.



kufatilia kesi ile!...



wakati wakili yule akiwasili...mkuu wa magereza akamtumia msg mkuu wa kituo kile ambaye naye alimwita inspekta kibarakashia akamwambia.



wakili kashawasili.



"good bos kwa nin tusimpe taharifa mwenyewe akamtumia vijana wake?"



"ndo maana na kupendaga kwa mawazo inspekta."



wakati wanaongea vile katu awakujua katika maafande wote walokuwa pale kituoni si wote wanamalengo kama yao.



koplo KADAMTENAYNJANAYNJA alishindwa kuvumilia kuendelea kuwepo pale.alikuwa na mawazo yake mengine.tofauti na wale.



akatoka...akiacha wale wakiendelea kujadili...wakampigia simu PATRICK ambaye alikuwa kwenye gari akielekea nyumbani alipopigiwa simu na walinzi kuambiwa SHONE mkewe anapigana



"alooh" akapokea



"wakili kashakuja ni bwana JACK wa ppt"



"ok gud ntawatuma vijana..."



alijibu PATRICK sambamba na kukata simu akapiga namba kadhaa.



yah x,y akapokea



elekeeni alipo jack mnipe ripoti kitakachojiri huko..





"alooh" akaipokea



"wakili kashakuja ni bwana JACK wa ppt"



"ok gud ntawatuma vijana..."



alijibu PATRICK sambamba na kukata simu akapiga namba kadhaa,



"yah x,y naomba muelekee alipo jack mnipe ripoti kitakachojiri huko!"



"basaaat"



"sawa bosi"



wakaitika wakaingia ndani ya gari na kuelekea Benki,ambapo walichukua kiasi kikubwa cha ela wakaelekea ofisini kumsubiria.



******



Njia nzima awakuongea zaidi ya mtekaji kuelekeza njia na JACK kufata mpaka katika hoteli kubwa,mtekaji akaweka bastola yake kibindoni



"familia yako ipo katika mikono yangu! ukileta kujua utaikosa tunashuka taratibu utanifata! ni mazungumzo ya amani!"



"mazungumzo ya amani?"



JACK akawaza,lakin wazo lake kama mtekaji alilisikia...akamjibu

CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

"ndiyo ni mazungumzo ya amani japo ni comfidancial au secret? ndo maana naitaji tuongelee chumbani! kwa usalama wetu zaidi usilete ujanja wowote wakati twaelekea chumbani utapoteza familia yako na wewe pia sitosita kukuua na kutoweka apa."



mtekaji yule akazidi kutoa onyo Wakashuka taratibu mpaka katika chumba ambacho ilionesha mtekaji alikipanga kabla,Jack akajua ndo anauwawa ndani ya chumba icho na mwili wake ungekutwa umo

aikuwa hivyo...



mtekaji akashusha tabasamu,akavua kofia alokuwa amevaa sura yake ikaonekana kwa uwazi...alikuwa ni afande KADAMTENAYNJANA

YNJA



"usiogope wakili kwanza ntangulize samahani"



akalivua lile koti refu ndani kulikuwa na uniform za kiaskari na v moja, wakili yule akazidi pigwa na butwaa



"afande umevunja sheria?"



"kwanza nadhani unijui na ujui sababu ya mimi kufanya hivyo pls naomba ukae kitandani!"



"familia yangu iko salama afande?"



"ipo salama usijal yale yalikuwa ni maneno ili usilete purukushani wakati wa kuingia humu!"



"ok afande nimekuelewa sasa,je lipi kusudio la kunileta mimi huku?"



Sasa JACK alipata nguvu ya kuoji



"kwanza nadhani unijui mimi ni koplo KADAMTE ambacho nipo katika kituo cha kati mkabala na magereza..uwa mara nyingi nakuwaga pale magereza kufatilia kesi ya kijana mmoja aitwaye ZUBERI"



JACK akashtuka,ila KADAMTE akujali ilo akaendelea...



"nadhani dakika chache ulikuwa katika maojiano naye!"



JACK akatingisha kichwa ishara ya kukubali akiwa makini kumsikiliza afande yule naye akaendelea kuoji



JACK akamwangalia kwa jicho kali kisha akatoa dukuduku lililokuwa katika moyo wake!



"bado sijajua sababu ya wewe kuniteka na kunleta hapa!.."



"ok mh ni kuwa kwanza mimi nimekuokoa!"



"kivipi afande?"



"No! utoweza kunielewa,ila chimbuko lake ni kuwa tunapambana na vita ya kimapenzi!"



"eeh vita ya kimapenzi?"



JACK akauliza kwa mshangao...



"yah ni vita ya mapenzi kati ya fukara na tajiri,fukara ndo huyo mtuhumiwa wetu ila tajiri tumpachike jina la x...



x ndo kaua,kusudi amweke mwenzake pabaya!,na huyo jamaa anatumia pesa kuishikilia hii kesi,bosi wangu mimi alimpa hii kesi inspekta mmoja aitwaye kibarakashia ambaye alirekodi kila kitu nilichokusimulia hapa ila wakati tukisikiliza kisa chake X alikuja na kugawa hela...



kesi ikazimwa ata ujio wako bosi anautambua baada ya kuambiwa na mkuu wa magereza x akapigiwa simu ambapo aliahidi kutuma vijana waje kuonana na wewe ila mimi nikawahi kabla yao.



tumsaidie huyu kijana ukweli ujulikane,nipo tayari kutoa ushahidi kwa kusimama kizimbani na kusema ukweli mtupu!"



JACK akashusha pumzi ndefu,



"ok afande nimekuelewa,katu sikujua ili jambo ni zito namna hii ila kila kitu kitaenda sawa koplo na tutashirikiana."



wakaagana na kutoka safari hii walikuwa marafiki koplo kadamte akakaa mbele safari ya kuelekea nyumbani ikafuata



******



ilikuwa ni ofisi ndogo ilojaa vitabu..jack alikuwa akipitia vifungu vya sheria vitakavyoilegeza kesi ile,



ghafla akatembelewa na wageni ni XY na mwenzake BASHAAT

mkononi walikuwa na brufcase



"hii ni milioni 50 naitaji uache kufatilia hii kesi tofauti na ivyo tutaisambaratisha familia yako..."



JACK akuamini macho yake pale brufcase ilipofunguliwa macho yake yalikuwa katika mafungu yale ya noti hata vitisho alivyokuwa akipewa kama angekataa ela zile akuzisikia..pes

a ni shetani..ghafla tamaa ilimtawala Jack Tamaa ni vigumu kuzizuia pindi uonapao maburungutu yale.



mwili ulimtetema kwa kihoro brufcase ile ikafungwa akaiweka chini ya meza yake



"basaaat je kuna kirusi chochote,kilichopo nje ya mpango wetu tukiformat kwenye uso wa dunia?"



Jack akadakia...



"ndiyo ni koplo kadamte!...anafatilia kesi hii"



"tutampataje?!"



"yah tulikubaliana saa kumi jioni akitoka kazini tuonane katika nyumba ya marehemu tukawaoji wale walinzi wanacha kutuambia."



vijana wale x,y na b wakatazamana.wa

kaaga! wakiadhimia huo muda kuwa eneo la tukio tayari kwa maangamizi.baada ya wagen wale kuondoka JACK akafungua tena brufcase ile na kuziangalia fedha zile kwa tabasamu pana..



Basaaat je kuna kirusi chochote,kilichopo nje ya mpango wetu tukiformat kwenye uso wa dunia?



Jack akadakia...



"ndiyo ni koplo kadamte!...anafatilia kesi hii"



"tutampataje?!"



"yah tulikubaliana saa kumi jioni akitoka kazini tuonane katika nyumba ya marehemu tukawaoji wale walinzi wanacha kutuambia."



vijana wale x,y na b wakatazamana.wakaaga! wakiadhimia huo muda kuwa eneo la tukio tayari kwa maangamizi.



baada ya wagen wale kuondoka JACK akafungua tena brufcase ile na kuziangalia upya zile ela.

akuamin

unalala maskini,unaamka tajiri.akajiwazia akitabasamu mwenyewe.alishaamua kuachana na ile kesi!



*****



kuwasili kwa PATRICK ndani ya nyumba ile ndiyo ilikuwa pona ya MERY!,walivunja mlango wakisaidiana na walinzi wakamweka SHONE kati!



baada ya PATRICK kumuomba sana atulie bila mafanikio na kuambulia matusi!,naye sasa akawa tayari kuonesha makucha yake nje! baada ya kugundua akuna mapenzi tena baina yao...



mambo yalibadilika kwa haraka sana,



patrick akisaidiana na walinzi wakafanikiwa kumdhibiti SHONE,wakamfunga mikanda katika kitanda huku mlinzi mmoja akimtesa kwa kumchapa,



MERY patrick akampakia katika gari yake na kumuwaisha hosptali kutokana na kipigo kikali alichopatiwa.



*******



ni mara ya tatu sasa simu ile aikupokelewa!,kwa nini?



akupata jibu!



muda walokubaliana kuonana na kwenda nyumbani kwa marehemu ndo muda huo anashangaa anampigia simu apokei



wasiwasi ukamvaa

vijana wa kazi wa PATRICK XY na BASAAT walikuwa pembeni ya nyumba ile kwa mtego wao maalumu!



dakika yeyote walijua koplo kadamte angewasili...



awakukosea...



baada ya kuplo kutopokelewa simu yake akakata shauri amfate ofisini akajue kulikoni pengine mwenzake yupo hatarini,



alifanya vibaya sana kuwaza vile,



usilo lijua ni sawa na usiku wa kiza,



sasa roho ya kadamte ilisakwa kama lulu...



alifika mpaka ofisi ile ya wakili akaingia macho kwa macho na wakili!,wakili akiwa katika muonekano mpya mbele yake katika uso wake,

CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

hakuwa yule waloonana asubuh wakili huyu alimwangalia kwa dharau!



akaanza kumuoji maswal



"tulikubalianaje mwanasheria na wewe unafanyeje?,nakupigia simu utaki kupokea..."



"ishia hapo hapo afande!..."



"what?!..."



"yas naomba utoke ofisini mwangu!"



Afande KADAMTE akashtuka,akutegemea kuskia maneno kama yale,alijua kwa vyovyote wakili yule atakuwa kaonjeshwa ela



akukosea!..



akutaka kuendelea kubaki pale!...



akuuliza wala kuongea chochote aliitaji kuondoka hapo haraka sana,



hapakuwa salama kwake tena!



akageuka,na kupiga hatua kuufata mlango,



Afande KADAMTE akashtushwa na sauti akiwa kashafungua mlango tayari kwa kutoka nje!,



akageuka kusikiliza alichoitiwa,



"naomba ukae mbali na hii kesi ukimbelembele wako utakuponza!"



KADAMTE akujibu kitu akatoka kichwa kilimzunguka kwa mawazo meno yake yaligongana kwa hasira

katu akutaka kurudi nyuma...



alisha amua liwalo na liwe mpaka apate muafaka.



******



Vijana wawili Bashaaat,na X,y walikuwa pembezoni mwa nyumba ile wakiwa makini kwa wapita njia,mlango wa gari waliuacha wazi Bashaaat alisimama nje ya mlango wakati X,Y alikuwa ndani ya gari akilipitia gazeti



macho yao yalikuwa makini kuzunguka eneo lote lile kuakikisha wanamtia nguvuni KOPLO mwenye ulka ya kimbelembele dakika zilizidi kuyoyoma,bil koplo yule kuwasili



wakakata tamaa..



ila kuondoka aikuwa sehemu ya kazi yao mpaka bosi wao awaruhusu.wakazidi kusubiri



*******



Koplo KADAMTE akaamua kukodi pikipiki tayari kuelekea nyumbani kwa marehemu akiwa na dhumuni moja kuoji maaskari wa pale na kurecord kama ushahidi mahakamani,



mwendo wa bodaboda aikumchelewesha kufika eneo la tukio,akashuka na kumlipa bodaboda yule,katu akujua kuwa wazee wa kazi walishamwona!,



katu akutilia shaka gari ilokuwa imepark pembeni upande wa pili wa barabara akachepuka na kulisogelea geti..



aligonga mara moja mlinzi akafungua geti koplo akaingia na kujitambulisha,



akatoa recorder yake na kuanza kurekodi maojiano yale



"mimi ni askari wa kituo cha kati na pia mpelelezi wa kijana alokuja kukamatwa humu kwa kesi ya mauaji ya bosi wenu na maswali mawili matatu!."



KOPLO alianza kujitambulisha!....



Katu akutilia shaka gari ilokuwa imepark pembeni upande wa pili wa barabara akachepuka na kulisogelea geti....



aligonga mara moja mlinzi akafungua geti koplo akaingia na kujitambulisha,



akatoa recorder yake na kuanza kurekodi maojiano yale



"mimi ni askari wa kituo cha kati na pia mpelelezi wa kijana alokuja kukamatwa humu kwa kesi ya mauaji ya bosi wenu na maswali mawili matatu!."



KOPLO alianza kujitambulisha



"kwa jina naitwa afande KADAMTE ni afisa upelelezi wa kituo cha kati,nnayefatilia mwenendo wa kesi ya ZUBER mtuhumiwa anayeishi humu kwa kumchoma kisu! mpz wake ofisini je siku ya tukio mtuhumiwa alitoka humu sa ngapi?"



KADAMTE alipachika swali akimuelekezea mmoja wa maaskari wale recorder ile.



"kwa jina naitwa ALOYCE MICHAEL,na miaka mitatu katika kazi ya ulinzi nyumbani hapa ZUBERI aliletwa na bosi si juu ya mwezi mmoja ajawai kutoka katika nyumba hii..sisi yenyewe tunashangaa kuambiwa yeye ndo kaua."



Mmoja wa maaskari aliyejulikana kama ALOYCE aliongea kwa majonzi makuu



"je unahisi ni kwa nini alikuwa atoki?"



"siwezi kujua afande"



KADAMTE akaendelea kuwaoji sambamba na kurekodi mazungumzo yao...



na mwisho akawaomba siku ya kusomwa kesi wawe mashahidi!,kumtetea bosi wao alobakia,maaskari wale kwa moyo mweupe wakatii bila shida.



koplo KADAMTE akawaaga na kuondoka furaha ikiwa imezaliwa katika moyo wake...



Katu akujua kuwa aliwekwa katika tageti na wauaji walopanga kumshambulia ghafla kwa risasi na kumpokonya roho yake,



mawazo yake yalikuwa kuwasili ofisi ya wakili yule akaonane na katibu muhtasari,sambamba na kukagua camera za dstv kwa umakini!,anakum

buka mara ya kwanza walikagua wakiwa na afande kibarakashia juu juu...



ile gari taratibu iliondoka na kuelekea usawa wa KADAMTE huku BASHAAT akiwa kama dereva!,xy akaikamatia silaha yake vizuri akamlenga kadamte katikati ya kifua maeneo ya hatari pindi ilishambuliwa milio ya risasi ikarindima.



KADAMTE akajirusha katika mtaro ulokuwa maeneo yale,..ila akuweza kukwepa mvua ile,gari likatoka kwa mwendo mkali!,wakijua KOPLO yule tayari ni maiti! watu walipiga kelele,akuna alokumbuka kuchukua namba za gari lile...



katu akuna aloisi kama koplo yule anaweza kupona kwani walishughudia risasi zikikilenga kifua chake,bado wamama wenye roho ndogo walipiga kelele wakilia,wapo pia walopoteza fahamu kwa mshtuko wa milio ile...



maajabu!



upande wa wauaji walifarajika kushambulia kwa ghafla na kutoweka bila kufatiliwa,walipongezana



walijidanganya!



aikuwa hivyo



KOPLO KADAMTE akudhuriwa hata na risasi moja.



kadamte alijua kuwa kuna uwezekano wa yeye kuwindwa.



kama askari aliishi kwa hisia na katu akutakiwa kuzipinga hisia zake...



JACKET BROOF koplo yule aloivaa ndani ya uniform zake zilizuia uingiaji wa risasi zile katika mwili wake.



kitendo bila kuchelewa akaanza kuzichomoa risasi zile watu wakimshangaa wengine wakimpiga picha ili watupie katika mitandao yao ya kijamii!...

CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

KOPLO akajinyanyua na kwa haraka akapiga picha eneo lile...



na kutoweka, akiacha mazungumzo yale yakishamiri na watu wakizidi kujaa eneo lile



********



Habari ya kupigwa risasi afisa wa polisi na kutodhurika zilisambaa na kuwafikia wausika.



ilikuwa ni kazi mbovu,kati ya kazi mbovu walizowai kufanya,wakajilaumu kwanini wasingeshambulia usoni?



wakajiona wakitukanwa na bosi wao PATRICK awakuwa tayari ilo litokee...



ramani ya kufika nyumbani kwa KOPLO yule walikuwa nayo awakutaka kusubiri siku hiyo hiyo wakaelekea nyumbani ambapo waligonga mke wake akafungua,wakakaribishwa ndani...



kosa kubwa



wakasema ni marafiki zake wakitambo ambao walisoma naye shule ya sekondani wenyewe walikuwa ulaya ivyo siku siku hiyo ndo walikuwa wametua nchini,



mke wa KOPLO akawakaribisha sebuleni,kwa ukarimu...



katu akujua kwamba wale ni wauaji ambao dakika zijazo uso ule wa tabasamu walokuwa nao ungetoweka pindi KADAMTE angewasili nyumbani pale



mama JOHN alipojaribu kumpigia mume wake simu akupatikana,



akawaandalia wageni maji ya kuoga sambamba na chakula



Usilo lijua ni sawa na usiku wa kiza



********



Habari zile za kupona kwa KOPLO yule zilimfikia PATRICK aliwaamini sana vijana wake na alijua wasingeweza kumpa taharifa bila kumaliza kazi,



pamoja na kuwa amini kule akutaka kukaa kimya na kuwaachia wenyewe,



akashika simu yake na kumtwangia mkuu wa kituo kile,



bosi wake na KADAMTE,akamweleza jambo lile ambalo lilimshtua sana mkuu yule kwa kuwa kesi ile akumkabidhi KOPLO yule...



akamtwangia simu insp kibarakashia na kumuitaji ofisini



Kikao kidogo kikafatia.....





KIBARAKASHIA naye akakana kushirikiana naye...



wote wakapigwa na butwaa.

KOPLO aliamua kuivaa kesi mwenyewe



x case!



case za namna hii,ni kesi za kujitoa muanga,kumbukumbu za INSP KIBARAKASHIA zikarudi nyuma siku ambayo aliitisha kikao kwa maaskari wote walousika na kesi ile,na kuwapa fedha...



wote walipokea kasoro KADAMTE



kwanini?



kwa muda ule awakulifikiria ili,leo ndo walilifikiria ili.ghafla akagutushwa na sauti ya bosi wake.



"naye je si alikula mgao?"



"hapana bosi alikataa"



"ooh shit huyu si mwenzetu yupo ndani ya X CASE nadhan nyote mwaijua aina hii ya case,ni kesi ambazo uumbua watu,au mtu! na watakaoumbuka ni sisi nani yupo tayar kuumbuka kati yangu na wewe?



lazima tufanye kitu kumnyamazisha kijana yule KADAMTE ni kierehere ila sasa amezidi sasa tutamwangamiza na kazi hiyo nakuachia wewe"

Mkuu wa kituo akamwachia INSP kazi ile...



kijana yule akawa akiwindwa kotekote kazini KIBARAKASHIA nyumbani wazee wa kazi X,Y na BASHAAAT,

uwezekeano wa kusalimika ulikuwa mdogo



Wakati hayo yakiendelea mwenyewe alikwepo ofisini kwa JANETH ambapo kazi ziliendelea kama kawaida,msaidizi wa JANETH akiiongoza ofisi ile ilobeba mawakili walobobea kama bosi wao,



japo hati za mali "urithi" ulimuidhinisha ZUBER kuwa mmilili halali wa mali zote.kwa maana hiyo ZUBER ndo alikuwa bosi wao.



tangu double S kupotea katika mazingira ya kutatanisha kwao awakujua kuwa alishakufa walikuwa waoga kufatilia mwenendo mzima wa kesi ile zaidi ya kuendelea na kesi za kawaida.



koplo kadamte aliongea na katibu muhtasari ambaye alimuakikishia kutowasili kwa zuber siku ya tukio na hata kabla ya hapo!



"kwa hiyo unataka kunambia ujawah kumuona mshtakiwa hapa ofisini?"



"ndiyo afande"



"je unaisi yeye ni muuaji?"



"hapana ila siku ya tukio vijana wawili ndo walokuja na kuitaji kuonana na madam baada ya hapo walitoka nami ndo nikaingia kupeleka file na kukuta tukio lile"



"baada ya kutoka watu wale wawili akuna mtu alokuja katikati yao kabla ya wewe kuingia"



"amna afande"



"ukiwaona utawakumbuka?"....



yule mdada akanyamaza sekunde kadhaa,yamkini alikuwa katika tafakari zito...



"ukiwaona utawakumbuka?!"



afande KADAMTE akarudia swali lake uso wake ukiwa umesawijika,



"n..n..tawakumbuka..afande"



binti yule alijibu kwa wasiwasi kidogo,KADAMTE akatoa tabasamu! kumtoa wasiwasi



"unaweza ukanambia wajihi wao? jinsi walivyo"



afande KADAMTE akaoji tena sambamba na kukifungua kidaftari chake nyuma na kuanza kuchora jinsi yule dada alivyoelekeza dakika chache sura ya x,y na BASAAAT (shabaash) zilikuwa katika kadaftari kale,baada ya kumaliza akamuonesha yule dada picha zile dada yule alishtuka macho akayatoa pima kwa mshangao mkuu!!



akistaajabu aina ile ya uchoraji! akatingisha kichwa kuafiki wale ndo wauaji wa JANETH,



KADAMTE akatabasam



"ntawasaka popote katika dunia hii na kuwakamata..."



alijiapiza,katu akujua viumbe vile viwili vilikuwa nyumbani kwake vikimsubiri kwa uchu.



"bila shaka awa ndo walonikosa kosa na risasi"



akastopisha RECORDER yake na kuaga....



safari hii alipania kwenda kuonana na ZUBER amuoji akipata maelezo kama yale inspekta kibarakashia aloyafuta angechukua kibali cha kumkamata PATRICK kwa bosi wake na angekosa hapo angeenda ngazi za juu



X CASECHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



katu akujua kuwa kibarakashia alipewa kazi ya kumwangamiza na alimsubiria awasili pale kwa hamu.



taratibu akaingia katika gari yake na kuanza safari ya kuelekea katika magereza yale dakika chache zilizofuatia akawasili...



alikuwa mbele ya kijana yule ambaye pindi alipomuoji akuwa tayari kufungua mdomo wake kusema kitu.



aliwachukia wenye kuvaa uniform zile

aliathiriwa na msongo wa mawazo

KADAMTE aliuzunika,lakini akuwa na jinsi ikabidi ajinyanyue na kuelekea kazini!



ambapo palikuw mkabala na magereza yale...



Hali ya utulivu ilishamiri,kila mtu aliendelea na shughuli zake kituoni pale, kuwasili kwake ilikuwa ni furaha ya watu wawili,



watu wenye lengo moja inspekta kibarakashia mwenye dhima ya kumuua koplo yule kimbelembele na bosi wao



mpango kabambe wa kumwangamiza ulishaa andaliwa





Mpango kabambe wa kumuangamiza KADAMTE ukapangwa, mpango ukapangika,ikabaki tu utekelezaji ambao kesho yake ulitekelezwa



******



Kila alipojaribu kufurukuta pale alipofungwa alishindwa,maumivu yalisambaa katika mwili wake,baada ya siku mbili ya kulala pale PATRICK alimleta daktari ambaye alimchoma sindano ya kumpotezea kumbukumbu kwa mara nyingine

na kupoozesha viungo vyake asiweze kufurukuta



SHONE akafunguliwa,mwili wake ukiwa umejaa majerahaa,mwili wake uliathirina na madawa na kushindwa kunyanyuka mahali pale,moyo wake ulimwenda mbio,alijua dakika yeyote angekufa bila kujua mwenendo wa kile akifikiriacho japo alichomwa sindano ya kupoteza kumbukumbu tena,kumbukumbu zile azikuweza kutoweka!



kwanza majeraha alokuwa nayo! aliyafikiria sana...aliishi kama mlemavu katika kitanda kile,mwili wake uliparalaizi na kushndwa kufanya kazi vizuri,



hiyo ndo ilikuwa tu raha ya PATRICK...alijua akuna kisindacho pesa...



Shonaizar alilikuwa ni muhimu sana kwenye maisha yake!...aliuhitaji uwepo wake kwake na uhai wake zaidi ya kitu chochote



kwa nini? turejee nyuma kidogo:



*******



SAFARI ISIYOSAULIKA



MIAKA 10 NYUMA



MTO RUGANGA NIGERIA



Vijana wale watatu wa chuo waliangaliana,safari yao walikiri kwamba ni ngumu sana ndani ya nchi hiyo ya kigeni ila awakuwa na budi kuvuka mto huo wenye maji yenye kwenda kasi na awakujua daraja liko wapi ila ramani walokuwa nayo iliwaonesha kuwa ni lazima wavuke mto ule kwendelea kusonga mbele...



akukuwa na mawe ya kuvukia walichoka...wakaangaliana



"dah katika mitihani yote tulovuka huu ni zaidi wajomba hapa tutapitaje sasa?"



PATRICK akawaambia wenzake.



ambao hata hamu ya kuongea awakuwa nayo!



saa sita usiku...bado nusu saa tu lazima tupite iwe isiwe...



PATRICK akazidi kuongea...nusu saa badae sita kamili walishikana mikono wakasali kwa lugha walopewa na mganga wao kisha kwa pamoja wakatumbukia.



awakutoka.



mpaka siku mbili mbele walipovuliwa na wavuvi upande wa pili wawili wale wakiwa wamekufa hali ya PATRICK ikiwa mbaya,..



ila baada ya tiba akaendelea na safari yake,akiwa sasa peke yake



Baada ya kuwapoteza wenzake wawili na yeye kupaswa kuendelea na safari yake PATRICK kwa mara nyingine aliangalia ramani yake ambaye ilimwambia baada ya kuvuka mto ule aelekee kijiji cha unyankanya,kilichopo mashariki ya mbali...



huko atafute pori la maajabu katikati ya pori ilo lenye viumbe vya ajabu ndipo atapata solution ya matatizo yake,



akauliza kwa lugha ya kingreza yalipo magari ya kwenda kijiji hiko.akupata shida kuelekezwa.nusu saa badae alikuwa juu ya tipa la mchanga akielekea alipoitaji kuelekea.



Barabara ilikuwa ni mbovu,ilopelekea tipa lile la mchanga kunesa katika mabonde yalokuwepo katika barabara ile walokuwa juu ya tipa lile walijishika vizuri kusudi wasirushwe na kudondoshwa na gari lile...



walipita misitu,mabonde,milima mikali,hatimaye wakafika katika kijiji hiko.



PATRICK akashkuru japo alikuwa amechoka akutaka kupumzika akasonga usiku huo huo.akaufikia msitu huo.saa sita kamili ndo ilipaswa aingie na muda huo ilikuwa ni 5 kasoro.



kuvuta mda akaukwea mti ulokuwa pembezoni ya lango lile! na kujilaza akapitiwa na usingizi

kutokana na uchovu akapitiliza mda!,



kumbe ule aloupanda aukuwa mti ulikuwa ni mlinzi wa majini waloishi katika msitu ule! sita kamili ndo nguvu zao uanza kutumika mpaka saa kumi na moja ugeuka na kuwa miti ambayo ubaki ivyo ivyo mpaka saa sita tena.



mti ule uliingia msituni kwa kasi PATRICK akiwa juu yake,..bila ufahamu wowote.mpaka katika kambi yao.ukawa mdogo na kumtupa kijana yule chini PATRICK akashtuka

akapokelewa na taswira ya kuogofya,viumbe wa ajabu wenye maumbo ya ajabu ndo walokuwa mbele yake walishika miale ya moto uku wakicheza ngoma mgongaji wa ngoma ile akumuona



PATRICK akaguna

mguno ulopokekewa na viumbe wale wenye maumbo tata wakasitisha zoezi lao na kumsogelea na kumzingira wakimweka katika duara.



makelele yakafatia

yamkini,walimuoji maswali

lugha akuielewa



akanyamaza



akaduwaaa

CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

akakumbuka wakati alipoenda kwa babu kwa ajili ya kutaka utajiri na kupewa safari ile ya kwenda kuonana mzimu mkuu wa mizimu....



pindi akiwa katika hatari,aongee maneno hayo...ambayo alitumia wiki nzima kuyakariri!



"onyayndalafyatabigandalindaniyaokafe"



akiwa na maana "enyi viumbe naitaji kuonana na mfalme wa msitu huu OKAFE"



akaongea...



ghafla viumbe vile vya ajabu vikaduwaa



vikapiga goti



kila kiumbe kikarudi sehemu yake...



kiumbe mmoja akampa ishara amfate naye akamtwii...safari ya kuelekea katikati ya pori ikawadia kiumbe kile kikiwa kinaenda kwa kasi kimemweka kichwani...



ila kasi yake iliyeyuka pale ilipofika kumi na moja kikastop na kugeuka mti.



PATRICK akastaajabu



mazingira yote yakarudi kuwa msitu...



kijana yule akutaka kupoteza muda akajishusha na kuchukua dira yake akailinganisha na ramani yake

akatabasamu



mti ule aukuwa mbali na maeneo yale.



akaanza kuusaka kwa macho akinuia maneno aloambiwa ayanuie...



ghafla akauona.



ulikuwa ni mbuyu mkubwa kuliko yote

pembeni yake kulikuwa na mibuyu midogo midogo minene iloshiba,bila shaka ni walinzi.



akanuia tena.



akamwaga! dawa aloishonea kwenye fundo katika nguo yake.mti ukaanza kutingishika matawi



KARIBU MTWANA KATIKA HIMAYA YA KITWANA POLE SANA...NITAKUSA

IDIA...NILIJUA UJIO WAKO,NIMEKUKING

A,MAISHA YAKO,UTARINGA,KWA UTAJIRI WAKO...



mti ule uliongea tena kwa vina.PATRICK akasogea eneo lile na kupiga goti akasujudu..



RUDI NYUMA,TENA SIMAMA,MALI NYINGI UTAZICHUMA,ILA NENDA KAENDELEE KUSOMA...



patrick akaduwaa akumuelewa mti ukaendelea.



NIANGALIE,TENA USIWAZE,NYOTA YAKO,IMEARIBIKA!,UTAANGAIKA,AI

TATAKATIKA,TUTAIUNGANISHA NA WAKO WA MAISHA,USIJE UKAMUACHA,SHONAIZAR NDIYO NYOTA YAKO...AKIKISHA UNAISHI NAYE,APOTEI KWENYE MIKONO YAKO,UTAJIRI WAKO,UPO KWENYE MIKONO YAKE,ISHI NAYE,ASIJE AKAKUPONYOKA...



PATRICK akaduwaa tena kumbukumbu za mwanafunzi mwenzake SHONE zikamjia.ila akuuelewa mti ule...



ghafla picha ya shone ikaonekana kwenye mti ule...urembo wake ukiwa tofauti na auwonao...



namaanisha hivi kijana?,huyu msichana,ananyota kali ya utajiri,sasa kwa kuwa nyota yako ya punda,mnganganie usimwachie,..siwezi kukusaidia zaidi ya hapo,umekataa kumtoa mama yako au ndugu yako kafara,umekataa kuishi na jini,umekataa kutoa sadaka ya damu,umekataa kuwa free mason,sasa wataka utajiri wa namna gani tofauti na huo?



PATRICK akanyamaza....



"sawa mtukufu wa mizimu!"



"ok utaenda? au tutashinda? ukiwinda? usiku utapanda,mti ukisindikize?"



PATRICK akakubali kukaa maeneo yale akiwinda wanyama na kuwachoma akisubiria usiku...ilipowadia sita!



alikuwa juu ya mti akisafirishwa,kumi na moja alishuka kwenye mti ule..



akasonga mbele kidogo.akasubiria tipa,likapita akapanda



siku ilofatia alikuwa chuoni

PATRICK baada ya mawazo yale akashusha pumzi ndefu,machozi yalikuwa yakimtoka



SHONE aliliona ilo



huruma ikamwingia,kumwona mwanaume anamwangaikia...akataka kufungua mdomo kuongea neno akashindwa.PATRICK akamshika mkono akauweka katika mapaja yake



"wewe ndo uhai wangu,nakupenda zaidi ya kitu chochote shone! nakonda kwa mawazo kwa ajil yako..."



akashndwa kuongea kilio kikamkaba,akaanza kulia,madaktari wakamnyanyua na kumtoa nje

moyo wa SHONE ukapasuka,akajihisi ni mkosaji,ana hatia kumtesa yule ampendaye...



akatamani amwombe msamaha,

ila alishachelewa PATRICK akwepo...alisha

pigiwa simu kuitajika mahali...



********



KUTEKELEZWA KWA MPANGO WA MAUAJI



Ni wakati KOPLO KADAMTE anawasili ofisini kule akapewa taharifa ya wito ofisini kwa bosi haraka sana afande.



yule akachepuka kuelekea kwa bosi wake alotabasamu muda wote!...yah kesho wewe na wenzako mwaitajika mwende chimbo lacreem



(chimbo lacreem ni kambi ya majambazi waibao wenye silaha nzito)



ramani imeshapangwa nawe utakaa katika kona b wenzako watakuwa katika maeneo pangwa,mtatambuana kwa aina ya mbinja miruzi,mtakayopiga mtakutaniana huko huku kila mtu atulie kwenye eneo lake pangwa usipige risasi mpaka uruhusiwe genge lile ni hatari na lenye silaha nzito ndo maana wakajiweka adharani wakijua atotowafanya kitu.



kazi ni juu yenu kila mtu ameshapewa maelekezo kama ulopewa wewe nikutakie kazi njema koplo..koplo KADAMTE akaguna mguno wa mshangao.

CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Kazi ya ffu Anapewa yeye KOPLO?,



akatabasamu na kujinyanyua akapiga saluti nzito kwa bosi wake yule,akujua yupo ndani ya mtego usioteguka.



akujua kuwa genge lile la waalifu lilishirikiana kwa ukaribu na maaskari wakitoa silaha,pindi wavamiapo mahali kufanya tukio walichelewa kwa makusudi kuwaacha wamalize wakimaliza nao ndio hufika eneo la tukio kwa mbwembwe.



akukuwa na askari wala nini zaidi yake peke yake...



ambaye majambazi wale walitaarifiwa kuwasili kwa kijana yule na kona atakayejificha.



KOPLO kadamte akapewa wasaa akajiandae...tangu mke wake amwite kierehere koplo yule aliacha kwenda nyumbani zaidi ya kulala gest kwa dhumuni la kumkomoa mpz wake yule,ndo maana hata yule wakili msaliti alimpeleka hotelini,ndimo chumba alichokuwa analala na simu aliamua kuzima.



mke wake akujali ilo yeye alichukulia ni ubize wa kazi!,leo hii ikiwa ndio siku wauaji wale wameenda kumtembelea,bila kujua anakifata kifo ilimlazimu kuelekea nyumbani kwa ajili ya kujiandaa na operesheni ya kesho yake asb katika genge la uhalifu bila kujua yupo kwenye mtego wa wauaji wasoutamani uhai wake.



aliwasili nyumbani ambapo aligonga mara moja mara ya pili mlango ukafunguliwa na mke wake alomkumbatia kwa bashasha.



mama JOHN akutaka kumwambia kitu kwa lengo la kumshtukiza(kumsapraiz) kitendo cha kufika sebuleni walitazamana na mtutu wa bunduki...



walipogeuka nyuma BASAAAT naye alikuwa kashka bunduki akiachia tabasamu baya lenye kukera.



ila x,y aliwatazama kwa chuki na dharau ya hali ya juu kwa mara ya kwanza KOPLO KADAMTE alikiri kutaitika.



sura zile azikuwa geni.katika macho yake.ndo zile zile alizichora...



ila kabla ajaruhusu majigambo ya wavamizi wale aliruka teke mgeuko la ghafla lililompiga BASAAAT mkononi bastola ikaruka sekunde hiyo hiyo alikuwa nyuma ya jamaa yule akimweka kijana yule kama ngao,kitendo cha kujigeuza kwa teke lake lile xy alitaka kuachia risasi lakini alisita baada ya kumuona mwenzake akiwa mbele ya uso wake...



akiwa kakabwa



akaduwaaa...



sekunde kadhaa zikapita kila mtu akifikiria cha kufanya



XY,akashangaa,mshangao wake ukamalizwa na sauti kavu ya ukali kutoka kwa KOPLO yule



"nasema weka silaha yako chini!,tulia hivyo hivyo chochote utakachojaribu kufanya kitagharimu maisha ya mwenzako utafanya niondoke na kichwa chake.kwa kisu hiki."



X,Y akashangaa tena

macho akayatumbua kwa mshangao.



akujua ni saa ngapi koplo yule alikichomoa kisu na kukichomeka katika shingo ya mwenzake.



alijua rafikiye kakabwa tu basi!

kumbe kawekewa na kisu tena?



kwa ufupi koplo KADAMTE alikuwa ni mwepesi...



kumtisha zaidi x,y kile kisu akakisukuma kidogo shingoni kama ndo anataka kumchinja.



BASAAT akaachia yowe la hamaniko.



fadhaiko likimfadhaisha uso wake!



x,y kwa woga akatupa silaha chini.pemben ya bastola ya basaat iliporukia.



"mwachezea dola nyie"



kadamte akaongea akaendelea safar hii kwa kufoka



"wewe mwanamke okota hizo silaha ingia nazo ndani ujifungie wewe na mtoto"



MAMA JOHN huku akitetemeka akatii na kuingia chumbani.koplo KADAMTE akamsukumia BASAAT alipo mwenzake wakapamiana na kusambaratika chini.



matusi ya nguoni yakawatoka wakajinyanyua ila kabla awajakaa sawa koplo akajirusha na kuwatandika mateke mawili ya double(double tic taker) kifuani wapigwaji wakaserereka na kupamia ukuta wakajigonga vibaya ukutani kisogoni.



KOPLO KADAMTE akainyanyua meza ndogo na kuwavurumushia.aliye nyanyuka ni BASAAT tu!,x,y alitulia chini akiugulia maumivu meza ile ilimtwanga mguuni.



Basaat aliongozwa na ghadhabu,hasira

,akaenda kwa kasi akiruka na kukunja mguu ghafla akaukunjua na kuunda teke mnyoofu(yop chaggi) litumiwalo sana na wachina,teke arukalo na kujigeuza akijipinda kitaalamu likienda kwa mlengwa bila kutegemea hisia...



ila koplo akalikinga teke lile kwa mkono na kumuwezesha basaat kutua chini wakaangaliana kama majogoo wakati huo majeruhi x,y alikuwa akijitahidi kusimama akafanikiwa.



BASAAT akaupeleka mkono wake katika pua yake na kufuta damu zilizokuwa zikimtoka



akamwangalia msababishi kwa hasira.akapokewa na tabasamu la dharau,kejeli!!!....



Wakawa sasa wanaviziana,kutegeana,nani atamwanza mwenzake....



KOPLO akajisogeza!,akarusha ngumi mbili za haraka ambazo BASAAT alizikinga kabla ajarusha mtama ulomsereresha KADAMTE akaserereka chini akaangukia mgongo.



BASAAT hakutaka kupoteza muda akamrukia na KITOFA cha goti!



maeneo ya mbavuni.KADAMTE akaachia yowe la maumivu...



ila akutaka kulala kizembe akajiinua

kabla ajapokea teke lingine kutoka kwa MAJERUHI alopona KADAMTE akaenda chini.



kwa wepesi wa ajabu akajinyanyua.



akunyanyuka hivyo hivyo

mkononi alikuwa na silaha ilokuwa ikifoka moshi



sekunde chache nyuma alipojinyanyua mkono ulienda kibindoni na kutoka na bastola

akawafyeka watuhumiwa wake risasi za miguu.



mlio ule wa risasi ukawa chachu ya kuwashtua majirani!



muda wote majambazi wale hawakujua kama KADAMTE alikuwa na silaha.



alipoitoa sekunde hiyo hiyo aliitumia.na sasa walikuwa chini.risasi zikiwa ndani ya miguu yao.



dakika zile zile majirani wakavamia!,tukumbuke KOPLO KADAMTE aliishi kwenye nyumba za kota yani aliishi eneo la maaskari,ivyo alivyofetua bastola ile mlio ule uliwafikia maaskari walobeba silaha na kuwasili eneo la tukio



watuhumiwa wakapigwa pingu na kufikishwa rumande.wakatupwa ndani....



kabla PATRICK ajaenda kuwatoa!!!



******



Asubuhi koplo KADAMTE baada ya kuvaa uniform zake aliingia ndani ya gari lake na kuelekea alipoitajika kwenda



CHIMBO LACREEM



Chimbuko la wahalifu!



katu hakujua kama ule ni mtego.

CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

nyuma ya gari yake akuweza kuitambua gari ya hasimu wake mkubwa INSP KIBARAKASHIA alomfata,yeye ndo alikuwa na dhima ya kuwajulisha mahadui walipofikia.



majambazi wale wakiwa na silaha nzito za kivita wakawa wakimsubiri kwa hamu.



katika kazi rahisi genge lile walizopewa ile ilikuwa rahisi kuletewa hasusa katika himaya yao.



walifarijika sana...taratibu KADAMTE akaanza kuwasili eneo la tukio...mitaa kadhaa kabla ya mtaa muhusika.akapaki gari akajishusha.



akaicheki silaha yake ilitulia kibindoni akaanza kupiga hatua kuelekea eneo husika.mapigo yake ya moyo yakimwenda mbio.



Katu KOPLO KADAMTE akujua juu ya ujio wa afande Kibarakashia nyuma yake!..



umakini wake aliuwelekezea mbele aendapo! na kumpa nafasi nzuri wa nyuma yake kuzifata kwa urahisi nyendo zake.



Alipofika kwenye jengo lile lililozungukwa na ukuta mrefu alisita kidogo,na kuzunguka nyuma ya jengo lile la Lacrima.



Akauparamia ukuta ule kwa tahadhari na kujivuta juu akatumia sekunde kadhaa kutupia macho ndani ya jengo lile.hapakuwa na mtu,yamkini wausika walikuwa ndani.



Aliporidhika akajirusha juu na kutua bila kutoa kishindo akaanza kukimbia kwa kunyata kuelekea kona ya awali! alo ambiwa baada ya kuruka ndo angekimbilia pale.



akiwa makini silaha yake mkononi akiliangalia lango la kuingilia ndani.akijua wenzake watakuwa humo.akashtushwa na kishindo.



Akajiweka tayari kushambulia Kadamte wazo lile likayeyuka baada ya kumuona aloruka ni inspekta kibarakashia



akatabasamu



kibarakashia akamfata eneo lile lile alilokuwepo.



katu Kadamte akujua kama yule ni hadui



mfyuuu! mfyuuu! mfyuuu!



kibarakashia akapiga mluzi kuwataharifu mahadui kwamba jamaa kashazama.



Kadamte akajua ni ishara kwa wanausalama wengine.walioko ndani au nafasi pangwa



kosa.



kibarakashia akamfikia,tofauti na matarajio yake akamtupia teke kali kwa kiatu chake chenye soli imara!



kadamte akabaki ameduwaa

hali ya sintofahamu ikizagaa katika kichwa chake!



"Well done,well done,well done kamanda!"



Ilisikika sauti nzito!,ambayo wote wawili kibarakashia na mwenzake waligeuka kutazama ilipotokea



mbabu mwenye ndevu nyeupe,mkononi alikuwa na mkongojo akitembea kwa kuchechemea alikuwa kajifunga kikoi mguuni makobasi akiwa na shati jeupe kilemba kakizungushia shingoni kichwani anakofia mdomoni hana kiko.



pemben yake kulikuwa na njemba mbili zilizo shiba mkononi zikiwa na silaha nzito za kivita!,walivaa nguo za jeshi la marekani.



huyu mwarabu hawa wamarekan vipi...



kadamte aliwaza "koplo kadamte askari mwenye uchungu na nchi yako...kimbelembele karibu katika mchezo"



mtu yule aliongea na ajabu akajirusha na kumtwanga teke.....



Mzee yule alikuwa ni mwepesi katu usingeisi wala kudhani kwamba ndo yule alokuwa akichechemea na mkongojo dakika chache zilizopita.



teke lile liliirusha bastola ya kadamte juu iliposhuka ilikuwa mkononi kwa mzee



"kutana na mzee JAMALI HAMISI balozi wa mafia nchini TANZANIA."



mzee yule ambaye ndo alikuwa mkuu wa kambi ile ambaye pia PATRICK alikuwa mfuasi wao akajitambulisha



"BASAAAAAAAT! MWANACHAMA hai wa kundi la mafia nadhani wanifahamu!"



KOPLO kadamte akashtuka,jana tu alimfunga leo yupo huru wakati akiendelea kuwaza ghafla mtu mwingine akatoka katika lango lile naye akiwa na silaha vile vile kama mwenzake,



x,y ndo jina langu nadhani unanijua ulinipiga ukanivunja mguu leo nami lazima nikuvunje mguu maumivu nloyapata mimi uyapate kabla ujatangulia,una

jifanya waipenda nchi yako eeh sasa leo nayo itaonesha upendo kwako karibu katika mchezo...



mawazo ya koplo kadamte yakahama akamkumbuka mke wake,maneno yake yalojaa nasaha mme wangu acha kiherehere usifatilie kesi ya wakubwa mme wangu kwani ukiacha utapungukiwa nini...akakumbuka jinsi alivyo ghadhibika na ghadhabu za hasira akampiga mke wake,akaama na chumba kwa mapenz mazito mkewe akamfata na kulala nje ya mlango wake akimsih arudi chumbani,masikio akaweka pamba mpaka asubuh akaama na kulala otelini Laiti kama uja mwisho wa safari.laiti kama ningelijua ningelimsikiliza mke wangu! muda huo kadamte akuwa nao tena...



wale majamaa wawili walokuwa pembeni ya mzee jamali wakapewa amri wamchakaze koplo kadamte dakika tano koplo alikuwa kaiva ajiwezi apo chini shoka likaletwa.



akakabidhiwa x,y kama ulivyonivunja mguu wangu kwa meza yako leo naukata mguu wako koplo kadamte alikuwa kaumia vibaya uwezo wa kujitetea akuwa nao akashikwa bila ganzi shoka likaondoka na kipande cha mguu koplo akatoa kilio,kilio cha kukosa tumaini nani angemuokoa kwa watu wale katili?,



damu nyingi zilimwagika akukuwa na huduma ya kwanza akakokotwa kuvutwa ndani.,kwa mateso makali zaidi!...inspekta kibarakashia akifurahia,akampigia bosi,mkuu wa kituo cha kati



********



mngurumo wa simu ile ya mezani ilimshtua mkuu wa kituo kile...



akakereka...



akutaka kumwachia aliyemshika....



akazidi kumkumbatia safari hii akihema hisia zilishampanda.



simu ikaita tena.



dada yule alokuwa kavaa uniform za maaskari wa magereza akajitoa mwilini mwa mkuu yule wa kituo.



"kapokee kwanza simu bwana!"



akaongea kwa sauti aloitoa puani,mkuu wa kituo akachepuka huku dubwasha likiipandisha kidogo suruhali yake.



"operesheni imefanikiwa afande! yupo nyanganyanga na ana mguu"



"good kibarakashia mwangamizeni tu!..."



"ila bwana JAMALI anasema anaua na muhusika akiwepo ataki longolongo uje na fedha zake kabisa"



"ilo ondoa shaka,ngoja niongee na atm ikicheua naja."



"ok poa"



simu ikakatwa.wakati huo afande yule wa magereza alikuwa kashamsogelea akimchezea mkuu yule wakitoa pale pale katika meza aloikalia wakati akiongea na simu! mkuu wa kituo akabonyeza tarakimu kadhaa simu ya PATRICK ikaita.



"bora hata umepiga mh kuna kitu kinaniumiza kichwa! nipo njiani nakuja ofisini kwako."

CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

"kitu gani bosi?"



"nakuja tutaongea ofisini"



"ok sawa ukifika kwa sababu na mgeni ndani itabidi usubiri mpaka nimalize maongezi naye"



"sawa mh"



simu ikakatwa.



mkuu wa kituo akamvaa askari magereza yule wa kike,akutaka kusubiri eti kumuandaa mwenzake alikuwa hoi.akamtibu kwa tiba mujarabu



******



Baada ya nusu saa tangu PATRICK awasili pale kituoni,mgeni aloingia akatoka.



alikuwa ni askari yule magereza PATRICK naye akapata wasaa wa kuingia mle ndani.



japo alijua kilichofanyika kwa kuwa mapenzi ayafichiki,ilo alilinyamazia akafata kilichompeleka.



mkuu yule wa kituo akawa tayari kumsikiliza kabla naye ajasema lake



mh unajua mke wangu kipenzi kadri siku zinavyozidi kwenda nahisi fahamu zinakuwa kama zinamrudia na huyu kijana ZUBER kuwa hai sipendezwi nalo kabisa,



vyombo vingi vya habari vinafatilia tukio ili na mke wangu now ni mpz wa taharifa za habari nnachoitaji ni kumtorosha gerezani ili niweze kumwangamiza kwa mikono yangu mwenyewe!!....PATRICK akaongea pasina mzaa



Patrick aliongea,akanyamaza kusubiri jibu kwa mkuu yule wa kituo.



Mkuu wa kituo alitabasamu kabla ajafungua mdomo wake kutamka neno



"ndugu yangu!,penye uzia penyeza rupia..."



"una maanisha nini mzee wang?"



"swali zuri! ni kitendo cha mimi na wewe kwenda kuongea na mkuu wa magereza tukimpa fungu la kutosha atatuachia asusa yetu tumalize mchezo! hiyo farst...second"



akatulia,akavuta pumzi na kuzishusha kwa nguvu.akaendelea



"wakati tukiendelea kuificha kesi hii,alitokea afande mmoja yamkini alipenda apandishwe cheo ni ka koplo tu kalikotoka depo juzi akakapata v moja baada ya kupambana na mateja na kukamata machangudoa sasa nadhani kakataka kuwa na vyeo vya juu kwa kuifatilia kesi hii leo asubuh tukafanikiwa kumzima baada ya kumtegea katika kundi flan la mafia lacrima ila sasa mkuu wa kundi lile kakataa katakata kumwangamiza kimbelembele yule bila mimi kuwepo...."



"ha ha ha ha ha bwana JAMAL"



"kumbe unamfahamu?"



mkuu yule wa kituo akauliza kwa mshangao



"aswaaa! yule ndo bosi wetu na huyu ZUBER kule ndo ntakapokwenda kumwangamiza! katika pipa la gesi akuna kiongo kitakachomekana."



"nawe ni mwanachama wao?!"



mkuu wa kituo akauliza kwa mshangao.akipata jibu sababu ya PATRICK jinsi alivyojiamini.



"ndio! usijali hela mi ntatoa."



"poa twende basi tukaongee na mkuu huyo wa magereza"



******



Wakati mkuu yule wa magereza akiwa ana hili wala lile anatembelewa na wageni



ni wageni ambao alishawaona zaidi ya mara nyingi katika macho yake

ni wageni ambao kila wamtembeleapo walimwacha katika furaha ya kitita kirefu cha hela.



patrick akaiweka brufcase yake mezani akaifungua.



mkuu wa magereza akatoa macho kwa mshangao

ni kiasi kikubwa cha hela ambacho tangu ameanza kula rushwa ajawah pokea kiasi cha ela kama kile,mwili ukaanza kumtetemeka,wawili wale wakauona huwo udhaifu

wakatabasamu



wakamuitaji ZUBERI

Kwa moyo mweupe mkuu wa magereza akamtoa zuber akaingizwa katika gari yenye tinted nyeusi.safari ya kuelekea kambi ya majambazi kule lacrima,nyuso zao zikiwa za furaa.zuberi alifungwa tayari kwa kwenda kuhukumiwa.



*********



Tumaini la kupona lilifutika mioyoni mwao,kifo walikiona mbele ya macho yao!



nani angekuwa mwokozi wao?



kati ya vijana wale wawili

Koplo kadamte,akiwa kifua wazi mwili wake ukiwa umecharangwa charangwa kwa mapanga damu zikimtoka,pembeni yake alikwepo kijana ZUBERI,tumaini la kufa likiwa mbele yake pamoja na mateso yote alopatiwa,akuacha kumwangalia PATRICK kwa dharau.



mbele yao akaanza kuongea mkuu wa kituo...



"ok! koplo kadamte,koplo mwenye uchu wa vyeo,kiereere mwenye uchu na nchi yako! mpashkunata! una thamani tena ya kuishi,umejua siri zetu nyingi...na hii ndo zawadi yako"



taratibu akiwa kakishikilia kisu akamsogelea koplo yule.



koplo alijitahidi kuomba msamaha

laprima hapakuwa na msamaha

kisu kile kikaingia katikati ya kifua chake

koplo Kadamte akaachia yowe ambalo akulimalizia...



akakata roho...



huu ndo ukawa mwisho wa koplo yule

akafunguliwa pale alipofungwa,kisu kile kikiwa katika tumbo lake...akasogezwa mpaka katika pipa la kemikali vijana wawili wakamtumbukiza



historia ya KOPLO KADAMTE ikaishia hapo!,fungu la pesa likatolewa.akakabidhiwa JAMAL mbele yao alibakia zuberi...



taratibu PATRICK akajongea kumsogelea bastola ikiwa mkononi yeye hakutaka kutumia kisu kama mwenzake...



"zuberi musa maruma"

CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

PATRICK akaita bastola ikiwa mkononi tayari kwa kuifetua,zuber akuitika PATRICK akaendelea...



"mr umentesa sana wewe!,na huu ndo mwisho wa mchezo wetu,umejificha sana,umefichwa sana,umekimbia sana ila umesahau ya kwamba hakuna marefu ya siyo na ncha ujui umuhimu wa SHONE wangu ujui wewe,ujui nimetoka naye wapi! sina budi kutekeleza nnachopaswa kufanya,kwa maslah ya maisha yangu..."



PATRICK alimaliza na kuishika silaha yake vizuri akiwa kaielekeza mbele ya uso wa zuberi akabinya kifyatulio tayari kwa maangamizi



milio ya risasi ikasikika!



MWISHO



ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog