Simulizi : Shida
Sehemu Ya Pili (2)
Ilipoishia jana..
Alex akabeba jukumu la kumwelewesha kila kitu kilichotokea mwanzo mpaka mwisho
"Nashukuru sana Alex, wewe ni binadamu wa pekee, sina cha kukulipa ila elewa umeokoa maisha yangu, nakushukulu sana" alitoa shukrani zake.
Songa nayo sasa…
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Laiti Mungu angetupa uwezo wa kufahamu mioyo ya watu ikoje Amina asingetoa shukrani ile kwa Alex!!!!
Amina aliendelea na matibabu yake pale kijijini kwao na Alex mpaka akapona kabisa, baada ya matibabu ya kawaida alimueleza mganga yule juu ya tatizo lake la kutokwa na damu na mganga yule aliyekuwa amebobea katika mitishamba akapambana mpaka akafanikiwa kupata dawa iliyoonesha dalili za kuanza kumsaidia Amina
"Nashukulu sana Alex kwa moyo wako huo, angeniua baradhuli yule" Siku moja Amina aliamua kumshukulu Alex
"Usijal Amina,ila muache tabia za kupenda wanaume wenye pesa, hiyo ni tamaa mbaya sana,amini maisha ni mtu mwenyewe,unaweza ukapendana na maskini kama mimi na mkatafuta mpaka mkafanikiwa" akajibu Alex
"Najua Alex,ila ujue wakati naanza naye mahusiano sikujua kuwa yeye anapesa,nilianza naye nikijua ni mwanafunzi,pia sikujua kama kwao ni hapa hapa alinidanganya ni Arusha" akaeleza Amina.
"Sawa, we ishi hapa kama nyumbani" akajibu Alex
Matibabu ya Amina yaliendelea vizuri mpaka akapona kabisa,kipindi chote cha matibabu Alex alikuwa kalibu yake kwa kila hali,alikuwa zaidi ya rafiki ilifikia hatua baadhi ya watu pale kijijini wakajua kuwa wale vijana wana uhusiano
Hakuna sehemu ambayo hawakuambatana,iwe sokoni au kwenye mnada walikuwa wote.
Siku moja Alex aliamua kupasua ukweli wa moyo wake!
"Amina kuna kitu nataka kukuambia" akasema Alex
"Niambie Alex" akajibu
"Nahisi nisiposema nitakuwa sijajitendea haki, moyo wangu una fukuto kali sana, mahaba yananitesa, nahisi upendo huu usipofikia panapohusika nitakufa kwa pressure" akajieleza Alex
"Sijakuelewa, naona kama unanifumba kitu, niambie una maana gani?" akajibu Amina
"Amina nakupenda, nakupenda sana, tena sana, naomba usiukatili moyo wangu na ndoto zangu tafadhali" akaeleza Alex
"Mmmmmh! Alex" akaongea Amina
"Tafadhali sana, najua una maumivu ya mapenzi ila nipe nafasi nikuoneshe upendo wa dhati, tafadhali sana Amina"
"Na hii mimba itakuwaje? " akauliza Amina
"Nimekupenda kama ulivyo na kila ulichonacho, sina zaidi,nikubalie tafadhal" akamaliza Alex
Hakuna kilichozuia haya mahusiano kutokuanza, kila mmoja alikiri kumpenda mwenzake
Familia zikatia baraka na hatimaye wakaanza maisha ya mke na mme
Baada ya miezi miwili Alex akiwa na Amina walisafili na kulekea nyumbani kwao na Amina kwa ajili ya kujitambulisha.
Mapokezo hayakuwa mabaya bali ya furaha sana, Amina aliwaeleza wazazi wake kila kitu kilichomtokea tangu alipofika Dodoma mjini mpaka kukutana na Alex aliyemsaidia
"Tunashuku sana kwa moyo wako baba, tunaamini una upendo wa dhati kwa mwanetu, tunakukabidhi rasmi na muishi kwa amani, swala la mahali nendeni mpaka mtakapopata mtaleta baba, na baraka zetu ziwatangulie" akaongea baba yake.
Penye baraka za wazazi ndipo njia ya mafanikio inapoanzia, baada ya kutoka kwa wazazi wa Amina walirudi kijijini kwao kisha baada ya muda mfupi Alex akaondoka na kwenda Dodoma mjini kutafuta kibarua cha kumuwezesha kutunza familia yake.
Alipokuwa mjini alianzia kazi ya saidia fundi ila akiwa na malengo ya kuwa fundi kamili
Alifanya kazi kwa bidii huku akijitunzia akiba na baada ya muda akaweza kufanya kazi kama fundi na kipato chake kikaongezeka.
Miezi tisa ilipotimia Amina alijifungua mtoto wa kike na akaamua kumpa jina la Shida
Mme wake alipinga sana hilo jina akiamini linamtabilia mabalaa mtoto ila Amina akashikilia aitwe Shida ili iwe kumbukumbu ya yale yote aliyopitia.
Hakujua kuwa jina pia linaweza tabili yajayo kwa mtoto yeye kwake alichukulia hizo kama imani potofu
Maisha yakasonga na Alex akapata chumba kizur akamhamishia mke wake pale,na kumfungulia biashara ya genge dogo
"Mke wangu ndoto zangu ni kutajirika, naomba tujinyime na kupanua hii biashara ili tuweze kufungua zingine na hatimaye kuwa na maisha bora"
Maisha yakazidi kusonga na baada ya miaka miwili wakapata mtoto wa pili huku biashara ikizidi kukua!
Maisha yalizidi kuwanyookea sana, wakafanikiwa kufungua duka la pili kubwa la kuuza bidhaa za ndani!
Alex alizidi kupambana na maisha akiwa na malengo makubwa katika maisha yake
"Mke wangu nafikiri sasa unaamin kuwa hakuna mtu maskini dunian, umaskini mtu anautaka mwenyewe, naamin huu ni mwanzo tu, nitakuwa tajiri mkubwa sana" Alex alimwambia Amina siku moja
"Naamin hivyo mme wangu, niko nawe bega kwa bega, na nitazidi kupambana kwa ajili ya maisha haya" Akamjibu
Maisha yakaendelea kunyooka na kuwa mazuri, baada ya muda mfupi wakawa wanamiliki maduka matatu, moja la spea za pikipiki na mengine ya bidhaa za majumbani, baadae akanunua costa ndogo ikawa inafanya safari zake kwenda wilaya ya Kondoa
Walipoona mambo yanazidi kuwanyookea wakaamua kuanza kujenga nyumba, wakatafuta kiwanja Area C na kuanza ujenzi wao haraka ili wahamie katika nyumba ile.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Miaka kumi baadae
Amina na mumewe Alex walikuwa na maisha mazuri sana, pesa kwao haikuwa tatizo, walibadilisha magari jinsi walivyotaka na kuishi kwa namna waliyotaka
Mtoto Shida sasa hakuwa mtoto tena bali mtu mkubwa akiwa na miaka kumi na mitano
Alikuwa akisoma shule ya binafsi ya LOYOLA huko Dar es salaam, akiwa kidato cha pili, kwa sababu maisha yalikuwa mazuri sana uzuri wa Shida alimchanganya baba yake na mama yake, ukawa umeanza kuonekana dhahiri
Alikuwa na hipsi zilizojazia kiasi, na tumbo dogo, mguu ukiwa na mvuto wa uhakika, kiukweli alionekana mzuri sana kiasi cha kuanza kupata usumbufu kutoka kwa walimu na wanafunzi tangu akiwa kidato cha kwanza.
"Mwanangu heshima ya mwanamke ni kutulia, hawa jinsia ya kiume hata afanye uhuni kiasi gani ataonekana wa kawaida tu na ataoa anapotaka, ila sisi jinsia ya kike ukijichanganya tu watu watakupa majina ya ajabu, utaonekana hufai ndani ya jamii, tulia sana, jichunge, mtunzie mme wako bikra yako na utaheshimika" alikumbuka maneno ya mama yake
Akajitunza na hakutaka mwanamme yeyote yule awe karibu yake hata kidogo, hata ushiriki wake darasani haukuwa karibu na wanaume, alitaka ashirikiane na wasichana peke yao.
Likizo moja Shida alirudi nyumbani kusalimia na kupumzika
Baba yake wa kambo Alex ndiye aliyeenda kumpokea uwanja wa ndege
Shida alifanya kama alivyozoea, alimkimbilia baba yake na kumkumbatia kwa nguvu kuonesha upendo wake na pia jinsi alivyommis
Alivyomkumbatia tu baba yake, chuchu zake zilizosimama zikamchoma baba yake mpaka akasisimkwa
"Mmmmh! Hii balaa, huyu mtoto mbona amependeza hivi? Mmmh haya majaribu, shetani na ushindwe" aliwa Alex
Shida hakujua anayowaza baba yake huyu wa kambo,
Waliondoka kuelekea nyumbani na baba yake akamwacha pale na wadogo zake ambao tayari walisharudi likizo na yeye akarudi kwenye biashara zake
Shetani akiamua kufanya kazi kwenye akili ya mtu huwa hashindwi na ndicho kilichotokea kwa Alex, njia nzima alikuwa akiziwaza hipsi za Shida, mara akakumbuka zile chuchu zilivyomchoma kifuani, ila akapambana na zile hisia mpaka zikapotea
Likizo iliendelea vizur pale nyumbani ila kwa Alex ilikuwa shida tupu
Maisha aliyowazoesha wale watoto wake ndiyo yaliyompa shida
Shida alishazoe tangu utoto wake kuvaa vinguo vifupi sana na hata wakati mwingine vikaptula vifupi pale nyumbani, aliendelea na tabia ile bila kujishtukia kuwa keshakuwa mtu mzima,aliiona familia yake ya kizungu,hakujua baba yake wa kambo anapata wakati mgumu
Siku moja Alex alirudi nyumbani mchana kupata chakula cha mchana, akamkuta Shida kavaa kanga peke yake kiunoni na kutokana na kuwa na mzigo wa haja kule nyuma kila alipotembea alileta mtafaruku mkubwa kwa Alex
"Aaah! Hapa kama lawama acha iwe lawama, kwanza mtoto mwenyewe sio mwanangu wa kumzaa, hapa lazima nionje utamu, sishindwi" aliwaza na akapata akili
"Shidaa?" aliita
"Bee baba?" akaitika
"Nataka kabla haujarudi shule nikupeleke Arusha kwenye mbuga za wanyama ukatembee japo siku mbili kwa sababu mama yako tulienda mkiwa shule, basi tutaenda na wadogo zako sawa?" akasema Alex
"Waooooooh! Ahsante baba, mwaaaah!" alimrukia baba yake huyu na kumkumbatia kisha akambusu
*************
Hakujua hali ile ilivyomweka baba yake huyu wa kambo katika hali ngumu,alisisimkwa sana!
Alex aliamin hiyo itakuwa nafasi pekee ya yeye kumpata Shida na kutimiza haja zake za kimwili
"Kwa hiyo anzeni maandalizi ili wikiend hii tuelekee Arusha na kutembelea mbuga ya wanyama ya Ngorongoro, waandae wadogo zako Shida sawa?" akamwambia Shida
"Sawa baba, nashukulu sana" alijibu Shida
Alex aliondoka na kuendelea na mihangaiko yake kama kawaida
Jioni waliporudi nyumbani alimweleza mke wake Amina juu ya mpango wake wa kumpeleka Shida na wadogo zake kutembelea Mbuga ya wanyama Ngorongoro ili angalau wapumzishe akili kabla ya kurudi shule
"Ni wazo zuri mme wangu, nashukuru sana kuona unampenda mwanangu Shida kama mwanao" akaongea Amina bila kujua kinachoendelea katika akili ya Alex
“Usiseme mwanao, sema mwanetu, hili ni jukumu langu kwa sababu waswahili wanasemaa ukipenda boga penda na.........?"
"Penda na ua lakeeee" akamalizia Amina
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Amina hakuwa na hofu yoyote na Alex, alimuamini kupita kiasi na alimwona mwanamme mwenye msimamo sana na maisha yake, hilo ndilo Mungu alilotunyima wanadamu, kujua anachowaza mwenzako
Laiti tungepewa uwezo huo, naamin tungeuana sana
Maandalizi ya safari yalipamba moto sana, nguo zikafuliwa, makoti makubwa yakanunuliwa kwa ajili ya baridi na kila kitu kilichohitajika kikafanyika!
Siku ya safari ilipowadia Alex na wanawe wakapanda gari la baba yao aina ya LEXUS nyeusi na safari ikaanza kuelekea Arusha
Safari ilikuwa ndefu ingawa haikuchosha sana kutokana na kupiga stor za hapa na pale huku wakisimama mara kwa mara njiani kuangalia mandhari ya maeneo yale waliokuwa wakipita.
Walifika Arusha jioni ya saa kumi na mbili na kulala kwenye Hotel Aqquiline iliyokuwa pale pale Arusha stand, kabla ya kuingia kulala walipita mitaa kadha wa kadha wakizunguka na baade wakapata chakula na kurudi Hotelin kupumzika.
Katikati ya usiku Alex alianza kufikilia namna atakavyofanikisha lengo lake
"Sijui nimfate sasa hivi? Au nisubiri huko porini ambako nitatafuta upenyo nitmize haja zangu? Ila hapana ngoja niende sasa hivi" aliwaza na kuamka pole pole akanyata mpaka chumbani kwa Amina akatlia mlangoni
Mapigo yake ya moyo yalienda mbio sana mpaka akaogopa na kurudi chumbani kwake.
"Mmmmh! Ila hapa majanga, akipiga kelele? Hapana ngoja nisubiri porini, nitajua cha kufanya huko huko ila mtoto mdogo kama huyu hawezi kunishinda" akawaza na kuamua kulala.
Asubuhi iliyofuata aliamka na kuwaamsha watoto wale na kujiandaa kwa safari hiyo
Waliondoka moja kwa moja mpaka kwenye kampuni aliyoingia nayo mkataba wa kupelekwa na kutembezwa kule mbugani ambayo ilikuwa Leng'ai Torist Co.Ltd
"Karibu mheshimiwa, hapa tulikuwa tukikusubiri wewe ili tuanze safari, kwa sababu umeshafika nafikiri ingekuwa bora tukaanza safari" aliongea Mratibu wa safari wa kampuni.
Safari ilianza huku wakiwa watu wachache sana katika safari ile kwa sababu kampuni haikuwa imepokea oda nyingi hivyo kwa siku hiyo yaliondoka magari matatu peke yake
Safari haikuwa ndefu sana na baada ya muda mfupi walifika geti la kwanza la kuingia mbugani, walifanya taratibu zote zinazotakiwa na kuingia ndani
Walisafiri kwa muda wa dakika arobaini na tano kutoka getini mpaka kufika katika kambi ya Kenyata ambayo ndiyo waliyopangiwa kuishi kwa muda wote watakaokuwa hapo porini
Alex alioneshwa vibanda walivyopewa kwa ajili ya kujihifadhi kwa muda wote, alichofaya ni kuvikagua kimoja baada ya kingine na kuona vinafaa, vilikuwa na kila kitu ambacho alitaka
Baada ya kumaliza ndipo akaelekea kwenye kibanda chake kupumzika
Vibanda vile vilikuwa vimetengenezwa kisasa sana, vilikuwa vinyumba vidogo vya tope na nyasi juu ila vikiwa vimepigwa plasta na kutengenezwa kitalii zaidi ili viweze kuvutia
"Nafasi mpaka sasa ndiyo hii, chumbani kwa yule mtoto kuna redio na television ambavyo vinaweza kupiga mziki kwa sauti kubwa kiasi kwamba hata akipiga kelele hakuna atakaye sikia, sasa sijui nitumie nafasi hiyo? Au nisubiri nikambananishe porini?" aliwaza Alex akiwa amelala kitandani kwke!!!!
* * * *
Ilikuwa siku mbaya sana kwa Shida, aliumia sana kwa kitendo cha kutokwenda porini kutembea na ilihali ndicho alichofata huko
"Sioni umuhimu wa mimi kuwa hapa,ni bora nisingekuja kukutana na mabalaa haya, nimekuwa nikiutunza usichana wangu kama mama alivyoagiza siku zote kwa ajili ya mme wangu leo hii naupoteza kimaajabu hivi tena na mimba juu......aaaa...hapana mimba sina uhakika, Mungu niepushie hilo balaa " Aliwaza mwenyewe
Alishinda ndani akiwa hana furaha yeyote ile
Mchana alitoka na kwenda kupata chakula hotelini na kwa sababu hakuwa na uwezo wa kutembea vizuri kutokana na maumivu ya ukeni na kiuno alirudi kupumzika mpaka wenzake waliporudi jioni
"Dada umekosa vingi!!! Si tumeona wanyama wengi sana leo " Mdogo wake alimwambia
"Usijali mdogo wangu,nikiwa sawa tutaenda wote" Akajibu
"Pole mwanangu, unaendeleaje lakini ?" Aliuliza Alex akiwa hamuangalii kwa sababu ya aibu
"Naendelea vizur baba" Akajibu huku akiangalia chini
"Usijal utapona, jaribu kutembea tembea maumivu yatapungua " Alex akamwambia
"Sawa baba " alijibu ila pale pale akajiuliza
"Mmmmmh!!! Mbona baba kaniambia nitembetembee ili maumivu yapungue ? Ina maana anajua ninachoumwa ?? Mbona nilimwambia ni homa???!!! Au......mmmmh!! Haiwezekani baba awe ndiye! " alikuwa akiwaza mwenyewe kwa kujiuliza maswali kisha anajijibu mwenyewe
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Jioni kama kawaida Alex aliendelea na mbinu zake
Akawatoa wanaye wote na kuwapeleka kwenye Bar ile ile waliyokuwa jana yake na kupata chakula cha jioni na vinywaji
Alishangaa pale Shida alipoagiza soda
"Heee!! Wewe vip tena ? Mbona unaagiza soda ?" Akauliza
"Nimeamua tu " Shida akajibu
"Acha ushamba bana, we ushaanza kuzoea,unafikili utakunywa soda mpaka lini ?.......we mhudumu mletee Castre" Akajifanya kuagiza
"Sitaki...sitaki....anayekunywa ni wewe ? Leta unywe mwenyewe,mimi nimeagiza Fanta basi " Alijikuta akifoka sana
Alex alishangaa jinsi Shida alivyokuwa mlaki ghafla vile
Ili kuepusha mengi akanyamaza
"Au amenishtukia ? Dah! Mbona balaa sasa!!! Plan yangu imefeli, nitafanyaje ? Inabidi nimzoeshe huu mchezo ili asije akamwambia mama yake " Aliendelea kuwaza
Walikula na kunywa huku Shida akiwa kimya na haongei
Alex aliendelea kuongea na kufurahi na wanaye huku Shida akendelea kuwa kimya
Walipomaliza kila mmoja alielekea chumbani kwake kulala
"Inabidi niwe makini hapa ili nijue ni nani aliyenifanyia mchezo ule" aliwaza Shida na akaamua kutokuzima taa kabisa siku hiyo
Upande wa Alex alendelea kufikili njia sahihi ya kumpata tena Shida siku hiyo
"Nifanyeje sasa, mtoto kawa mjanja hazimi taa,hapa lazima nilazimishe bila hivyo nitaumbuka " aliwaza baada ya kwenda chumbani kwa Shida zaidi ya mara tano na kukuta taa inawaka namwenyewe akiwa macho
Bahati ilikuwa upande wake kwani alipoenda tena mida ya saa saba za usiku alikuta Shida keshasinzia
Alinyata na kuingia ndani kimyakimya akazima taa
Akaelekea pale kitandani na kufunua shuka na kukuta Shida kafunga kanga peke yake kiunoni
Aliitoa taratibu bila kusababisha Shida ashtuke na Shida akabaki mtupu kabisa
"Kwisha jeuri yake, alijifanya mjanja " aliwaza
Alipanda taratibu kwenye mwili wa Shida na kuhakikisha sehemu yake ya siri imeingia kwa Shida na akaanza kushughulika
Shida alishtuka na kukuta kitu kizito mwilini mwake akashangaa
Aliposikiliza kwa makini akasikia kitu kikiingia kwenye uke wake na kusababisha maumivu hasa kwenye vile vidonda vya jana yake usiku
"Jamani na leo tena ? Wewe ni nani ? Mbona unanitesa hivyo ? " alilalamika Shida huku akijalibu kumtoa yule mtu mwilini kwake bila mafanikio
"Tulia Shida utazoe tu jaman" jamaa akaongea
Shida hakuamini ile sauti aliyosikia kuwa ni ya baba yake
************
"Haaa!! Baba ni wewe ??????" Alihamanika!!
Shida hakuamini maskio yake,alibaki kujiuliza kama ile ni ndoto au ni kweli
Mwilli wake ukapigwa na ganzi kiasi kwamba baba yake aliendelea kufanya ule ufirauni huku yeye hasikii chochote
Machozi yakaanza kumtililika shavuni kwake taratibu,bado hakuwa akiamini kile alichokisikia
"Hivi ninaota? Ni kweli wewe ni baba ?" aliuliza
"Acha kushangaa Shida, we onesha ushilikiano kwa sababu hili limeshatokeaa tayali" Aliongea bila aibu Alex
"Bado siamin, kwa nini unnifanyia hivi baba?" akauliza
Alex hakumjibu kwa sababu kipindi hicho ndipo alikuwa keshakoleakwenye tendo hilo,ambalo yeye alifurahia bila kujua mwenzake hahisi chochote kile kutokana na ganzi la mshtuko lililomkumba
Aliendelea kufanya mapenzi na Shida huku akilia kwa uchungu sana,alifanya mpaka alipotosheka na kutoka mwilini mwa Shida
"Kwa nini umenifanyia hivi laini baba? " aliuliza huku akilia Shida
"Nilishindwa kuvumilia Shida,hasa nikiuangalia uzuri wako nisamehe tafadhali" Akajibu Alex
"Lakini kwa nini unanifanyia hivi?" akauliza Shida
"Sijapenda kufanya hivi Shida,ni shetani ndo kanipitia naomba unisamehe tafadhali usimwambie mama yako" Akabembeleza Allex
Shida alilia kwa muda mrefu bila kujibu chochote kile mpaka baba yake akaondoka na kurudi chumbani kwake
Usiku mzima Shida aliutumia kuwaza sana juu ya kile kilichomtokea, alifikilia juu ya kumwambia mama yake ila akaona inaweza kuleta matatizo makubwa sana hasa kwenye familia yake
"Nifanyeje Mungu wngu? Na je ikitokea kwamba kweli nimenasa mimba? Si nitaumbuka mimi jaman? " alikuwa akiwaza mwenyewe
Siku iliyofuata aliamka na kujifanyia usafi na kisha akaungana na wenzake kunywa chai na hakutaka kuonesha tofauti yeyote ile
"Dada vip leo tutaenda wote kutembea mbugani ?" mdogo wake alimuuliza
"Ataenda usijali, si unaona yuko sawa kabisa " akajibu Alex utafikiri ndiye aliyeuliza
"Nitaenda mdogo wangu" na yeye akajibu
Walienda na kutembea mbugani ikiwa ndiyo siku ya mwisho kwao kutembelea mbuga zile ili kesho yake waondoke kurudi nyumbani
Wakiwa huko baba yake alijitahidi kuweka mazoea na Shida ila hakupata ushilikiano wowote ule
Shida hakuwa akimjibu chcochote kila mpaka wanarudi kambini jioni ile
"Mmmmmmmh! Huyu mtoto mbona simwelewi? Asije kuhalibu huko nyumbani? Mmmh! Ngoja nisubiri usiku wa leo nione" aliwaza Alex
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Hakujua mwenzake anapanga nini kwenye akili yake
Jioni kama kawaida walienda kula pamoja na kama kawaida Alex akajaribu kumshawishi Shida anywe pombe ila akagoma kabisa
Muda wa kwenda kulala Shida aliondoka na wadogo zake na kwenda kulala kwenye chumba chao
"Dada kwa nini huendi kulala kwako?" mdogo wake alimuuliza
"Leo nimejisikia nilale na nyie" akajibu kiufup
Hali ile ilimuumiza sana Alex,aliona kama asipokuwa makini Shida atamhalibia kila kitu,hakujua mpaka muda huo Shida anawaza nini?
Kwa upande wa Shida aikuwa kwenye wakati mgumu sana,aliwaza sana juu ya uwezekano wa kuwa mjamzito na afanyeje lile tatizo liishe na lisimhalibie mama yake ndoa yake .
"Nitaitunza hii siri ila tatizo ni pale nitakapokuwa na ujauzito" aliwaza
Asubuhi waliamka na kujiandaa kisha wakaondoka kurudi nyumbani,Njia nzima Alex alijitahidi kujiweka kalibu ya Shida ila bado hakupata ushilikiano wowote ule
"Dah! Najuta kwa nini nilifanya kitendo kile, huyu mtoto ataniumbua, nifanyeje?" aliwaza
Walipofika nyumbani Dodoma wakati wakiingia ndani Alex alishangaa Shida akimshika shati na kumwambia pole pole
"Nahisi nimepata mimba"
Baada ya kusema hivyo alimwachia na kuingia ndanimama yao aliwapokea kwa furaha kubwa sana ila Shida hakuonesha furaha yeyote ile na wala hakumchangamkia mama yake
"Shida mwanangu vip? Mbona unaonekana hauko sawa? Kuna nini?" akauliza mama mtu
"Ndiyo mama nina tatizo kubwa sana " Alisema Shida
Alex alishtuka saana!!!!!!!
Shida aliposema kwa mama yake kuwa anatatizo Alex alishtuka sana,alijua kuwa sasa anaenda kulipuliwa na binti huyu
"Aaah! Nafikili Shida ungepumzika kwanza kisha ndo upate nafasi ya kuongea na mama yako hayo matatizo yako" aliingilia kwa nia ya kujikinga na kile alichotaka kusema Shida
"Hapana mme wangu kama mwanangu ana Shida mwache aongee mwenyewe shida yake,na tena kama ni mambo ya kike ni bora uondoke aniambie mwenyewe" akaingilia mazungumzo mama mwenye mji
"Aaaah! Hapo sasa mnavuka mipaka mimi sikuachii kabisa mke wangu,kwanza nimekukumbuka sana hivyo hayo maongezi baadae, kwanza Shida ungeondoka hapa utupe nafasi ya kuongea wazazi wako" akajalibu kuleta upinzani
Shida alimwangalia baba yake kwa jicho kali na baya sana mpaka mama yake akashtuka
"Wee Shida, mbona unamwangalia baba yako hivyo? Mn nini nyie?" akauliza mama
"Mama shida yangu ni moja tu,shuleni kuna mambo mengi ambayo niliondoka sijayakamilisha hivyo naomba niwahi kuondoka ili nikayakamilishe kabla ya kuanza masomo tafadhali mama " Shida alieleza tatizo lake
Shida aliomba kuondoka pale nyumbani akiwa na minajili ya kukaa mbali na Alex na pia kuepuka aibu ya kukutana na mama yake ilihali ametembea na baba yake
Alex alipumua kwa nguvu sana baada ya shida kusema hayo, kwa akili yake alifikili Shida anaenda kulipua bomu la yeye kumbaka
"Mwanangu ni wewe tu, mambo ya shule yako nilishakwambia utakavyoamua ni sawa mimi ninachotaka ni wewe usome kwa bidii na kufaulu mwanangu" akajibu mama
Baada ya hapo Shida aliondoka na kuwaacha wakiendelea na maongezi yao mawili matatu na kisha wakaingia kulala
Shida alianza maandalizi ya kuondoka huku akipanga na kuwaza nini atakachofanya endapo atagundua kuwa anaujauzito na mama yake akifaham
"Mama amekuwa akiniusia sana juu ya kujitunza hivi akijua haya itakuwaje? Ee Mungu nisaidie" alikuwa akilia kila mara
Alex alijalibu kwa mbinu zake zote kutafuta nafasi ya kuongea na Shida juu ya lile swala alilomuambia la mimba ila Shida hakumpa nafasi ya wao kuwa wawili
"Hivi huyu mtoto akiondoka bila kufikia mwafaka juu ya hili swala lake na huko anakoenda ikagundulika nitakuwa mgeni wa nani? Nifanyeje mimi?" alikuwa akiwaza sana Alex
* * * *
Siku zikaenda na Shida akasafiri na kurudi shuleni huku nyuma akimwacha Alex akiwa na mawazo sana na yeye pia akiwa afanyeje juu ya lile swala lake.
Alipofika shuleni alimfata rafiki yake aliyekuwa akimwamini sana na kumweleza kila kitu kilichomkuta na kumwomba ushaur
"Shost kwanza tukapime,usijiamin kumbe hujanasana" alishaur Lina rafiki yake na Shida
Wakapanga safari ya kwenda kwenye dispensary iliyokuwa mbali na shuleni kwao na kupima ujauzito, baada ya muda majibu yakatoka
"Binti majibu ya vipimo vyako yanaonesha una ujauzito na sasa una wik tatu, jitahidi uanze kuhudhulia kliniki mapema iwezekanavyo" Dokta aliwaambia
Shida hakushtuka kwa alichikisikia ! Kwa sababu tangu mwanzo alishajishtukia kuwa ana mimba
Waliondoka na kurudi shuleni huku Shida akiwaza sana juu ya lile
"Rafiki yangu maji yamefika shingoni! Ingekuwa kutembea na baba peke yake ningetunza siri sasa mimba nitaifichaje?" alilalama
"Best hapa hakuna jinsi! Inabidi utoe tu, ingekuwa ni mimba ya mwanafunzi mwenzako au mtu mwingine ningekushauri uzae kisha uendelee na masomo ila baba yako? Mmmh! Hakuna namna" Lina alishauri
Shida alikuwa kwenye wakati mgumu sana juu ya swala hilo, hakuwa na jinsi ikabidi amtafute Alex kwenye simu na kumweleza
"Wewe!... Nimepima na ni kweli nimepata nina ujauzito" aliongea kwa hasira na baba yake huyu
Alex alitulia na kufikilia sana mwishowe akatoa uamuzi
"Hatuna cha kufanya zaidi ya kuitoa" alijibu kwa kujiamin
Mzee aliendelea kusisitiza kuhusu uwezekano wa ile mimba kutolewa
"Unapotaka niitoe hii mimba na je ikitoka na mimi nikafa? We huogopi hilo?" akauliza Shida
"Hilo ni swala lingine na haina haja ya kuliwazia kwani ukiliwaza litatokea kweli, cha msingi wewe hiyo mimba kubali itolewe, unafikiri jamii itanichukuliaje itakaposikia nimekupa mimba?" akasema Alex
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
************
"Mbona ulipokuwa unanibaka hukujiuliza jamii itakuchukuliaje?" akauliza Shida
"Huu sio muda wa kulumbana Shida cha msingi wewe kubali tuondoe hii aibu bana, au wee unashaurije nimuache mama yako nikuoe?" akauliza
"Mimi nataka nimwambie mama kila kitu ndipo tujue cha kufanya!" akajibu
Alex alishtuka sana kusikia vile, aliona kama msala huo unaelekea kuwa mkubwa na kufika mbali
"Hapana Shida, nakuomba sana tafadhali, achana na wazo hilo, we fikilia maisha yako, nakuahidi zawadi kubwa sana ukifanikisha hili swala" akabembeleza Alex
Simu ilikatwa pale pale na Shida na akabaki akilia sana kwa lile lililomtokea! Kwa upande wa Alex alibaki akiwa kachanganyikiwa hajui afanye nini ili kujinusuru na lile janga
Utendaji kazi wa Alex ukapungua kiasi kwamba biashara zikaanza kudorora sana, mkewe alipojaribu kudadisi kinachoendelea hakupata majibu ya kuridhisha
Alex akapanga safari za kuelekea Dar na kujaribu kumbembeleza Shida ili wafanikishe lile swala ila bado Shida hakuwa tayari kutoa mimba
"Baba mimi mama aliwahi kuniambia kuwa kwao babu alilaani kutoa mimba, na ndio maana mimba yangu ilishindikana kutoka,sasa wewe unataka tuitoe illi nife ufurahi au?" akaelezea Shida
Alex akaendelea kumshawishi kwa kumdanganya kuwa ile laana ilikuwa ya watoto peke yake na si wajukuu,ila pamoja na ushaur wote bado Shida hakuwa tayali kutoa mimba
Miezi mitatu ilipokatika mimba ya Shida ikaanza kuonekana kwa mbali sana hasa kwa mtu atakayemchungulia kwa makini sana, hapo ndipo alipoanza kuona umuhimu wa kutoa ile mimba kwani alijua atafukuzwa shule na mama yake atataka kujua ni ya nani?
Kaamua kumtafuta baba yake ili washauriane kuhusu lile swala, Alex hakuwa na pingamizi juu ya hilo alichokifanya ni kuelekea moja kwa moja Dar kwa ajili ya zoezi lile
Walienda kwenye dispensary moja maeneo ya Sinza, mahali alipoelekezwa na rafiki yake na zoezi lile likaanza
Baada ya saa moja dokta alitoka kwenye chumba chake akiwa hana amani
"Kaka mimba imegoma kutoka, na kwa bahati mbaya nilipokuwa nikimchokonoa ili itoke nahisi kiumbe kimekufa sasa sijui tufanyeje kwani nahisi tutampoteza huyu binti" alieleza kinagaubaga Daktar yule
"Dokta unasemaje? Mungu wangu mbona balaa! Tunafanyaje sasa?" akauliza Alex
Alex alichanganyikiwa sana kwa taarifa ile, alianza kukumbuka wakati Shida anamueleza kuwa mama yake alishamzuia kutoa kwa sababu babu yao alilaani
"Au ndo laana inafanya kazi Mungu nisaidie" aliwaza mwenyewe
"Hapa hakuna jinsi,inabidi tumfanyie upasuaji ili kuondoa kile kiumbe tumboni,hapo ndipo tunaweza kuwa na asilimia chache za kuweza kuokoa maisha yake" akashaur dokta
"Mimi sina neno,we fanya vyovyote vile ilimradi apone na asife" akasema
"Sasa itabidi uje utie sahihi kuruhusu upasuaji huo"
Waliongozana mpaka ndani na dokta akampa karatasi ya kusaini ili upasuaji ufanyike
Baada ya masaa matatu upasuaji ulikuwa umekamilika vizuri na dokta akatoka
"Mheshimiwa inabidi umshukulu Mungu kwani upasuaji umefanikiwa kwa asilimia zote,ila tatizo limejitokeza moja, huyu binti amepungukiwa damu kwa kiwango kikubwa sana hivyo tunahitaji damu ya kumuongezea,hivyo kama wewe ni mzazi wake twende utoe" akaeleza dokta
"Aaaah! Hapo sasa mtihani dokta,huyu mtoto sio mwanangu," alilalamika
"Itabidi umtafute mzazi wake japo mmoja ili tufanikishe hili" akashaur
"Mama yangu, sasa inabidi mama yake aje? Nitafanyaje mimi Mungu wangu,ninaumbuka sasa" aliwaza Alex
Alex alijikuta katika wakati mgumu sana,alijilaumu kwa kila kitu alichokifanya ila kwa sababu maji yalishamwagika hakuwa na cha kufanya
"Dokta labda nikwambie kitu,ila naomba uahidi kunituzia siri hii, huyu ni mtoto wa mke wangu,nilimuoa akiwa naye,nimejikuta shetani akinipitia na kufanya naye mapenzi na matokeo yake ndiyo haya unayoyaona! Hata sijui nifanyeje dokta" aliamua kuweka wazi ukweli
"Mmmmmh! Mbona pagumu sana ndugu, dah! Ntakusaidiaje?" akaongea dokta
"Dokta hapa sina cha kufanya zaidi ya kutegemea rehema zako,jitahidi utakavyoweza kupata damu au mtu wa kutoa niko tayali kutoa chochote kile" akaendelea kujitetea Alex
Daktari aliondoka na kujalibu kwa njia zake zote kutafuta namna ya kufanya ila hakufanikiwa
"Mheshimiwa hapa cha msingi mlete mama yake atoe damu,cha muhimu ni kutunza siri,mimi nitajua cha kumweleza" akashaur daktar
Alex hakuwa na jinsi zaidi ya kumpigia simu mke wake ili aje haraka,hakutaa kumwambia kinachoendelea
"Cha msingi wewe nenda upande ndege uondoke haraka na kuja huku,kuna dharura kuhusu mwanao,mengine utayajua huku huku" alifoka Alex
Amina mama yake na Shida hakuwa na cha kufanya bali kufata maagizo na moja kwa moja alielekea uwanja wa ndege na kupanda ndege mpaka Dar es salaam
Upande wa Daktari na Alex hali ilikuwa tete sana, Shida alizidiwa na kuanza kutapika mabonge ya damu mfululizoCHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Alex hapa sina cha kufanya, hali ilipofikia inabidi huyu mtoto tukubali afe ili kutunza siri hii, tofauti na hivyo inabidi umpeleke Muhimbili akatibiwe na ikitokea ukafanya hivyo itajulikana kuwa katolewa mimba, hilo litaniweka hatiani mimi na wewe" aliongea Daktari
"Mmmmh! Mbona mtihani huo dokra......." hakumalizia kuongea na pale akawa kaingia Amina na kuwakuta wakijadiliana na Shida akiendelea kutapika damu
"Mme wangu kuna nini?....na mbona hali ya mtoto ni mbaya na hujampeleka kwenye hospital kubwa?" aliingilia maongezi
Waliona aibu na kujitetea kitoto sana, na kwa sababu yule mama alikuwa keshapaniki wakatafuta gari na Amina akambeba mwanae na safari ya kuelekea Muhimbili ikaanza
Walipokelewa na Shida akaingizwa chumba cha wagonjwa mahututi,huku Alex akienda kuandikisha
"Mpaka mgonjwa anazidiwa hivi mlikuwa wapi jaman? Na mbona anatokwa sana damu,amekuwaje?" waliuliza madaftar
"Tunaomba mmuhudumie jaman, mengine tutaongea" akajibu Alex
Muda wote huo Amina hakupata nafasi ya kupata maelezo ya nini kilichotokea
"Samahan, naomba mzazi wa binti aingie chimba cha vipimo ili apimwe kwa ajili ya kumtolea binti damu kwani amepoteza damu nyingi sana kwenye jaribio lake hili" aliongea Dokta
"Kwani anatatizo gani dokta?" akauliza Amina
"Ina maana hamjui? Mwanenu ametoa mimba kubwa sana na amepoteza damu nyingi sana" akajibu
Amina alishtuka sana kwa kile alichokisikia, aligeuka na kumwangalia mmewe ambaye aliinama chini
"Jaman hakuna muda wa kushangaa hapa,anayeingia aingie" alifoka daktar
Amina aliingia na kuchukuliwa vipimo na kwa bahati nzur damu yake ikakutwa iko sawa na inaweza kuongezewa mwanaye,alitolewa damu na ikaongezwa kwa Shida
Alipotoka pale hakumkuta Alex mmewe kwenye eneo la mapumziko hivyo alikaa mwenyewe akiwaza imekuwaje mwanaye kapata ujauzito,alipojalibu kupiga namba ya simu ya mmewe ikawa haipatikan
Baada ya masaa matatu yakusubiri hatimaye Shida alipata fahamu zake na mama yake akapewaa ruhusa ya kwenda kumwona
Alipoingia ndani
"Mama jitahidi usiongee vitu vitakavyomkwaza huyu binti kwa sababu hali yake sio nzuri kabisa" Dokta alitahadhalisha
Amina aliingia na walipogongana macho na mwanaye Shida alishtuka na machozi yakaanza kumtoka mfululizo
"Nisamehe mama yangu, sikupanga hili litokee" aliongea kwa hisia
"Usijali mwanangu, tumshukuru Mungu umepona na unaendelea vizur, vipi lakin uko sawa kiasi cha kunieleza yaliyokukuta mama?" akaongea kwa upole
Shida aliangua kilio kwa muda mrefu sana huku mama yake akimbembeleza anyamaze
"Baba.....baba...ba...ba ni baba mama" alijibu huku akili.
"Mwanangu ujue sijakuelewa vizur,em rudia tena na uache kulia,nani kakupa hii mimba?" akauliza
"Nisamehe mama, sio maksud alinibaka" aliendelea kusema huku akilia
"Sawa mwanangu,ila sijajua nan huyo?" mama akauliza
"Mama nisameehe mimi, nilibakwa mama" akaendelea kuongea huku akilia
"Haya nyamaza mwanangu na uniambie vizuir, nimekusamehe, nani alikubaka ? Na lin? Na ilikuwaje?" akauliza
"Mama baba alinibaka" akajibu Shida
Mama yake alipatwa na mshtuko mkubwa sana, hakujua afanye nini? Au aamue nini? Akabaki ameganda kama sanamu kwa muda na dakika hazikupita nyingi akaanguka chini kama mzigo
"Nesi.... Dokta...nisaidieni jaman,mama yangu" Shida alipiga kelele kuwaita Madaktari na Manesi
************
:: Unavyodhani nini kitaendelea?
:: Hii ni mojawapo ya riwaya kali sana kutoka kwa mwandishi chipukizi hapa uwanja wa simulizi.
:: Onesha ushirikiano wako katika kumpa sapoti mwandishi wa riwaya hii kwa ku LIKE, ku SHARE na hata ku COMMENT kuhusiana na hii riwaya hapo chini.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment